Basi hiyo namba ilikuwa ya mtu wa kanda ya ziwaswali la kizushi. kwanini kila simu wrong call m..yani simu zilizokosewa huwa ni watu wa shinyanga au mwanza.. uani umekaa tu paa namba ngeni inaongea lafudhi ya kisukuma haha majina unakuta shija
Hata zilizosajiliwa kwa alama za kucha ???Hiyo ni kawaida kwa mitandao yote. Line ikiwa dormant miezi mitatu wanapewa wateja wengine.
Ni special namba?Kiukweli nimeitupa naona itaniharibia ndoa yangu
Ni hataree aiseeKuna mtu alinitafuta sana nikamwambia Mimi sikujui ila alining'ang'ania sana kesho yake asubuhi akanitumia meseji akasema toka nje nipo hapa kwako nikamuuliza kwangu wapi? Daah mwishowe akaniambia malipo ni hapahapa.
Uliokota dodo.Ila mmoja alistuka akafanya kila namna mpaka tukaonana... [emoji23] halafu unajua nini... 'Tukafurahiana sana'[emoji1]
Tena bila kujali umeisajili Nida kwa vidole ama nini!Hiyo ni kawaida kwa mitandao yote. Line ikiwa dormant miezi mitatu wanapewa wateja wengine.
naiomba hio namba mkuu..
Mkuu kama hiyo Line alitumika kufanya uharifu mkubwa mfano mauaji si itakuwa tatizo kwa mteja mpyaHiyo ni kawaida kwa mitandao yote. Line ikiwa dormant miezi mitatu wanapewa wateja wengine.
LilijiokoteshaUliokota dodo.
🤣 🤣 🤣 Ohhh!?Lilijiokotesha
Na hili nalo MkalitazameHii kadhia huenda inawakuta wengi, nilikwenda ofisi ya 062 kupata line ya simu siku ya Ijumaa wiki iliyopita nikapewa na kuanza kuitumia, inavyoonekana hii namba ilikuwa inamilikiwa na mtu mwingine huko nyuma akaitelekeza, kinachonikuta hadi sasa ni wanawake 11 wananitumia meseji na kupiga simu tuhuma nyingi tu
Kwa mtindo huu wapo wanaouziwa matatizo na mitandao ya simu kwa kugawa namba hizo kwa wateja wapya, imagine mtu anaambiwa atasakwa awe dead au live.
- Ati nimetelekeza mimba
- Nimetelekeza watoto
- Nadaiwa ada za watoto
- Nakwepa kulipa kodi ya chumba
- Na meseji za mahusiano mapya nyingi
- Wanaume nao wananishambulia kuwa niachane na wapenzi wao wengine wananisaka