Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Tuchukulie mfano mmoja huu hapa wa hayo maombi ya Yanga.Ikiwa TFF inasema Yanga iliombwa ikatwe fedha zake za zawadi kufidia madeni ya club. Je, fedha hizo zote zilikuwa ni deni?
Na ni nini kilitokea hadi Yanga kutoka hiyo ela ikatwe juu kwa juu? Sababu sio kucheleweshewa fedha zao wakaamua kuchukua uamuzi huo?
Yanga wanasema misimu mitatu ya hilo kombe hawajalipwa.Tuchukulie mfano mmoja huu hapa wa hayo maombi ya Yanga. View attachment 3364376
Hii barua imeandikwa August. Fainali ya FA ilifanyika June, yaani ndani ya miezi miwili kabla. Mshindi anatakiwa apewe pesa zake lini baada ya fainali? Je Yanga hawajawahi kutumia huu utaratibu wa kuwa na madeni na kuomba pesa zao mbalimbali zilizopo huko TFF zitumike kupunguza au kulipia madeni hayo kama utaratibu ulio rafiki zaidi kwao?
Huyu hapa ni Mjumbe wa Bodi ya Singida BS ambaye pia ni Mjumbe.
View attachment 3364379
Yanga wameamua kukinukisha na kuishambulia Bodi ya Ligi na TFF kutoka kila kona hata kwa habari ambazo wanajua siyo za kweli wakijua hii pressure inaweza kuwafanya TFF na Bodi ya Ligi kubadili msimamo wao kuhusu derby au wasitoe maamuzi makali dhidi ya Yanga kutokana na kutopeleka timu uwanjani 15/06.
Ndiyo maana nimesema huo ni mfano mmoja wa ushahidi kuwa ni Yanga iliyoomba pesa ikatwe. Sasa utakujaje kusema haukulipwa? Kumbuka hiyo misimu mitatu unayoongelea inajumuisha huu wa kwenye hii barua.Yanga wanasema misimu mitatu ya hilo kombe hawajalipwa.
Je Yanga iliomba misimu mitatu mfululizo kukatwa hizo pesa?
Pesa wanayodai Yanga ni kubwa kuliko waliyoomba wakatwe kwa mujibu wa ushahidi wa barua.
Tff waje na uthibitisho wa malipo! Mbona simpo tuu.. na kiasi wanachowadai kwa uthibitisho sio Maneno ya mtaaniTuchukulie mfano mmoja huu hapa wa hayo maombi ya Yanga. View attachment 3364376
Hii barua imeandikwa August. Fainali ya FA ilifanyika June, yaani ndani ya miezi miwili kabla. Mshindi anatakiwa apewe pesa zake lini baada ya fainali? Je Yanga hawajawahi kutumia huu utaratibu wa kuwa na madeni na kuomba pesa zao mbalimbali zilizopo huko TFF zitumike kupunguza au kulipia madeni hayo kama utaratibu ulio rafiki zaidi kwao?
Huyu hapa ni Festo Sanga, Mjumbe wa Bodi ya Singida BS ambaye pia ni Mbunge.
View attachment 3364379
Yanga wameamua kukinukisha na kuishambulia Bodi ya Ligi na TFF kutoka kila kona hata kwa habari ambazo wanajua siyo za kweli wakijua hii pressure inaweza kuwafanya TFF na Bodi ya Ligi kubadili msimamo wao kuhusu derby au wasitoe maamuzi makali dhidi ya Yanga kutokana na kutopeleka timu uwanjani 15/06.
Watafanya hivyo ila taratibu za kiuongozi zinaweza kuwabana wasizitoe wazi. Je, Yanga wakipata huo mchanganuo wa TFF watautoa kwa ummmma?Tff waje na uthibitisho wa malipo! Mbona simpo tuu.. na kiasi wanachowadai kwa uthibitisho sio Maneno ya mtaani
Acha porojo wewe Chawa wa KidauWatafanya hivyo ila taratibu za kiuongozi zinaweza kuwabana wasizitoe wazi. Je, Yanga wakipata huo mchanganuo wa TFF watautoa kwa ummmma?
TFF anapambana huku amefungwa mikono, Yanga anaparamia kila anachoweza kushika na kukorusha mitandaoni hata pale inapoonekana anakiuka taratibu, kanuni na miongozo ya kiuongozi. Wanajua wakiadhibiwa waonekane wamenyamazishwa na kuonewa.
Watafanya hivyo ila taratibu za kiuongozi zinaweza kuwabana wasizitoe wazi. Je, Yanga wakipata huo mchanganuo wa TFF watautoa kwa ummmma?
TFF anapambana huku amefungwa mikono, Yanga anaparamia kila anachoweza kushika na kukorusha mitandaoni hata pale inapoonekana anakiuka taratibu, kanuni na miongozo ya kiuongozi. Wanajua wakiadhibiwa waonekane wamenyamazishwa na kuonewa.
Tff Wameshapelekewa invoice za madai na uthibitisho wa fedha zinazodaiwa na yanga hivyo ni jukumu la tff kuwajibu yanga kimaandishi ni kiasi Gani waliwakata yanga na tff wanaidai yanga shingapi ili walipwe,,kumbuka Kila malipo yaliyofanywa yaambatane na risiti halali za TRA na sio mali kauliTuchukulie mfano mmoja huu hapa wa hayo maombi ya Yanga. View attachment 3364376
Hii barua imeandikwa August. Fainali ya FA ilifanyika June, yaani ndani ya miezi miwili kabla. Mshindi anatakiwa apewe pesa zake lini baada ya fainali? Je Yanga hawajawahi kutumia huu utaratibu wa kuwa na madeni na kuomba pesa zao mbalimbali zilizopo huko TFF zitumike kupunguza au kulipia madeni hayo kama utaratibu ulio rafiki zaidi kwao?
Huyu hapa ni Festo Sanga, Mjumbe wa Bodi ya Singida BS ambaye pia ni Mbunge.
View attachment 3364379
Yanga wameamua kukinukisha na kuishambulia Bodi ya Ligi na TFF kutoka kila kona hata kwa habari ambazo wanajua siyo za kweli wakijua hii pressure inaweza kuwafanya TFF na Bodi ya Ligi kubadili msimamo wao kuhusu derby au wasitoe maamuzi makali dhidi ya Yanga kutokana na kutopeleka timu uwanjani 15/06.
Usidhani yanga kushikilia hapo ni wajinga kama mnavyodanganyana mitandaoni,,Kuna kitu hapo kitamlipukia mtu,,Kuna matumizi ya fedha ambayo ayakwenda kiutaratibu na hapo Kuna watu watawajibika Takukuru na TRA akishaingia hapo yanakuwa mengine,,unadhani kwanini walitaka waongee na CEO wa yanga? Unadhani kwanini wanakwepa kutoa madai yao kimaandishi kama yanga ilivyowataka? Kuna mtego hapo umetegwa na wakijichanganya kitawalambaWatafanya hivyo ila taratibu za kiuongozi zinaweza kuwabana wasizitoe wazi. Je, Yanga wakipata huo mchanganuo wa TFF watautoa kwa ummmma?
TFF anapambana huku amefungwa mikono, Yanga anaparamia kila anachoweza kushika na kukorusha mitandaoni hata pale inapoonekana anakiuka taratibu, kanuni na miongozo ya kiuongozi. Wanajua wakiadhibiwa waonekane wamenyamazishwa na kuonewa.
Hiyo barua uloyoweka ya mfano iliandikwa Aug, bingwa alipatikana mwezi june, kwanini bingwa hakulipwa kwa wakati mpaka alazimike kuandika barua ya kukata juu kwa juu.Tuchukulie mfano mmoja huu hapa wa hayo maombi ya Yanga. View attachment 3364376
Hii barua imeandikwa August. Fainali ya FA ilifanyika June, yaani ndani ya miezi miwili kabla. Mshindi anatakiwa apewe pesa zake lini baada ya fainali? Je Yanga hawajawahi kutumia huu utaratibu wa kuwa na madeni na kuomba pesa zao mbalimbali zilizopo huko TFF zitumike kupunguza au kulipia madeni hayo kama utaratibu ulio rafiki zaidi kwao?
Huyu hapa ni Festo Sanga, Mjumbe wa Bodi ya Singida BS ambaye pia ni Mbunge.
View attachment 3364379
Yanga wameamua kukinukisha na kuishambulia Bodi ya Ligi na TFF kutoka kila kona hata kwa habari ambazo wanajua siyo za kweli wakijua hii pressure inaweza kuwafanya TFF na Bodi ya Ligi kubadili msimamo wao kuhusu derby au wasitoe maamuzi makali dhidi ya Yanga kutokana na kutopeleka timu uwanjani 15/06.
Kiingereza chenyewe cha KitopoloTuchukulie mfano mmoja huu hapa wa hayo maombi ya Yanga. View attachment 3364376
Hii barua imeandikwa August. Fainali ya FA ilifanyika June, yaani ndani ya miezi miwili kabla. Mshindi anatakiwa apewe pesa zake lini baada ya fainali? Je Yanga hawajawahi kutumia huu utaratibu wa kuwa na madeni na kuomba pesa zao mbalimbali zilizopo huko TFF zitumike kupunguza au kulipia madeni hayo kama utaratibu ulio rafiki zaidi kwao?
Huyu hapa ni Festo Sanga, Mjumbe wa Bodi ya Singida BS ambaye pia ni Mbunge.
View attachment 3364379
Yanga wameamua kukinukisha na kuishambulia Bodi ya Ligi na TFF kutoka kila kona hata kwa habari ambazo wanajua siyo za kweli wakijua hii pressure inaweza kuwafanya TFF na Bodi ya Ligi kubadili msimamo wao kuhusu derby au wasitoe maamuzi makali dhidi ya Yanga kutokana na kutopeleka timu uwanjani 15/06.
Tatizo la Wabongo ushabiki wao hupelekea kuweka akili zao pembeni.Uongozi wa Taasisi moja usilazimishwe kufanana na taasisi nyingine.Yanga wanaleta utoto na TFF wanajizuia kuingia kwenye huo mtego.Uwepo wa hiyo barua ni uthibitisho tosha kuwa Yanga wamekuwa wakifanya hivyo,cha ajabu wao wanatoka hadharani na kusema wanadai chao,kama Yanga wangekua wamekomaa akili basi wangekaa kwanza kupiga hesabu na kuja na kiasi wanachodaiwa na TFF na kile wanachodai wao,lakini kwa kuwa walikurupuka wameonesha kuonekana hata hawako makini.Watafanya hivyo ila taratibu za kiuongozi zinaweza kuwabana wasizitoe wazi. Je, Yanga wakipata huo mchanganuo wa TFF watautoa kwa ummmma?
TFF anapambana huku amefungwa mikono, Yanga anaparamia kila anachoweza kushika na kukorusha mitandaoni hata pale inapoonekana anakiuka taratibu, kanuni na miongozo ya kiuongozi. Wanajua wakiadhibiwa waonekane wamenyamazishwa na kuonewa.
Tff wamepewa Kila kitu ni jukumu lao kuwajibu yanga kimaandishi na ushahidi wa icho wanachokisema,,kama Kuna sehemu hesabu azijakaa sawa watafafanua kimaandishi ni kwanini azijakaa sawa,,Taasisi azifanyi kazi kwa maneno tu ya mitandaoni Kuna njia za mawasiliano ndio wazifate tff kuthibitisha kama yanga anadai ama adai,,uwezi kukata fedha ya taasisi juu kwa juu bila makubaliano ya kimaandishi na kuonyesha risiti za malipo ya TRA huo utakuwa ni utakatishaji wa fedha ambayo ni jinai,,kama tff walikuwa wamefanya iyo kazi kimazoea na Awana risiti kitawalamba nakwambiaTatizo la Wabongo ushabiki wao hupelekea kuweka akili zao pembeni.Uongozi wa Taasisi moja usilazimishwe kufanana na taasisi nyingine.Yanga wanaleta utoto na TFF wanajizuia kuingia kwenye huo mtego.Uwepo wa hiyo barua ni uthibitisho tosha kuwa Yanga wamekuwa wakifanya hivyo,cha ajabu wao wanatoka hadharani na kusema wanadai chao,kama Yanga wangekua wamekomaa akili basi wangekaa kwanza kupiga hesabu na kuja na kiasi wanachodaiwa na TFF na kile wanachodai wao,lakini kwa kuwa walikurupuka wameonesha kuonekana hata hawako makini.