DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Fitna zenu zina mwisho mbaya sana kwenu. Yaani mmeamua kuvuruga ligi kisa mnamuogopa Mpanzu?Acha porojo wewe Chawa wa Kidau
Fitna zenu zina mwisho mbaya sana kwenu. Yaani mmeamua kuvuruga ligi kisa mnamuogopa Mpanzu?Acha porojo wewe Chawa wa Kidau
Hio barua ya kwanza hio amount aliyoandika huyo mkurugenzi Tsh. 48,480 million Ni sawa?Tuchukulie mfano mmoja huu hapa wa hayo maombi ya Yanga. View attachment 3364376
Hii barua imeandikwa August. Fainali ya FA ilifanyika June, yaani ndani ya miezi miwili kabla. Mshindi anatakiwa apewe pesa zake lini baada ya fainali? Je Yanga hawajawahi kutumia huu utaratibu wa kuwa na madeni na kuomba pesa zao mbalimbali zilizopo huko TFF zitumike kupunguza au kulipia madeni hayo kama utaratibu ulio rafiki zaidi kwao?
Huyu hapa ni Festo Sanga, Mjumbe wa Bodi ya Singida BS ambaye pia ni Mbunge.
View attachment 3364379
Yanga wameamua kukinukisha na kuishambulia Bodi ya Ligi na TFF kutoka kila kona hata kwa habari ambazo wanajua siyo za kweli wakijua hii pressure inaweza kuwafanya TFF na Bodi ya Ligi kubadili msimamo wao kuhusu derby au wasitoe maamuzi makali dhidi ya Yanga kutokana na kutopeleka timu uwanjani 15/06.
Tujikite kwenye mada. Hiyo barua sina uhakika aliyeisambaza ni nani ila haijatoka moja kwa moja TFFKama kungekua na barua nyingine TFF wangeeka embu Wacha janja janja wewe.
Kwanini waweke hiyo moja nyingine washindwe kuweka?
Pia ushahidi huo inaonesha msimu walioombwa kukatwa ni mmoja sio misimu mitatu.
Wewe unapindisha pindisha maneno ili iweje!??
Kumbuka sio Yanga tu bali Kuna mashindano mengine vijana hawakulipwa hela zao hususan upande wa Wanawake.
Unakumbuka washindi wa kombe la Dunia la watoto wa mitaani waliishia wapi!??
Walikua wapi siku zote hizo?.Yanga wanasema misimu mitatu ya hilo kombe hawajalipwa.
Je Yanga iliomba misimu mitatu mfululizo kukatwa hizo pesa?
Pesa wanayodai Yanga ni kubwa kuliko waliyoomba wakatwe kwa mujibu wa ushahidi wa barua.
Ni zote na hazitoshiIkiwa TFF inasema Yanga iliombwa ikatwe fedha zake za zawadi kufidia madeni ya club. Je, fedha hizo zote zilikuwa ni deni?
Hilo hatujui kipi kimewafanya wakae kimya muda wote huo.Walikua wapi siku zote hizo?.
Niloyataja yanahusiana na mada pia.Tujikite kwenye mada. Hiyo barua sina uhakika aliyeisambaza ni nani ila haijatoka moja kwa moja TFF
Kuna kipindi Cha Magufuli watu walianza kulalamika Service Levy ndiyo Nini.Tuchukulie mfano mmoja huu hapa wa hayo maombi ya Yanga. View attachment 3364376
Hii barua imeandikwa August. Fainali ya FA ilifanyika June, yaani ndani ya miezi miwili kabla. Mshindi anatakiwa apewe pesa zake lini baada ya fainali? Je Yanga hawajawahi kutumia huu utaratibu wa kuwa na madeni na kuomba pesa zao mbalimbali zilizopo huko TFF zitumike kupunguza au kulipia madeni hayo kama utaratibu ulio rafiki zaidi kwao?
Huyu hapa ni Festo Sanga, Mjumbe wa Bodi ya Singida BS ambaye pia ni Mbunge.
View attachment 3364379
Yanga wameamua kukinukisha na kuishambulia Bodi ya Ligi na TFF kutoka kila kona hata kwa habari ambazo wanajua siyo za kweli wakijua hii pressure inaweza kuwafanya TFF na Bodi ya Ligi kubadili msimamo wao kuhusu derby au wasitoe maamuzi makali dhidi ya Yanga kutokana na kutopeleka timu uwanjani 15/06.
Hapa inaonekana Kuna mmoja lengo lake halikufikiwa akaona amwage Michele kwenye umati wa kuku/vyuku.Kuna usanii kwenye hili sakata lotee. Yanga ni wajinga kiasi gani kwa misimu mitatu mfululizo hawajapewa zawadi ya ubigwa? Why madai haya yaje kwenye kuelekea sakata lingine la dabi? Iweje TFF waidhinishe usajili wa wachezaji wa kigeni kwa mkopo? Je ndio utaratibu? Kama sio utaratibu nini kilitokea?
Sawa twende kiprofessional ila mlikuwa wapi siku zote wakati mkinufaika na utaratibu huo? Leo mmevurugana ndiyo mnajiona watakatifu?Kuna kipindi Cha Magufuli watu walianza kulalamika Service Levy ndiyo Nini.
Kumbe ipo kisheria miaka kibao walikuwa hawatozwi tu. Siku wanadaiwa wanaona ukorofi na uonevu.
Huyo Sanga, wewe na watetezi wa mfumo huu holela usio wa kiueledi kifedha inabidi uishe. Wanakwepa au wanachelewesha mapato ya serikali na maendeleo. Twendeni na professionalism.
Kila kitu kina mwanzo wake.Sawa twende kiprofessional ila mlikuwa wapi siku zote wakati mkinufaika na utaratibu huo? Leo mmevurugana ndiyo mnajiona watakatifu?
Mwambie Salamba the term is forgeryMchambuzi wa Michezo Dominick Salamba kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) ameandika ✍🏿
"TFF wanasema wanawadai Yanga bila kutaja kiasi wanachodai huku Yanga wana kias halisi wanachodai,kwa hali hii ina maana kuna uwezekano mkubwaa taarifa za fedha pale TFF hazipo sawa na uwezekano wa kuwa na forging document ktk kufunga mahesabu,ni wakat wa TAKUKURU kuchukua hatua."
"Huu ni mwaka wa uchaguzi wa TFF kma sio mwezi wa 9 basi wa 10 ila mpaka sasa husikii lolote,wala mijadala sio radio, Tv, sio wapi ni kama tunaongozwa na malaika huku watu wakiwa na madeni ya timu,marefa hovyo,ubabe mwingi,mpira wetu umewekwa kwenye chupa,nasi tumetulia,Aibu hii".
Toeni kwanza boriti katika jicho lenu kabla....Kila kitu kina mwanzo wake.
Na huu ndiyo mwanzo wa professionalism in Tanzanian football operations.
Huyo mwanariadha Mpanzu kawapa kombe gani msimu huu?Fitna zenu zina mwisho mbaya sana kwenu. Yaani mmeamua kuvuruga ligi kisa mnamuogopa Mpanzu?
NBC Premiere LeagueHuyo mwanariadha Mpanzu kawapa kombe gani msimu huu?
Karia hajaharibu mpira wowote,ligi ndio kwanza imezidi kupaaa na kua ya 6 Africa,nani amewahi kufikia takwimu hizo kabla yake?Karia ameharibu mpira wa Tanzania ulikokua unakua kwa kasi kwa kuangalia sana wao wapate fedha na si Timu wala wachezaji wa Timu ndogo kama Yanga wanafanyiwa hivyo utegemee nini kuhusu hizi Timu zetu ndogo sidhani hata kama wanapata fungu lolote..
Sasa uhuni tunataka kuacha na tunaanzia hapa kwenye malipo na kuvuruga mechi kwa lengo la kupanga matokeo.Toeni kwanza boriti katika jicho lenu kabla....
Hamna moral authority ya kuleta professionalism wakati nyie ni moja ya vinara wa uhuni katika mpira wa Tanzania na hata sakata hili lilianzishwa na uhuni wenu.