Dominic Salamba: Napata shida na taarifa za fedha za TFF kama hakuna forging.

Dominic Salamba: Napata shida na taarifa za fedha za TFF kama hakuna forging.

Kwani ni mara ya kwanza Yanga kushikilia misimamo yao na baadae ikaonekana wamepuyanga? Mbona mnapenda Sana kutetea viongozi wenu hata kama wanafanya mambo ya hovyo?
Kipi ni cha ovyo apo ebu tueleze kwa vielelezo,,yanga wako sahihi 100% kwenye hili
 
Unadai lakini unamkimbia unayedai unamdai.Hilo deni utalipwa vipi?Wavimba macho wamepiga hesabu na kwa kutumia huduma ya Songesha wamejikuta wanadaiwa.Sasa aibu ya propoganda waliofanya na yule chizi wao Ali Kamwe wamekimbia kikao.
Ndio maana kelele za deni zimekuwa kimya.Mmemsikia mropokaji akiropoka tena?
Wewe na wenzako unasukumwa na ushabiki kuliendea hili jambo,,Nini maana ya invoice? Tff wamepelekewa invoice ya madeni na Kila kitu inatakiwa na wao waandae invoice yao kimaandishi ya madai kama wanavyodai waipeleke yanga ikiwa na vielelezo vyote kama risiti za efd zote kwa misimu yote 3 na hapo ndio wataanza kufanya reconciliation,,uwezi kukurupushwa tu unaitwa ofisini eti kuzungumza unazungumza kitu Gani na ujui madai ya mwenzako ni kiasi Gani si utakuwa kichaa? Msiwe mnadandia vitu ovyo bila kujua mambo yanavyokwenda!
 
Mchambuzi wa Michezo Dominick Salamba kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) ameandika ✍🏿

"TFF wanasema wanawadai Yanga bila kutaja kiasi wanachodai huku Yanga wana kias halisi wanachodai,kwa hali hii ina maana kuna uwezekano mkubwaa taarifa za fedha pale TFF hazipo sawa na uwezekano wa kuwa na forging document ktk kufunga mahesabu,ni wakat wa TAKUKURU kuchukua hatua."

"Huu ni mwaka wa uchaguzi wa TFF kma sio mwezi wa 9 basi wa 10 ila mpaka sasa husikii lolote,wala mijadala sio radio, Tv, sio wapi ni kama tunaongozwa na malaika huku watu wakiwa na madeni ya timu,marefa hovyo,ubabe mwingi,mpira wetu umewekwa kwenye chupa,nasi tumetulia,Aibu hii".
Mjinga huyu, TFF wamewaita Yanga wakafanye reconciliation, Yanga wamekataa wamepeleka barua na mehasabu yao na kukimbia. Sasa anataka wafanye reconciliation kwenye mitandao, kama Yanga walivyotuma taarifa zao mitandaoni?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom