Dominic Salamba: Napata shida na taarifa za fedha za TFF kama hakuna forging.

Hio barua ya kwanza hio amount aliyoandika huyo mkurugenzi Tsh. 48,480 million Ni sawa?
 
Reactions: Tui
Tujikite kwenye mada. Hiyo barua sina uhakika aliyeisambaza ni nani ila haijatoka moja kwa moja TFF
 
Yanga wanasema misimu mitatu ya hilo kombe hawajalipwa.
Je Yanga iliomba misimu mitatu mfululizo kukatwa hizo pesa?
Pesa wanayodai Yanga ni kubwa kuliko waliyoomba wakatwe kwa mujibu wa ushahidi wa barua.
Walikua wapi siku zote hizo?.
 
Tujikite kwenye mada. Hiyo barua sina uhakika aliyeisambaza ni nani ila haijatoka moja kwa moja TFF
Niloyataja yanahusiana na mada pia.
Barua ipi unasema haijatoka Moja kwa moja toka TFF?
 
Kuna kipindi Cha Magufuli watu walianza kulalamika Service Levy ndiyo Nini.
Kumbe ipo kisheria miaka kibao walikuwa hawatozwi tu. Siku wanadaiwa wanaona ukorofi na uonevu.
Huyo Sanga, wewe na watetezi wa mfumo huu holela usio wa kiueledi kifedha inabidi uishe. Wanakwepa au wanachelewesha mapato ya serikali na maendeleo. Twendeni na professionalism.
 
Hapa inaonekana Kuna mmoja lengo lake halikufikiwa akaona amwage Michele kwenye umati wa kuku/vyuku.
 
Sawa twende kiprofessional ila mlikuwa wapi siku zote wakati mkinufaika na utaratibu huo? Leo mmevurugana ndiyo mnajiona watakatifu?
 
Mwambie Salamba the term is forgery
 
Kila kitu kina mwanzo wake.
Na huu ndiyo mwanzo wa professionalism in Tanzanian football operations.
Toeni kwanza boriti katika jicho lenu kabla....

Hamna moral authority ya kuleta professionalism wakati nyie ni moja ya vinara wa uhuni katika mpira wa Tanzania na hata sakata hili lilianzishwa na uhuni wenu.
 
Karia ameharibu mpira wa Tanzania ulikokua unakua kwa kasi kwa kuangalia sana wao wapate fedha na si Timu wala wachezaji wa Timu ndogo kama Yanga wanafanyiwa hivyo utegemee nini kuhusu hizi Timu zetu ndogo sidhani hata kama wanapata fungu lolote..
 
Si ndio waende mezani na wataalam wao wa fedha waone hizo forging.

Why wanabwaga barua mezani na kukimbia kufanya reconcilliation?
 
Yaani sisi ni ligi ya 6 kwa ubora Afrika. Sijui wa 7 hali yake ikoje. Oh sorry, wa 15....18...20...50 ndio game inaweza ahirishwa ndani ya dakika 10 kwa sababu referee ameitwa na mkeww nyumbani mtoto amemeza shoka.
 
Karia ameharibu mpira wa Tanzania ulikokua unakua kwa kasi kwa kuangalia sana wao wapate fedha na si Timu wala wachezaji wa Timu ndogo kama Yanga wanafanyiwa hivyo utegemee nini kuhusu hizi Timu zetu ndogo sidhani hata kama wanapata fungu lolote..
Karia hajaharibu mpira wowote,ligi ndio kwanza imezidi kupaaa na kua ya 6 Africa,nani amewahi kufikia takwimu hizo kabla yake?

Ni vile tu wanataka waondoke ili wakae watu wao kwa maslahi yao na sio kwamba wana uchungu na mpira wa nchi hii.
 
Reactions: Tui
Toeni kwanza boriti katika jicho lenu kabla....

Hamna moral authority ya kuleta professionalism wakati nyie ni moja ya vinara wa uhuni katika mpira wa Tanzania na hata sakata hili lilianzishwa na uhuni wenu.
Sasa uhuni tunataka kuacha na tunaanzia hapa kwenye malipo na kuvuruga mechi kwa lengo la kupanga matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…