Dominic Salamba: Napata shida na taarifa za fedha za TFF kama hakuna forging.

Mchawi toa taarifa kamili ya mapato na matumizi ya in
 
Yaani hesabu zinafanywa kwa njia ya bargaining?
Sio bargaining,reconcilliation lazima mkutane physically kama hamjaelewana,sasa shida yenu nyie kwenye mambo ya kitaalam mnatafuta public sympath mkidhani zitawasaidia,kumbe mnazidi kuchochola
 
Reactions: Tui
Timu ya Mpanzu au Bodi ya Ligi FC imeshafungwa mara 4 mfululizo na Yanga. Tarehe 8 March 2025 wakakimbia kwa woga wa kufungwa mara ya 5 mfululizo, sijui yupi hapo anamuogopa mwenzie?
Aliyeogopa ni yule aliyeizuia Simba isifanye mazoezi ya kujiandaa na mechi husika kama kanuni zinavyoruhusu. Tumepitia haya, hakuna haja ya kurudi huko.
 
Reactions: Tui
Ubaya Ubwela.Watauana mwaka huu.Mtoto na mlezi wake.
 
Delay ya miezi miwili sidhani kama ni jambo la kushangaza sana. Nimekiri hapo juu kuwa sijajua taratibu za utoaji zawadi kwa TFF zinataja muda gani. Angalia upande wa CAF, muda unaweza kuwa mrefu zaidi ya hata hiyo miezi miwili mnayoshangaa hapa.

Ipost hiyo barua ya Sept 2024 tuisome wote ndiyo nitaweza kuijadili.
 
Reactions: Tui
Unadai lakini unamkimbia unayedai unamdai.Hilo deni utalipwa vipi?Wavimba macho wamepiga hesabu na kwa kutumia huduma ya Songesha wamejikuta wanadaiwa.Sasa aibu ya propoganda waliofanya na yule chizi wao Ali Kamwe wamekimbia kikao.
Ndio maana kelele za deni zimekuwa kimya.Mmemsikia mropokaji akiropoka tena?
 
Aliyeogopa ni yule aliyeizuia Simba isifanye mazoezi ya kujiandaa na mechi husika kama kanuni zinavyoruhusu. Tumepitia haya, hakuna haja ya kurudi huko.
Mtajeni huyo aliye zuia.
Nyie bodi mnamjua hamtaki kutoa taarifa rasmi.
 
Karia hajaharibu mpira wowote,ligi ndio kwanza imezidi kupaaa na kua ya 6 Africa,nani amewahi kufikia takwimu hizo kabla yake?

Ni vile tu wanataka waondoke ili wakae watu wao kwa maslahi yao na sio kwamba wana uchungu na mpira wa nchi hii.
Ni vile Afrika hakuna ligi bora ni Nchi gani kwenye hizo ligi juu yetu watu wanacheza harafu wanaambiwa zawadi kabisaa inakatwa madeni huo ubora upo mdomoni bhana hawa marefa wa kina Kepha Kayombo au Tatu watachezesha kwenye Nchi gani zenye ubora wa mpira..
 
Mm naona T F F ni taasisi ikiwa kweli wao ndio wanadai basi wao ndio walitakiwa waende taasisi ya YANGA kupeleka madai yao yani INVOICE inayoonesha mchanganuo wote !!!!

YANGA kwasasa ndio wamefata Sheria kwa kuwapelekea TFF madai yao !!

ivyo TFF nao ikiwa wanadai wao ndio wenye kuidai Yanga basi wanapaswa kupeleka madai yao Yanga !!

sio lazima Yanga aje kwao mdaiwa ndio ufatwa!!!
 
Kwani ni mara ya kwanza Yanga kushikilia misimamo yao na baadae ikaonekana wamepuyanga? Mbona mnapenda Sana kutetea viongozi wenu hata kama wanafanya mambo ya hovyo?
 
Reactions: Tui
Deni halilipwi kwa mtindo ambao TFF na bidi ya ligi wamesema

Haiwezekani Taasisi kubwa kama zile zilipane kwa kutumia ujinga kama huo

Kama kweli TFF na bidi ya ligi walikubali kulipana kihivyo, kisheria imekula kwao
 
Watazitunga hizo doc. Tuu!! Lakin currently hawana! Saa ingne hizo fedha zilikuwa zinaenda kweny mifuko ya watu!! Waswahili unawajua wewe??
Hawanaga kuweka Document
 
Deni halilipwi kwa mtindo ambao TFF na bidi ya ligi wamesema

Haiwezekani Taasisi kubwa kama zile zilipane kwa kutumia ujinga kama huo

Kama kweli TFF na bidi ya ligi walikubali kulipana kihivyo, kisheria imekula kwao
Huu ulikuwa ni ushirikiano kati ya Yanga na TFF. Kama itaonekana ni kinyume cha sheria kufanya hivyo, pande zote zinatakiwa kuhukumiwa.
 
Watazitunga hizo doc. Tuu!! Lakin currently hawana! Saa ingne hizo fedha zilikuwa zinaenda kweny mifuko ya watu!! Waswahili unawajua wewe??
Hawanaga kuweka Document
Hizo ni assumption zako ambazo mpaka sasa hazijaonekana kuwa na uhalisia. Tusubiri. Kesi za kushinda CAS si ndiyo hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…