Dominic Salamba: Napata shida na taarifa za fedha za TFF kama hakuna forging.

Kwani ni mara ya kwanza Yanga kushikilia misimamo yao na baadae ikaonekana wamepuyanga? Mbona mnapenda Sana kutetea viongozi wenu hata kama wanafanya mambo ya hovyo?
Kipi ni cha ovyo apo ebu tueleze kwa vielelezo,,yanga wako sahihi 100% kwenye hili
 
Wewe na wenzako unasukumwa na ushabiki kuliendea hili jambo,,Nini maana ya invoice? Tff wamepelekewa invoice ya madeni na Kila kitu inatakiwa na wao waandae invoice yao kimaandishi ya madai kama wanavyodai waipeleke yanga ikiwa na vielelezo vyote kama risiti za efd zote kwa misimu yote 3 na hapo ndio wataanza kufanya reconciliation,,uwezi kukurupushwa tu unaitwa ofisini eti kuzungumza unazungumza kitu Gani na ujui madai ya mwenzako ni kiasi Gani si utakuwa kichaa? Msiwe mnadandia vitu ovyo bila kujua mambo yanavyokwenda!
 
Mjinga huyu, TFF wamewaita Yanga wakafanye reconciliation, Yanga wamekataa wamepeleka barua na mehasabu yao na kukimbia. Sasa anataka wafanye reconciliation kwenye mitandao, kama Yanga walivyotuma taarifa zao mitandaoni?
 
Reactions: Tui
Hizo ni assumption zako ambazo mpaka sasa hazijaonekana kuwa na uhalisia. Tusubiri. Kesi za kushinda CAS si ndiyo hizi?
CAS unaenda kufuata nini? Wakt kila kitu kipo hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…