Domo zege disease tukutane hapa

nimemuelewa ila natamani kusikia live kutoka kwake
 
TATIZO AKILI ZENU ZINAWAZA KUTONGOZWA TU WE KILA UKIOMBWA UTOKE NA MTU OUT UNAHISI ALITAKA KUKUTONGOZA....
 
mimi nahisi sio domo zege, lakini nakuaga naona aibu kumuita mdada alafu akakataa au kunitolea maneno machafu/mabaya yaani hapo tu ndo pananishinda naweza nikamuona mdada kabisa mzuri nikamvutia pumzi lakini hilo wazo likija kichwani tu naishiwa pozi, sasa sijui huo ndo udomo zege!! Miss Natafuta
 
mwanamke akishakubali kwenda out na mm ni mara nyingi tunamalizana huko huko
Lasivyo nahakikisha ame ahidi kuto papuchi in next few days (wengi hapa husema wako bleed)
 
Labda na wewe ulimtolea sana macho, huku kaa kimahaba hadi umemtisha mwenzio!!!
 
nilichokiona hapo ni iyo kujisifia umetumia buku70
 
Hii kauli "ningekuwa mwanaume pasingetosha" mabinti wengi wanayo sijui kwa nn? Ajabu sisi wanaume tukiitumia ipasavyo wanalalamika kinoma, na kutuita majina kibao...
Mkuu huwa wanalalamika kuwa tunawatongoza mno.!!

Kuna kipindi nilivutiwa na demu mmoja Ila nikapoteana naye kwa muda.
Siku moja nikakutana naye asubuhi na mapema ikabidi nimpige sound tu.
Alishangaa kuona napiga sound asubuhi yote ile Ila kilichofuata ni manyoya
 
Hii kauli "ningekuwa mwanaume pasingetosha" mabinti wengi wanayo sijui kwa nn? Ajabu sisi wanaume tukiitumia ipasavyo wanalalamika kinoma, na kutuita majina kibao...
true man
 
Hiyo ndo sababu mwanaume hutakiwi kua na demu mmoja tena mbovu, wanawake wote duniani wanaamini km wangekuwaga wanaume basi wangetomba duniani nzima...sasa jiulize wewe uliyeumbwa mwanaune unasubiri nini...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…