Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #21
anaonesha vitendo tukwahiyo mpaka sasa hajasema anakupenda basi atakuwa domo zege huyo .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaonesha vitendo tukwahiyo mpaka sasa hajasema anakupenda basi atakuwa domo zege huyo .
si bora ujue ukweliRejection ndo inayowaogopesha watu
nitongoze bwana mbona nakupenda tu?Yaani ndo uneamua kuja kunisema huku poa tu
nimemuelewa ila natamani kusikia live kutoka kwakeKwanza kutongoza ni sanaa...
Wanaume tupo tofauti tofauti sana kwenye mambo haya....
Wanawake wenyewe wanasema kwamba kuna wanaume wengine sauti yao tu tayari analegea,wengine wanasema unapoonana naye tu au kutoka naye out,ile namna yao ya kumsikiliza mwanamke na kumjali wakati wa out mwanamke anajikuta tu mwenyewe anajipeleka machinjioni...
Wanawake wanasema kwamba kuna wanaume wanajua sana kupangilia maneno ya kumueleza mwanamke na anajikuta tu anashindwa kukataa maana yale maneno yanakuja huku yanadondosha asali na anajikuta anayabugia mazima mazima na akija kustuka keshamalizwa....
Kwa maana hiyo usimcheke huyo huenda ameshajifunza kutokana na makosa na akaona hiyo ndiyo njia bora ya kukutongoza maana tayari ushamuelewa na kwa namna nyingine keshakutongoza tayari....
kwanini?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unasema tu....kutongiza kazi sana
mimi nataka nikiinga mahali nituliehata mleta thred ni domo zege
kwa nini baada ya miaka mingi anakununulia msosi na wewe unazubaazubaa unasubirisubiri umchunguzechunguze?
haikuwa mara ya kwanza kula pamoja so anajua ulaji wangu kitambo saanaNiliahirisha nilivyoona unakula hata hautafuni unameza manyama mazima mazima na jinsi ulivyokuwa unabugia wine.
Muelewe hivyo hivyo kwa namna alivyo huenda ndivyo alivyo.....nimemuelewa ila natamani kusikia live kutoka kwake
Sawa, nitakutoa Out tena ili nikwambie ukweli kwa yanayonisibu moyoninitongoze bwana mbona nakupenda tu?
mwanamke akishakubali kwenda out na mm ni mara nyingi tunamalizana huko hukoKuna wanaume kweli hawajui kutongoza
Kuna jamaa alikuwa ananionesha kabisa ananitaka ila ile kusema abc naona kama anakuwa muoga
Zikapita siku nyingi siku moja akaniambia wikend tutoke kuna jambo anataka kuniambia.Tukaenda mahali nikapiga msosi wa maana kama elf 70 hivi, ile bufee haikuwa ya nchi hii nilishinda pale masaa matatu nakula tu.
Baada ya kushiba nikamuuliaza ulikuwa unasemaje mkuu eti akaniambia alitaka kuniuliza nywele zangu nimesuka wapi na huo mtindo unaitwaje? hadi leo huwa namcheka sana. Nataka nimtongoze ndo namalizia kufanya upelelezi wangu wa mwisho kama anafaa kwa matumizi ya binadamu.
Wanaume mnachoogopa ni nini? Ningekuwa mwanaume mimi pasingetosha
nilichokiona hapo ni iyo kujisifia umetumia buku70Kuna wanaume kweli hawajui kutongoza
Kuna jamaa alikuwa ananionesha kabisa ananitaka ila ile kusema abc naona kama anakuwa muoga
Zikapita siku nyingi siku moja akaniambia wikend tutoke kuna jambo anataka kuniambia.Tukaenda mahali nikapiga msosi wa maana kama elf 70 hivi, ile bufee haikuwa ya nchi hii nilishinda pale masaa matatu nakula tu.
Baada ya kushiba nikamuuliaza ulikuwa unasemaje mkuu eti akaniambia alitaka kuniuliza nywele zangu nimesuka wapi na huo mtindo unaitwaje? hadi leo huwa namcheka sana. Nataka nimtongoze ndo namalizia kufanya upelelezi wangu wa mwisho kama anafaa kwa matumizi ya binadamu.
Wanaume mnachoogopa ni nini? Ningekuwa mwanaume mimi pasingetosha
Mkuu huwa wanalalamika kuwa tunawatongoza mno.!!Hii kauli "ningekuwa mwanaume pasingetosha" mabinti wengi wanayo sijui kwa nn? Ajabu sisi wanaume tukiitumia ipasavyo wanalalamika kinoma, na kutuita majina kibao...
true manHii kauli "ningekuwa mwanaume pasingetosha" mabinti wengi wanayo sijui kwa nn? Ajabu sisi wanaume tukiitumia ipasavyo wanalalamika kinoma, na kutuita majina kibao...
mwanaume hachukiwi kajikuta anaumia yeye tuWewe Si Ndo Ulikua Unachukia Wanaume Wewe.