Jamuhuri ilifanya kazi yake kwa kumpa Samia kura 31m bila wapiga kura vituoni? Au ndio maana muuaji Samia aliliambia jeshi lijiandae na uchaguzi kabla ili aje kulitumia kuua wananchi wasio kubali uchaguzi wa wizi? Ama ulitaka Lisu aongee lugha ya kuremba huku akijua wazi uchaguzi ule ungekuwa wa wizi?Kesi kashinda lini!!
Kesi ya uhaini mh Lissu kaitafuta mwenyewe✅️
kwa kutoa maneno mazito ya kuzuiya Uchaguzi nk.
Kosa lake yeye 👈
Na Domo lake 👈
JAMHURI yoyote lazima wakuweke Lupango siku iyoiyo umetamka👈
nayeye pia kajua atabebwa kuwekwa Lupango👈
Kwaiyo kafanya kosa ili aje kudai Fidia ❌️
JAMHURI ilifanya kutekeleza wajibu wake kiusalama ✅️
JAMHURI kamwe hawawezi kuja kulipa fidia kesi kama ya mh Lissu weka kumbukumbu aya meneno✍️
Pumbavu zenu, hao masheikh wako ndani maana walikataa maridhiano?Mkotaa maridhiano ndio mtaisoma namba Lupango milele kuliko wale Mashekh wa uhamsho
Hata 2030 hakija Mkristo kuwa Rais uyo mh Lissu hatoki ndani weka kumbukumbu aya maneno ✍️
Huyo felix mwembe ni mgonjwa huyo sio hivihivi tu
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Donald Felix Mwembe, amemtaka Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho John Heche akubali kukaa mezani na Watawala kwa ajili ya kufanya maridhiano ili kusaidia Mwenyekiti wa CHADEMA aachiwe huru na kwa pamoja waendeleze mapambano ya kisiasa.
Akiongea na Waandishi wa Habari, Mwembe amesema“Ni kweli Mh. Mwenyekiti wetu wa Chama Taifa Lissu yupo ndani na juzi tumesikia ana kesi ya kujibu, ni rai yetu kwamba kuna kila sababu Viongozi wetu wakuu kukaa na kutafakari wakiongozwa na Heche, kukaa na Watawala kujua namna gani tunatoka kwenye mtanziko mkubwa wa kisiasa, tumeona nchi mbalimbali mfano South Afrika, Mandela alikaa ndani baadaye akakaa na Watawala wakayaweka sawa”“
Tumeshuhudia Mashirika mbalimbali ya kikanda, Bunge la Ulaya wakishangaa Mtu yule kukaa ndani, tumeona Maaskofu wa TEC wametoa ushauri kwamba tufike kwenye meza ya mazungumzo ili kuliponya Taifa letu, namshukuru Mh. Rais alishiriki kongamano la BAWACHA ni jambo zuri, tuna kila sababu ya kukaa na Watawala tusonge mbele na kuondoa vikwazo ambabyo vinachelewesha maendeleo nchini”“Mh. Lissu kukaa ndani muda mrefu kwangu naumia sana na imepelekea nikumbuke kauli ya Mnyika aliyesema kama kwa Mbowe ilitumika busara kwanini kwa Lissu isitumike busara?
Sisi tunaona ni vema Mh. Heche aone na kutafakari, kama Lissu alivyokutana na Mh. Rais Ubelgiji wakati ule wakazungumza na Mbowe akaachiwa, tunaamini mazungumzo yatakayotuunganisha yawe mazungumzo ya kuliponya Taifa”“Migogoro mingi inamalizwa mezani hata Mwl. Nyerere wakati anadai uhuru walikaa mezani, Iran na Marekani wanapigana ilaWanakaa mezani, Urusi na Ukraine wanakaa mezani , Heche kazi yake tunaikubali lakini ili iive vizuri akubali maridhiano Lissu atoke nje, Heche akienda mezani Lissu atakaa nje”
Pia soma:Odero: Heche hutaki maridhiano, acha kusingizia Lissu kuwa huru
Usahihi wake ni upi sheikh?Kamanda huku ni kuponzana tu...mwenyekiti huyu yupo sahihi kabisa anajua modern politics vizuri kuliko archaic radical politics
Hili jizi na lipenda rushwa linaangaika sana kupost. Linatamani sana CHADEMA ipende wizi na rushwa kama CCMKamanda huku ni kuponzana tu...mwenyekiti huyu yupo sahihi kabisa anajua modern politics vizuri kuliko archaic radical politics
Msajili atamrudisha harakaHuyu Katibu anatakiwa avuliwe uanachama mara 1, ndio hawa mamluki wenyewe.
Ni kuwafurusha tu.
Hili jizi na lipenda rushwa linaangaika sana kupost. Linatamani sana CHADEMA ipende wizi na rushwa kama CCMMkotaa maridhiano ndio mtaisoma namba Lupango milele kuliko wale Mashekh wa uhamsho
Hata 2030 hakija Mkristo kuwa Rais uyo mh Lissu hatoki ndani weka kumbukumbu aya maneno ✍️
Kuaminiana na nani?
Double agents utawatambua kwa kauli zao na mienendo yao, ukiwa makini.
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Donald Felix Mwembe, amemtaka Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho John Heche akubali kukaa mezani na Watawala kwa ajili ya kufanya maridhiano ili kusaidia Mwenyekiti wa CHADEMA aachiwe huru na kwa pamoja waendeleze mapambano ya kisiasa.
Akiongea na Waandishi wa Habari, Mwembe amesema“Ni kweli Mh. Mwenyekiti wetu wa Chama Taifa Lissu yupo ndani na juzi tumesikia ana kesi ya kujibu, ni rai yetu kwamba kuna kila sababu Viongozi wetu wakuu kukaa na kutafakari wakiongozwa na Heche, kukaa na Watawala kujua namna gani tunatoka kwenye mtanziko mkubwa wa kisiasa, tumeona nchi mbalimbali mfano South Afrika, Mandela alikaa ndani baadaye akakaa na Watawala wakayaweka sawa”“
Tumeshuhudia Mashirika mbalimbali ya kikanda, Bunge la Ulaya wakishangaa Mtu yule kukaa ndani, tumeona Maaskofu wa TEC wametoa ushauri kwamba tufike kwenye meza ya mazungumzo ili kuliponya Taifa letu, namshukuru Mh. Rais alishiriki kongamano la BAWACHA ni jambo zuri, tuna kila sababu ya kukaa na Watawala tusonge mbele na kuondoa vikwazo ambabyo vinachelewesha maendeleo nchini”“Mh. Lissu kukaa ndani muda mrefu kwangu naumia sana na imepelekea nikumbuke kauli ya Mnyika aliyesema kama kwa Mbowe ilitumika busara kwanini kwa Lissu isitumike busara?
Sisi tunaona ni vema Mh. Heche aone na kutafakari, kama Lissu alivyokutana na Mh. Rais Ubelgiji wakati ule wakazungumza na Mbowe akaachiwa, tunaamini mazungumzo yatakayotuunganisha yawe mazungumzo ya kuliponya Taifa”“Migogoro mingi inamalizwa mezani hata Mwl. Nyerere wakati anadai uhuru walikaa mezani, Iran na Marekani wanapigana ilaWanakaa mezani, Urusi na Ukraine wanakaa mezani , Heche kazi yake tunaikubali lakini ili iive vizuri akubali maridhiano Lissu atoke nje, Heche akienda mezani Lissu atakaa nje”
Pia soma:Odero: Heche hutaki maridhiano, acha kusingizia Lissu kuwa huru
Hili jizi na lipenda rushwa linaangaika sana kupost. Linatamani sana CHADEMA ipende wizi na rushwa kama CCMNa wenye Nguvu ✍️
Au kwani Lissu hana kauli,kama anataka aachiwe si angepokea yale masharti ya maza na akala mabilioni ya abdul?Kwani lissu yupo gerezani kwa sababu ya maridhiano?
Katibu Mkuu ni mmoja tu.Hivi Chadema mnakumbatia vipi watu wa aina hii? Hawa wanaweza kuwauza saa yoyote, yaani katibu mkuu wa chama mkoa, hajui mwenyekiti wao kitaifa amewambia waache kulia lia mtaani huku waongeze dozi.
Huenda hata hajasikia maswali ya Ajuaye?Hivi huyu anafuatilia kesi?. Mbona kesi ipo wazi kabisa Lissu atashinda.
Akili za ******* kabisa ,kwanza Tanzania haipaswi kuwa na watawala inapaswa kuwa na viongozi. Mwanachadema gani mpumbavu huyu zero brain ?
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Donald Felix Mwembe, amemtaka Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho John Heche akubali kukaa mezani na Watawala kwa ajili ya kufanya maridhiano ili kusaidia Mwenyekiti wa CHADEMA aachiwe huru na kwa pamoja waendeleze mapambano ya kisiasa.
Akiongea na Waandishi wa Habari, Mwembe amesema“Ni kweli Mh. Mwenyekiti wetu wa Chama Taifa Lissu yupo ndani na juzi tumesikia ana kesi ya kujibu, ni rai yetu kwamba kuna kila sababu Viongozi wetu wakuu kukaa na kutafakari wakiongozwa na Heche, kukaa na Watawala kujua namna gani tunatoka kwenye mtanziko mkubwa wa kisiasa, tumeona nchi mbalimbali mfano South Afrika, Mandela alikaa ndani baadaye akakaa na Watawala wakayaweka sawa”“
Tumeshuhudia Mashirika mbalimbali ya kikanda, Bunge la Ulaya wakishangaa Mtu yule kukaa ndani, tumeona Maaskofu wa TEC wametoa ushauri kwamba tufike kwenye meza ya mazungumzo ili kuliponya Taifa letu, namshukuru Mh. Rais alishiriki kongamano la BAWACHA ni jambo zuri, tuna kila sababu ya kukaa na Watawala tusonge mbele na kuondoa vikwazo ambabyo vinachelewesha maendeleo nchini”“Mh. Lissu kukaa ndani muda mrefu kwangu naumia sana na imepelekea nikumbuke kauli ya Mnyika aliyesema kama kwa Mbowe ilitumika busara kwanini kwa Lissu isitumike busara?
Sisi tunaona ni vema Mh. Heche aone na kutafakari, kama Lissu alivyokutana na Mh. Rais Ubelgiji wakati ule wakazungumza na Mbowe akaachiwa, tunaamini mazungumzo yatakayotuunganisha yawe mazungumzo ya kuliponya Taifa”“Migogoro mingi inamalizwa mezani hata Mwl. Nyerere wakati anadai uhuru walikaa mezani, Iran na Marekani wanapigana ilaWanakaa mezani, Urusi na Ukraine wanakaa mezani , Heche kazi yake tunaikubali lakini ili iive vizuri akubali maridhiano Lissu atoke nje, Heche akienda mezani Lissu atakaa nje”
Pia soma:Odero: Heche hutaki maridhiano, acha kusingizia Lissu kuwa huru
Maridhiano kuhusu nini ?

Mbwa takataka wewe, tangu lini CCM ikawa na huruma na mwanachadema au mpinzani wa kweli ?Unasema haya ukiwa kwenye kiti kirefu unakunywa balimi baridi ila ujui mwenzio anayopitia kutokua huru.