Donald Felix Mwembe: Lissu amekaa sana gerezani inauma, Heche akubali maridhiano atoke

Waridhiane nini sasa?

Lissu kashasema hataki hiyo maneno hadi kwanza wafute kesi yake...

Sawa wale Mashekh nawao walikuwa na msimamo kama wa mh Lissu
Lkn mwisho wakatoka kienyeji kienyeji

JAMHURI inawapenda zaidi wabishi
Wabishi Jamhuri
inakunyoosha tu ✍️
 
Kwani Lissu mwenyewe anasemaje?
 
Watu wa namna hii ni wa kuwafukuza kutoka katika chama bila hata kuwaangalia usoni. Hamuoni CCM wanavyofanya kwa wanachama wao wanaopingana na misimamo ya chama? Ukiwaacha wanaropoka hivi inaleta taharuki na kupunguza imani ya watu kwa chama. Fukuza mbali takataka hizi.

Watu kama hawa hawajitokezi hivi kisa wamehongwa kama wengi wanavyodhani. Wengi tayari ni mapandikizi walioficha rangi zao ndiyo maana wakapenya hadi nafasi za uongozi. Wakijionyesha rangi zao halisi kama hivi, dakika hiyo hiyo inabidi wafukuzwe.

CHADEMA ikijenga utaratibu huo itafika mbali, ila bila hivyo itakuwa inaenda mbele hatua 2 halafu inarudi hatua 3 nyuma.
 
shetani akikuonea hurumu inabidi ujitafakari sana
 
Sasa kama hao wanaccm hawayataki nyie chawa mnalazimisha ya nini? Sisi tunataka katiba mpya na sio ombi bali lazima. Kisha tuingie kwenye uchaguzi huru uone hao wanaccm kama watashinda kihalali.

Kwani miaka ile ya 2015 mkapata Wabunge karibu 50 nk ilikuwa tume Mpya ilikuwa Katiba mpya

Katiba haipigi kura CCM inapendwa na wengi sana✍️
 
Sawa wale Mashekh nawao walikuwa na msimamo kama wa mh Lissu
Lkn mwisho wakatoka kienyeji kienyeji

JAMHURI inawapenda zaidi wabishi
Wabishi Jamhuri
inakunyoosha tu ✍️
Hili jizi na lipenda rushwa linaangaika sana kupost. Linatamani sana CHADEMA ipende wizi na rushwa kama CCM
 
Kwani miaka ile ya 2015 mkapata Wabunge karibu 50 nk ilikuwa tume Mpya ilikuwa Katiba mpya

Katiba haipigi kura CCM inapendwa na wengi sana✍️
Hili jizi na lipenda rushwa linaangaika sana kupost. Linatamani sana CHADEMA ipende wizi na rushwa kama CCM
 
Kazi waliyopewa imeanza. Jamaa huwa hawarudi nyuma hata baada ya kuanikwa. Ni kama maroboti yakisetiwa yamesetiwa
 
Usahihi wake ni upi sheikh?

Maana msimamo wa chama alishasema makamu mwenyekiti wa kitaifa kwamba wamtoe mwenyekiti wao ili waende huko kwenye maridhiano.

Simple tu!

Kitaifa lini walikataa icho kikao??

Au Maamuzi ya Shemeji
yaheshimiwe✍️
 
Wenye nguvu upande wa CCM wamesema👈
kwanza kufanyike Maridhiano ayo Maridhiano yenyewe wakati yanaendelea yanaweza kusukuma kuitajika kwa mwenyekiti wa Chama usika yani mh Lissu ivyo kutoa mwanga wa
kuondokewa na iyo Kesi ✍️
 
Lissu ni mwenyekiti wa Chadema lazima hawepo kwenye Maridhiano tatizo Chadema yasasa Akili ya kuchakata mambo!!

Mzee Steven Wasira, kasema neno moja limaana zaidi ya Moja sasa Chadema yasasa ndio ivyo wapo kuzuiya Mapinduzi ndani ya Chama chao Wazee wao wengine wamekufa 👈

Wengine Wamewatukana

Sasa kuelewa maana ya neno kwa neno✍️
 
Kwahiyo anaona mwenye wajibu wa kumhurumia Lissu ni Heche na siyo watawala waliomkamata ?
 
Maridhiano kwanza Lissu baadae
Lau mtaendelea kumaliza viatu kwenda Mahakamani na kurudi makwenu

JAMHURI inayomapesa ya kuwalipa Majaji na Mawakili wake‼️
iwepo kesi ya Lissu au isiwepo manake wale kina Katuga na wenzao wapo kazini ✅️

Kazi kwenu nyinyi
Mnaojibishana na JAMHURI✍️
 
Ndio akina nani hao?

Wale wameweza kumsweka Lupango uyouyo mnaedai hana Hatia
Yoyote
Lkn wengine tunaimani mh Lissu kausika kuwasha MOTO 💥💥💥💥💥💥💥 ambao ndio chanzo cha vile Vifo vya Mo29
 
Mahakamani kusema Lissu anakesi ya kujibu ndio mwanzo wa kufungwa maisha ✍️
 
Watu wakipungua Mahakamani
Mh Lissu analalamika

Sasa yeye anaenda Free Mahakamani na kurudi Ukonga
Wenzie wanajipapasa kukubwa ili Wafike Mahakamani
Fursa imekuja ya Maridhiano wanagomea

Ifike wkt wale pesa zao za kuunga unga wamtose
tu kama sio dhambi🤠🤠✍️
 
Kwani miaka ile ya 2015 mkapata Wabunge karibu 50 nk ilikuwa tume Mpya ilikuwa Katiba mpya

Katiba haipigi kura CCM inapendwa na wengi sana✍️
Ilikuwa afadhali, na wala sio kwamba tuliridhika. Huenda ulikuwa mtoto, hivyo unadhani wakati ule watu waliridhika. Lakini upuuzi ulioanza wakati wa dhalimu magufuli, na huyu kichwa nazi naye akaiga vile vile, ni mjinga tu angekubali kuendelea kushiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…