Donald Felix Mwembe: Lissu amekaa sana gerezani inauma, Heche akubali maridhiano atoke

Sawa wale Mashekh nawao walikuwa na msimamo kama wa mh Lissu
Lkn mwisho wakatoka kienyeji kienyeji

JAMHURI inawapenda zaidi wabishi
Wabishi Jamhuri
inakunyoosha tu ✍️
Hata Polepole na Nchimbi walikuwa kama wewe
 
Very low mind Iko hewani...

Sina hakika hata kama anaelewa anazungumza nini..

Anachokisema hapa kina maana ya kuwa CHADEMA wakubali kuhongwa na Abdul na Samia ili Lissu atolewe gerezani..!

This is very stupid mind..
 
Wakurya sio wajinga wajinga huyu lazima sio mkurya..Kwani aliemkamata Lissu ni Heche??? watu wapuuzi kiasi gani hawa??
 
Kwani lissu na chadema walishiriki "uchafuzi" October 25🤔

Samia si "alishinda" kwa asilimia 98! Analilia maridhiano na nani hasa

Na wasira si alishasema "serikali" haikufanya makosa October 2025
 
Yuda iskariote
 
Tunataka hii tabia ya kusingizia watu makesi makubwa, wakati mafisadi na wabaya wapo nje ikome.
 
Njaa huwa mbaya sana kwenye maisha hasa ikichanganywa na kilevi kikali, according to pole2 maridhiano baada ya uchaguzi ni m.si.tu.
 
Mbwa takataka wewe, tangu lini CCM ikawa na huruma na mwanachadema au mpinzani wa kweli ?
Nawashangaa makamanda ambao vinywa vyao vimejaa matusi.Hii sio CHADEMA tulioizoea wala kuipigania kwa damu na jasho aisee.
 
Usahihi wake ni upi sheikh?

Maana msimamo wa chama alishasema makamu mwenyekiti wa kitaifa kwamba wamtoe mwenyekiti wao ili waende huko kwenye maridhiano.

Simple tu!
Hiyo ni misimimo yao Heche na Lissu nasio misimamo ya wanachama. Huu ni udikteta wa namna yake... ndiyo maana kuna wakati nashangaa tupigania Demokrasia lakini sisi watu wachache ndiyo wanafanya maamuzi ya chama.
 
Sasa kama hao wanaccm hawayataki nyie chawa mnalazimisha ya nini? Sisi tunataka katiba mpya na sio ombi bali lazima. Kisha tuingie kwenye uchaguzi huru uone hao wanaccm kama watashinda kihalali.
Mkuu unaposema kua tunataka Katiba mpya nasio ombi ila nilazma,nashindwa kuelewa kua nani unamlazmisha na kwanini sisi tusilete hiyo Katiba mpya kuliko kuwalilia hao maccm
 
Maridhiano hayajamweka lissu ndani na pia liss mwenyewe hawezi kubali hayo maridhiano ya kijinga. Aliye karibu na huyo mrisya alotairiwa hos ni kama alienda kufanya abortion ale hyo hela alohongwa taratibu asituletee za kuleta nisije kumrogaaaa.
 
Ushauri ni mzuri na ni wa kweli. LJN kwanini wasitoe ushauri kwa kufuata taratibu za chama na badala yake wanajichanganya? Wanakosea sana na ni dalili za wazi za nia ovu.
 
Hivi Chadema mnakumbatia vipi watu wa aina hii? Hawa wanaweza kuwauza saa yoyote, yaani katibu mkuu wa chama mkoa, hajui mwenyekiti wao kitaifa amewambia waache kulia lia mtaani huku waongeze dozi.

Possibility ya mtanzania yoyote kukuuza ni 70%, wengi hawana misimamo, na kitokea mwenye msimamo anapigwa vita
 
machoko yamepewa buku saba ili yaitishe press, haya machoko yafanye maridhiano na wapiga miti wake.
 
Mkuu unaposema kua tunataka Katiba mpya nasio ombi ila nilazma,nashindwa kuelewa kua nani unamlazmisha na kwanini sisi tusilete hiyo Katiba mpya kuliko kuwalilia hao maccm
Wapi ccm wameliliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…