Confession
JF-Expert Member
- Mar 30, 2019
- 669
- 2,309
You should question wanaume wanaowaacha na kutaka gaysKuna mashoga humu wanachungulia tu na kukimbia .
Hakuna namna mjipange tu
Tunawaombea Yesu awasaidie mrudi kwenye Hali zenu acheni tuliozaliwa wanawake tuwe wanawake.
Tunajua hizo ni spirit zonazo oparates in higher levels of spiritual realm ila mkiamua Mungu awafungue huko inawezekana
Thank you but most of jf guys ain't ready to destroy their African homophobic illusion over the trumps matterAnyway.... Trump ni conservative na hakubaliani na sera za liberals kama haki za LGBTQ n.k....kwanini mmeangalia kipengele hicho tu kuhitimisha kuwa Trump ni mpango wa Mungu?....
Kuna mambo mengine mfano mabadiliko ya Hali ya hewa ambapo Trump na conservative wenzake hawaamini ukweli wake ila lipo hata sisi nchi tunazoendelea linatuathiri, vipi huyu chaguo la Mungu akatae kulinda mazingira?
Kwànn Trump hakubalian na Mpango huo wa Mabadiliko ya hali ya hewa Licha ya kua unagusa Dunia nzima?.Anyway.... Trump ni conservative na hakubaliani na sera za liberals kama haki za LGBTQ n.k....kwanini mmeangalia kipengele hicho tu kuhitimisha kuwa Trump ni mpango wa Mungu?....
Kuna mambo mengine mfano mabadiliko ya Hali ya hewa ambapo Trump na conservative wenzake hawaamini ukweli wake ila lipo hata sisi nchi tunazoendelea linatuathiri, vipi huyu chaguo la Mungu akatae kulinda mazingira?
USA ni moja ya mataifa yaliyokomesha biashara ya utumwa na ukoloniIlijengwa kwenye msingi wa Mungu hasa uhuru wa kuabudu na uhuru binafsi lakini hawakufuata sheria za Mungu kuhusu utumwa. Kwamba binadamu wote ni sawa.
Mtakuja kuoza mikundu hiyo Kwa kuigaiga kila mamboKama kawa shekhee 😂😂 ni mwendo wa kubomolewa tu
Aachane na hiyo kampuni kwani inasaidia kuweka mazingira katika hali ya usafi. Uzibuaji wa mitaro sio kazi ndogo.Ndugu zangu, Sauti ya Kimamlaka anayotumia Donald Trump, ni lazima ukubaliane namimi kua, Mungu aliyanusuru Maisha yake Kwa Kazi maalumu.
Jamaa hata hajaapishwa, lakini tayari kaanza Kazi mara Moja.
Wale mashoga na mnaounga mkono Ushoga, na shughuli zoooooote za upuuzi wa aina hiyo ikiwemo pamoja na Utoani Mimba kiholela, kubadili jinsia, Sasa mtahamia Ulaya, Kinara US kaamua kua Mfuasi wa YESU KRISTO, MUNGU ANAYEISHI.
View: https://www.youtube.com/live/uCKUaJawPco?si=4v7YfpXtOO0N4ltJ
Waziri Dkt. Gwajima D sio dhambi kujifunza Kwa walioamua Kumlinda mtoto .
Embu tuzipitie Child protection policies za Warusi na Wachina .
Kama haitotosha tujifunze Kwa US Sasa chini ya Trump, nadhan Ile Presha tunayoiogopea Sasa haipo.
Katika Kumlinda mtoto , na vita dhidi ya LGBT , tushirikiane sekta zote.
Niligusia hapa Wakati tunapambana na Unyanyasaji wa kimwili dhidi wa watoto, mkumbusheni Waziri Gwajima, watoto hawako salama Mitandaoni
Wapokee wapo njianiAaah, kumbe watakuja kwako.
Ushawaandalia makazi?
USA ni moja ya mataifa yaliyokomesha biashara ya utumwa na ukoloni
Trump sio Messiah, ana mapungufu mengi tu. Ila ni bora kuliko alternative, ni bora kuliko Kamala Harris kwenye mambo mengi.Trump ni conservative and not religious. Personally napenda his movements but I hate the way black Africans treat him like a messiah sent by Jesus. The same guy who owned Miss Universe which paraded young ladies in bikinis ati leo awe the symbol of God in America? tumieni akili
Ni kuzidi kumwombea! Shetani hajapenda kabisa Trump awe Rais! Ndiyo maana kulifanyika majaribio ya kumwua,kumfungulia kesi za kila namba ili kumkwamisha asiingie ikulu,mwaka 2000 aliporwa ushindi.
Tusimsahau katika maombi!.
Nyakati hizi kuna vita vikali kati ya Msalaba wa Yesu na Shetani katika ulimwengu wa roho.
Na Wakristo tutumie kipindi hiki kujitaka!
Huwezi kujua baada ya miaka 4 ya utawala wa Trump kutatokea nini!
Hilo la Hali ya Hewa ndo likoje?Anyway.... Trump ni conservative na hakubaliani na sera za liberals kama haki za LGBTQ n.k....kwanini mmeangalia kipengele hicho tu kuhitimisha kuwa Trump ni mpango wa Mungu?....
Kuna mambo mengine mfano mabadiliko ya Hali ya hewa ambapo Trump na conservative wenzake hawaamini ukweli wake ila lipo hata sisi nchi tunazoendelea linatuathiri, vipi huyu chaguo la Mungu akatae kulinda mazingira?
Sasa kwanini hawakuwa na IQ ya kwenda kuwatawala wazungu wakati walikuwa hawali ugali?Utumwa ni mfumo unaombagua mtu kutokana na rangi yake. Ukoloni ni nchi moja ku- dominate nyingine kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni.
Mnaambiwa mkubali LGBT, uuze kampuni zote muhimu kama Bandari, mbuga, madini, kuua au kuwaondoa viongozi wa nchi fulani nk. Sasa hivi hadi lugha, uvaaji nguo, chakula, muziki, vyombo vya habari, movies, unachoaangalia kwenye internet, elimu vyote, mikopo na mashari ya mikopo, mfumo wa siasa, ubinafshaji wa sekta zote muhimu na ubinafsi kwenye jamii vingi hivi vimeletwa kwetu na Mkoloni wa sasa, Empire ya sasa duniani.
Walikomeshaje utumwa na ukoloni?
Kwa akili yako unafikiri kila mtu anafikiria kumtawala mwingine. Ugali unaingiaje hapa?Sasa kwanini hawakuwa na IQ ya kwenda kuwatawala wazungu wakati walikuwa hawali ugali?
Kila binadamu huwa anafikiri kumtawala mwingine ila uwezo tu ndo una limit Hilo.Kwa akili yako unafikiri kila mtu anafikiria kumtawala mwingine. Ugali unaingiaje hapa?
Mzozo kati ya trump na katholic ulishakufaKwànn Trump hakubalian na Mpango huo wa Mabadiliko ya hali ya hewa Licha ya kua unagusa Dunia nzima?.
Ndani ya mapendekezo yale, ni kua Dunia nzima ikubali kua Jumapili iwe siku ya mapumziko ambapo shughuli zote za kiuchumi Dunia yaan Viwanda n .k visizalishe Kila siku ya jumapili badala yake iwe siku ya Wanafamilia kukaa pamoja na kufurahia na Kumwabudu Mungu
Na Jumamos iwe siku pekee ya Shughuli za Upandaji miti yaan Green Saturday.
Ukisoma LAUDATO SI ( The Pope, The Environment, The Sunday Law ).
Ni inahitaji Dunia kuongozwa na Sera za RUMI / CATHOLIC.
NA HII TRUMP HAITAKI , NA NDIPO ULIPO MZOZO KATI YA TRUMP NA ROMAN CATHOLIC.
Kwa Ufupi, Nyuma ya mpango wa Mabadiliko ya hali ya Hewa, Kuna mpango wa Kishetani unaendelea.
Ingawa utabisha hapa.
Wewe ni nan kupangia urafik wa tel aviv na washington? 🤣Ushoga hauwezi kuisha America mpaa America isiwe inachukua amri kutoka Tela Aviv.
Punguza ushogaWewe ni nan kupangia urafik wa tel aviv na washington? 🤣
Kubali tu washington na tel aviv ni kama mma tu kwa magaidi kama ww usipoyanywa utayachamba 🤣