Donald Trump anatangaza Vita Rasmi dhidi ya LGBTQI+

Sio kweli, TRUMP ndio mgombea pekee alosimama na kujielezea waziwazi, wakati ule wakutafuta Kura za kuwakilisha chama.


Nadhan km ulifatilia Kampenzi za US tangu mwanzo, Hilo halina ubishii.

Kafanya hivyo uchaguzi uliopita alioshinda, ule alioshindwa na kafanya hivyo sasa...

Republicans ni conservatives, huwa wanasimama na kuhubiri mambo yote hayo unamsikia Trump anayataja, hawana kubembelezana kama Democrats...
 
Huyu anajaribu kuirudisha dunia kutoka shimoni.Maana sijawahigi kuelewa sababu kubwa ya kutumia nguvu nyingi sana kwenye kupromote agenda ya LGBTQ. Bado sijajua business model yake imekaeje.Yaani nani nafaidika na anafaidikaje na hili.
Big Pharm companies na Hospitals.

Utengenezaji wa Madawa , homoni na vifaa tiba vinavyotumika.

Lkn pia Serikali za kishetan, humwaga Pesa nyingi sana huko
 
Trump again
 
ELIMU ELIMU ELIMU... Jamaa Γ nasisitiza ELIMU juu ya Nuclear Family, Baba ,Mama na Watoto.

Eti siku hizi vitabu vya watoto wetu Hawa, vinawafundisha aina ya familia...

1- Mwanaume na Mwanaume, watoto.

2-Mwanamke na Mwanamke , watoto.

Maajabu Mawaziri husika wapo 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…