Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Nje ya manda: Unaamini Idd Amin Dada ndiye aliyeivamia Tanzania au Ni Nyerere ndiye aliuemchokoza Amini? Ukijibu kwa ufasaha swali hili basi utakuwa na uoeo mkubwa WA kuangalia "other side of the story"
Suala hili mbona Mimi binafsi nimeshawahi kuliongelea Mara nyingi sana kwenye mtandao huu wa JF. Soma post zangu za siku za nyuma utaona wewe mwenyewe kuhusu suala hili.

Msimamo wangu upo very clear kwamba Nyerere ndiye aliyeanzisha chokochoko dhidi ya Idd Amin, kwa kutaka kumrudisha madarakani huko Uganda rafiki yake Obote ambaye alipinduliwa na Idd Amin.

Aidha, Idd Amin hakuwa mwendawazimu kwa kuichagua Tanzania peke yake na kuivamia huku akiziacha nchi zingine nyingi ambazo zinapakana na Uganda. Kwa nini aliivamia Tz tu peke yake na kuziacha hizo nchi zingine??? Why only Tanzania but not Kenya, Zaire, Rwanda, or Sudan? Why???

Tz inapaswa kuacha kuingilia kati migogoro ya ndani isiyotuhusu iliyopo katika nchi zingine za majirani zetu. Mambo ya ngoswe aachiwe ngoswe mwenyewe!
 
Nazungumzia popular votes katika kila jimbo, mkuu. Ili ushinde electoral votes za jimbo fulani, lazima pia ushinde popular votes za jimbo hilo. Ukilipoteza, basi umepoteza kura za wajumbe wake pia.
 
Hapa kwenye vita kidogo napata ukakasi ila huko kwengine naungana na wewe ili uwe rahisi wa marekani unatakiwa uwe mshenzi na muuaji sasa walau hizi sifa dt hazimuhusu jumla
Kiukweli marekani kwenye suala la vita hata akae baba angu mzazi sina Imani nao dt ana madhaifu yake ila kwenye usenge na abortion aliupiga mwingi
 
Sisi watoto wetu mashuleni wanafundishwa wizi na dhuluma wangali wadogo chini ya miaka18.
 
Na hapo Pennsylvania si ndipo walipomchapa risasi? Kura za huruma probably ukizingatia electoral votes zipo za kutosha pale.
Mkuu, wewe huogopi? Angalia Trump amekwaa majimbo yote ya kimkakati. Umeona idadi ya maseneta na wawakilishi lakini?

Unapataje nguvu za kusema amepigiwa kura za huruma jimboni Pennsylvania?

Halafu 2016, Trump alishinda jimbo hilo, japo Joe Biden akamwibia kura ilee 2020.
 
Point
 
Wamemkwepa Kamara baada ya kujifunza kwetu
 
Kwani wananchi wakipiga kura moja kwa moja (popular votes) kuna shida gani?

Au nao ni wezi wa kura tu kama Afrika ndiyo maana hawawaamini wananchi wao kuwa na maamuzi ya mwisho?
Pitia huu uzi, mkuu. Kuna mambo ni muhimu kuyaelewa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…