Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Wannavyodai ni kuwa hata Harris anajua kuwa tayari amekuwa defeated hilo gap ambalo Trump amemuacha Kamala ni ngumu sana kuliziba! And the fact ni kwamba kwenye majimbo yaliyobaki bado Trump anaongoza! Kazi ipo!
Telegraph wao wameshaonesha kuwa Trump ana 85% ya kuwa Rais mpaka sasa!
 
Saa100 atume Salam za pongezi kwa Trump sasa.
Chura mwenzake Chali.
 

Attachments

  • IMG-20241106-WA0009.jpg
    IMG-20241106-WA0009.jpg
    109.3 KB · Views: 3
Electoral votes tayari Trump kashinda na ndîo yanayoamua Urais.

Anachosema Nyani Ngabu ni kuwa huenda pia atashinda kwèñye popular votes Ambazo NI Kura za Wananchi.

Ila Mpaka Sasa mshindi ni Trump
Ndio maana huwa wanajua waongo wengi wajinga hiyo Electoral vote umeisoma kwenye media ipo huku wametangaza majimbo mawili tu

USSR
 
Viva Trump, 2020 haikuwa wakati sahihi, ilibidi kina Biden washinde wamarekani wajue kwamba Democrats ni chama kisichojali wamarekani,

Kashinda kwasabau chama cha Harris / Democrats

  • Wanaingiza wanaume waliobadili jinsia kwenye michezo na vyoo vya kike
  • Gharama za maisha zilipanda sana / Mfumuko wa bei
  • Kuingiza maharamia milioni 20 ambao Trump kaahidi kuwatimua
  • Kuruhusu watoto wabadili jinsia bila ridhaa ya wazazi
  • kutoa mimba iliyokomaa miezi 9
  • kuwapuuza Israel, Kamala kawapa support ya wazi Hamas
 
Back
Top Bottom