Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Hivi tuseme Marekani ina demokrasia imara ama demokrasia isiyo na uhalisia?

Yaani mamilooni ya wananchi wanapiga kura kumchagua Rais wamtakaye halafu kura zao zinakuwa useless hazitumiki kuamua nani awe Rais bali kura za watu wachache (Electoral Collage) ndizo zinaamua Rais.

Hii haina maana kwamba maamuzi ya wananchi yanapuuzwa?
 
Electoral votes zinahitajika 270 mtu ashinde Trump mpaka sasa anazo 247(kama hakuna mabadiliko) huyu Kamala anazo 214(kama hakuna mabadiliko) na mchakato wa kuhesabu unaendelea.
Kwa hesabu ya kawaida tu, hakuna haja ya mchakato.
 
Hivi tuseme Marekani ina demokrasia imara ama demokrasia isiyo na uhalisia?

Yaani mamilooni ya wananchi wanapiga kura kumchagua Rais wamtakaye halafu kura zao zinakuwa useless hazitumiki kuamua nani awe Rais bali kura za watu wachache (Electoral Collage) ndizo zinaamua Rais.

Hii haina maana kwamba maamuzi ya wananchi yanapuuzwa?
Kwa Marekani Trump kaburuza kote
Popular votes kapata zaidi ya mwenzake kwa 5M
Senate kapata 51 seats over 41 mwenzake
House kapata nyingi
 
Hivi tuseme Marekani ina demokrasia imara ama demokrasia isiyo na uhalisia?

Yaani mamilooni ya wananchi wanapiga kura kumchagua Rais wamtakaye halafu kura zao zinakuwa useless hazitumiki kuamua nani awe Rais bali kura za watu wachache (Electoral Collage) ndizo zinaamua Rais.

Hii haina maana kwamba maamuzi ya wananchi yanapuuzwa?
Nyani Ngabu Amefafanua mara nyingi...tumuombe arudie
 
Back
Top Bottom