Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Watanzania tuna vichwa vigumu balaa. Ila wewe cha kwako ni zaidi
 
Bora huko USA toka 1960 democratic na republican wanabadilishaba kama wale walifanya vibaya wengine wanakuja kusawazisha huku Africa,especially Tz mpaka viongozi na wananchi wote hatujielewi.
Viongozi wetu wangekuwa kama Putin au Xi Jinping wamekomalia lakini unaona matunda,sasa sisi watu wanakomalia matunda zero.
 
How kwamba marekani ni sawa na dunia yote?
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) nafikiri utakuwa unamfahamu, Je, Mwenyekiti wa Umoja wa Mataifa unamfahamu? Kwa sababu Katibu Mkuu hawezi kuwepo bila ya kuwepo kwa Mwenyekiti wake.
Aidha, hivi Ofisi za Makao MaKuu ya Umoja wa Mataifa ziko wapi hasa?
 
Dunia sio serikali za wanadamu.
 
Amka kutoka usingizini usijikojolee.
 

  • Donald Trump
    277
    electoral votes
    Republican Party
    71,289,102 votes (51%)


  • Kamala Harris
    224
    electoral votes
    Democratic Party
    66,360,291 votes (47.5%)


  • Jill Stein
    0
    electoral votes
    Green Party
    614,751 votes (0.4%)


  • Robert Kennedy
    0
    electoral votes
    Independent
    594,621 votes (0.4%)

    • Chase Oliver
      0
      electoral votes
      Libertarian Party
      560,154 votes (0.4%)

    • Other candidates
      0
      electoral votes
      313,970 votes (0.2%
 
Marekani vyama vikuu ni viwili tu R na D hawa wengine ni wasindikizaji tu...Trump kaupiga mwingi
 
Achaneni na uchaguzi wa US, geukieni uchaguzi wa Tanzania.
 
Achana na kuleta historia ya DT hakuna asiejua mapito yake! Ungeandika tu Kashinda Urais inatosha.
Maneno mengi ya nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…