Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania tuna vichwa vigumu balaa. Ila wewe cha kwako ni zaidiHivi tuseme Marekani ina demokrasia imara ama demokrasia isiyo na uhalisia?
Yaani mamilooni ya wananchi wanapiga kura kumchagua Rais wamtakaye halafu kura zao zinakuwa useless hazitumiki kuamua nani awe Rais bali kura za watu wachache (Electoral Collage) ndizo zinaamua Rais.
Hii haina maana kwamba maamuzi ya wananchi yanapuuzwa?
America wamepiga hesabu ya mbali sanaAliolewa na mume wa mtu,na hana mtoto
Hiyo Yemeni wale waliojidai wababe unajua wanasema nini sasa?
View: https://x.com/TimesAlgebraIND/status/1854116569791545593
Wamefurahi nini Mkuu? Udhaifu wa Trump ama?Terrorists wamefurahi sana.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) nafikiri utakuwa unamfahamu, Je, Mwenyekiti wa Umoja wa Mataifa unamfahamu? Kwa sababu Katibu Mkuu hawezi kuwepo bila ya kuwepo kwa Mwenyekiti wake.How kwamba marekani ni sawa na dunia yote?
Dunia sio serikali za wanadamu.Karibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) nafikiri utakuwa unamfahamu, Je, Mwenyekiti wa Umoja wa Mataifa unamfahamu? Kwa sababu Karibu Mkuu hawezi kuwepo bila ya kuwepo kwa Mwenyekiti wake.
Aidha, hivi Ofisi za Makao MaKuu ya Umoja wa Mataifa ziko wapi hasa?
Amka kutoka usingizini usijikojolee.Trump's victory is not just a victory to America but it's a victory for the whole world... Yes, with democrats deplorable liberal policies we were going to live in more chaotic conditions. So Trump Will surely restore all the lost strong family values that will make our societies strong and great again.
Furthermore, even the world's ailing economy will be ameliorated under his visionary policies.
#Trump2024
msiende kutafunana donati zenyu.Karibu mkuu
Achaneni na uchaguzi wa US, geukieni uchaguzi wa Tanzania.
Donald Trump
277
electoral votes
Republican Party
71,289,102 votes (51%)
Kamala Harris
224
electoral votes
Democratic Party
66,360,291 votes (47.5%)
Jill Stein
0
electoral votes
Green Party
614,751 votes (0.4%)
Robert Kennedy
0
electoral votes
Independent
594,621 votes (0.4%)
Chase Oliver
0
electoral votes
Libertarian Party
560,154 votes (0.4%)![]()
Other candidates
0
electoral votes
313,970 votes (0.2%
Mshenzi wa tabia wewe...msiende kutafunana donati zenyu.
Asante kwa ufafanuzi mkuu.Watanzania tuna vichwa vigumu balaa. Ila wewe cha kwako ni zaidi
Ndio CCM inaenda kufanya hawatafanya kosa mara ya piliWangekuwa hawajashikiwa akili na chama cha majambazi huyu naye alikuwa ni wakupigwa chini mwakani akalee wajukuu wake kizi mkazi.
Achana na kuleta historia ya DT hakuna asiejua mapito yake! Ungeandika tu Kashinda Urais inatosha.Imetangazwa dakika chache zilizopita na vyombo vya Habari
=====
Rais wa zamani Donald Trump kutoka chama cha Republican, ameshinda Uchaguzi wa Marekani.
View attachment 3144969
Chanzo: Spectator Index
Donald Trump ameoa mara tatu, Ivana na Marla Maples, mke wa kwanza na wa pili mtawalia ambao wote ametalikiana nao. Mke wake wa sasa ni Bi Melania.
Bwana Trump ana watoto watoto watano, watatu wa kiume Donald Trump Jr, Eric, Barron na watoto wawili wa kike Ivanka na Tiffany.
Rais huyo wa Zamani wa Marekani alizaliwa Juni 14 mwaka wa 1946, mjini New York, akiwa mtoto wa tano kati ya watoto sita.
Babake Fred alikuwa tajiri aliyemilki majumba na babu zake Trump walikua wahamiaji kutoka Ujerumani.
Mamake Mary alikuwa mzaliwa wa Scotland.
Tangu utotoni, Trump alikuwa mtundu na wazazi wake walimpeleka shule ya msingi iliyofadhiliwa na jeshi mjini New York.
Baadaye alifuzu kutoka Chuo Kikuu cha Pennsylvania, kitivo cha elimu ya biashara mwaka wa 1968.
Alifanya kazi katika kampuni ya babake ambaye aliendesha biashara ya kuuza nyumba kwa raia wa kipato cha kadiri, viungani mwa New York.
Hata hivyo Donald Trump alikuwa na ndoto ya kufanya biashara nje ya makaazi ya Queens na Brooklyn.
Aliwekeza katika biashara kubwa ya ujenzi na kuweza kujenga mojawapo ya mijengo ya kifahari zaidi nchini Marekani. Alifanikiwa kutokana na sera ya kiuchumi iliyowekwa na utawala wa Reagan miaka wa 1980.
Yapo mahoteli, viwanja vya mchezo wa gofu, makazi ya kifahari, majumba ya kamari kutoka Carlifonia hadi Mumbai nembo yake ikiwa ni Trump.
Ameandika Riwaya kadhaa kuhusu biashara, huku umaarufu wake uking'aa zaidi katika makala yanayoelezea maisha halisi, "The Apprentice," katika runinga ya NBC. Hata hivyo alitupwa nje ya makala hayo baada ya kutoa kauli zilizowakera raia wa Mexico.