Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Sidhanii kama trumpet anania ya kumaliza vita ila kama anania kweli ni jambo jepesi sana marekani kama akikata msaada kwa ukraine sidhanii kama kuna taifa hapa duniani linaweza kuziba hilo gape ataloliacha americant ila ngoja tuone sina Imani na rahisi yeyote awaye wa us hasa kwenye suala la vita
Kwa kuwa wao ndio walimwingiza Zelensky vitani, hawawezi kumkatia misaada, bali watamwambia la kufanya. Suala ni kukaa meza moja ya mazungumzo na Putin, na kuona namna ya kusonga mbele kwa amani.

Huu ndio wakati mwafaka wa kutamba na ule msemo wa Yaliyopita si ndwele, tugange yaliyopo na jayayo!

Nasikia tangu alfajiri Putin yumo kwenye conference hall makhususi akiisubiri kwa hamu simu ya swahiba wake Trump.
 
Trump's victory is not just a victory to America but it's a victory for the whole world... Yes, with democrats deplorable liberal policies we were going to live in more chaotic conditions. So Trump Will surely restore all the lost strong family values that will make our societies strong and great again.

Furthermore, even the world's ailing economy will be ameliorated under his visionary policies.

#Trump2024
 
Sasa ina maana gani hii? Mbona ni kupoteza muda kusiko na maana yoyote.

Kama kushinda popular votes ndiyo kushinda electoral votes kwanini isiachwe tu hiyo popular votes?

Hillary Clinton alipogombea na Donald Trump, Hillary Clinton alimshinda Trump kwenye popular votes lakini Trump akamshinda Hillary Clinton kwenye electoral votes na kupelekea Trump kuwa Rais wa Marekani.

Sasa hoja yako ya kwamba popular votes na electoral votes zinaendana mbona kama haina uhalisi?
Chukulia kwa urahisi kabisa kwenye ligi za mpira;
-Sheria ni ukishinda unapata pointi tatu, droo point moja, ukifungwa hupati kitu.

-Ni system nzuri sana Iliwekwa kuhakikisha anaeshinda urais, ushindi wake uakisi uwakilishi wa majimbo yote yanayounda nchi ya marekani.

-Vinginevyo wanasiasa wahuni especially hao democrat wangekua wanawapa uraia wahamiaji haramu wengi kwenye majimbo ambayo wana advantage ili wapige kura nyingi wawawezeshe kushinda kama kigezo ingekua mshindi wa kura za nchi nzima ndo mshindi wa urais.

-Ni kama tu kwenye mpira, timu ikishinda 10-0 inapata point tatu sawa sawa na timu iloshinda 1-0
 
Trump ameshinda wisconsin yenye vote kumi sasa kafikisha votes 277 zaidi ya zinazohitajika kuwa rais.

Hivyo Trump rasmi ndiye rais ajaye wa Marekani.

Hongera Trump Mungu amekusimamia dhidi ya Kamala aliyetaka kuiharibu Marekani.
 
Kajieleza sana mwanetu. Report zinasema Putin hatompongeza trump kwa ushindi

Tupo tunasubiri
Ni busara sana asimpongeze licha ya kwamba tunajua Putin amefurahi sana swahiba wake na kaka yake kurejea Jumba Jeupe.

Sasa tunangoja baadaye songombingo zikitulia, waalikane kwenye chakula na picha ya pamoja katika mkutano wa G8 pale Kananaskis, Alberta, Canada mwakani.
 
Back
Top Bottom