Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Kwa kuwa wao ndio walimwingiza Zelensky vitani, hawawezi kumkatia misaada, bali watamwambia la kufanya. Suala ni kukaa meza moja ya mazungumzo na Putin, na kuona namna ya kusonga mbele kwa amani.Sidhanii kama trumpet anania ya kumaliza vita ila kama anania kweli ni jambo jepesi sana marekani kama akikata msaada kwa ukraine sidhanii kama kuna taifa hapa duniani linaweza kuziba hilo gape ataloliacha americant ila ngoja tuone sina Imani na rahisi yeyote awaye wa us hasa kwenye suala la vita
Huu ndio wakati mwafaka wa kutamba na ule msemo wa Yaliyopita si ndwele, tugange yaliyopo na jayayo!
Nasikia tangu alfajiri Putin yumo kwenye conference hall makhususi akiisubiri kwa hamu simu ya swahiba wake Trump.