Hujui siasa za huko, ww njoo ongelea hizi za huku za majizi ya kura.Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.
Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided.
Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia tena wa kujifungia white house tu na asie na ushawishi wala uthubutu wa kuchangamana na wababe wengine wa kiuchumi duniani, nje na ndani ya white house.π
Soma pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Sawa mtabiri.......Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.
Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided.
Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia tena wa kujifungia white house tu na asie na ushawishi wala uthubutu wa kuchangamana na wababe wengine wa kiuchumi duniani, nje na ndani ya white house.π
Soma pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Wamarekani wakinichanganya kumchagua yule bibi, watajuta kama Tanganyika tunavyojuta.Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.
Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided.
Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia tena wa kujifungia white house tu na asie na ushawishi wala uthubutu wa kuchangamana na wababe wengine wa kiuchumi duniani, nje na ndani ya white house.π
Soma pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Sera zake sio rafiki kwa deep state hasa millitary industrial complexni maoni na mtazamo wangu kulingana na hali halisi ya kuibuka kwa ubabe wa kitecholojia, kijeshi na kiuchumi, nadhani powerful Donald Trump will be re-elected for second term π
Hapana! Tanganyika tunateseka sana.Kamala haris asubiri, agombee tena uchaguzi ujao. Marekani kwa sasa inahitaji rais mbabe, pale mashariki ya kati na kule ukraine/urusi kunanuka mnyukano. Anahitajika rais wa marekani mbabe kwenda kumaliza mnyukano huo
Okay...... tusubirini maoni na mtazamo wangu kulingana na hali halisi ya kuibuka kwa ubabe wa kitecholojia, kijeshi na kiuchumi, nadhani powerful Donald Trump will be re-elected for second term π
deep state nao ni dhaifu sana lakini,Sera zake sio rafiki kwa deep state hasa millitary industrial complex
Let's wait n see
Mpe mkeo utajua anajua nini ? Wenzako anamiliki degree ya kufinya ..muulize daimond alipokutana na p diddy mwenye degree ya ubashasasa gentleman zaid ya mihemko na ghadhabu una jua nini kwa mfano?π€£