Donald Trump atamshinda Kamala Haris kwa mbali sana Uchaguzi Mkuu Marekani

Mpe mkeo utajua anajua nini ? Wenzako anamiliki degree ya kufinya ..muulize daimond alipokutana na p diddy mwenye degree ya ubasha
Gentleman,
majadliano kuhusu uchaguzi wa marekani hufanywa na waerevu tu,

plz gentleman,
we relax pembeni au tafuta majukwaa mengine ya mambo hayo.

Tafadhali wape fursa wadau wajadiliane, wapeana elimu na kuongeza ufahamu na uelewa kuhusu mambo kadha wa kadha ya kuhusu uchaguzi huo wa marekani 🐒
 
Ndio maana nimekuambia ww baki na hizi siasa za shuruti, za huko utachekesha tu.
na mbona hucheki gentleman?

unabana nafasi tu humu jukwaani, fursa ambayo ni ya wangwana waerevu wasio wachoyo kuweka wazi maoni na mitazamo yao kuhusu uchaguzi huo,

lakini zaid sana wadau kuchambua kwa kina kifupi uchaguzi huko kitu ambacho kinaongeza uelewa, ufahamu na elimu juu ya uchaguzi huo muhimu wa kiDemokrasia marekani.

kama huna maoni,
kaa kimya na itapendeza zaid kuliko kuja kumangamanga hapa huna la maana 🐒
 
Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.

Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided.

Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia tena wa kujifungia white house tu na asie na ushawishi wala uthubutu wa kuchangamana na wababe wengine wa kiuchumi duniani, nje na ndani ya white house.🐒

Soma pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Tru.mp atashinda ingawa madia kubwa zote, waendesha kura za maoni wanampiga vita Trump.

Trump anasimamia values, wahamiaji haramu wanampiga vita. Hata huku nyumbani wale wachambuzi wa AZAM media hawampendi Trump na uchambuzi wao umeegemea siyo kwenye ukweli bali kumpendelea Harris. Mtu kama Shakur na Rabi ukiwasikiliza hoja zao tangu mwanzo ni kuonyesha Trump atashindwa.

Harris karata yake anayoitegemea ni kuruhusu utoaji Mimba kwa wanawake akijificha katika kichaka cha haki ya mwanamke kuamua kuhusu mwili wake lakini kimsingi anatetea mauaji ya watoto walioko tumboni.

Wanarekani wwngi waliojitokeza kupiga kura safari hii wengi wamesukumwa na issue za utoaji Mimba, wahamiaji haramu , inflation, ajira na kukuza uchumi na misimamo ya Trump kwa hoja hizo zote ndiyo sahihi.

Hakuna mwanamke wa marekani anayezuiwa kuutumia mwili wake anavyotaka lakini hiyo haki ya kuua walioko tumboni wanayoitaka baadhi ya wanawake haikubaliki wala kuungwa mkono na watu waadilifu. Ndio maana uchaguzi huu ni muhimu kwa wamarekani.

Kwa ujumla chama cha Democrats ndicho kinachoiangamiza marekani kwa kukumbatia maovu mbalimbali.

Nina imani mwenyezi Mungu atamsimamia Trump ashinde uchaguzi huu
 
Trump hawezi kurudi ofisini kwa sababu hana anachoenda kufanya k alishindwa kufanya wakati ule akiwa rais hawezi kupata hiyo fursa kwa mara ya pili. Umri wake nawo ni changamoto.
 
Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.

Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided.

Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia tena wa kujifungia white house tu na asie na ushawishi wala uthubutu wa kuchangamana na wababe wengine wa kiuchumi duniani, nje na ndani ya white house.🐒

Soma pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Mimi nafkiri atashinda Trump kwa sababu wamarekani majority ni wabaguzi na Trump sera zake ni ubaguzi hazitaki tochi
 
Kwan Kamala Haris kafanya nini na alikua IKULU?🐒
 
Mimi nafkiri atashinda Trump kwa sababu wamarekani majority ni wabaguzi na Trump sera zake ni ubaguzi hazitaki tochi
anabagua watu kwa rangi, dini au utaifa gentleman? 🐒
 
Fox news unataka Donald Trump ashinde.
Lakini hata Hannity naona ana wasiwasi kidogo.
Tusubiri matokeo.
 
kwa kila hali, kumbuka Muslim ban alipokuwa rais, pia akazuia green card, akajenga na ukuta mpakani na US n.k
ila Trump ni mbabe sana kusema ukweli na Kamala Haris ni myonge kupita kiasi 🐒
 
Kamala si mnyonge, utaona kama akishinda urais, hawa wamarekani wote karibu wana itikadi sawa yanapokuja masuala ya kile wanachita na kuitakidi kwamba huyu ni adui wa US.,
Bado atakuwa na ubaguzi kwa waislam, ataichukia Iran na kuilinda Israel kwa nguv zote, na pengine hawa watakuwa wabaya zaidi, russia hakuna mbadala wao wanaamini ni adui No.1 labda kutakuwa na mabadiliko kidogo kwenye mambo yao ya ndani lakini nje ni wabaya wote.
 
sure,
kwenye itikadi huwaga hawababaiki hata kidogo.

But, China, Japan, Russia, North Korea na wababe wengine watakua more powerful ikiwa Kamala Haris atachaguliwa kuiongoza marekani.

Namuona ni mtu wa kujifungia white house tu kama alivyo Biden. Sidhani kama ana uthubutu wa kukutana macho kwa macho na viongozi wababe wa nchi hizo na nyingine zenye nguvu ya ushawishi na kiuchumi na kujadiliana wakijaribu kutuliza hofu na joto la kiusalama na amani duniani 🐒
 
Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.

Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided.

Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia tena wa kujifungia white house tu na asie na ushawishi wala uthubutu wa kuchangamana na wababe wengine wa kiuchumi duniani, nje na ndani ya white house.🐒

Soma pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Huko hakuna bao la mkono na kupita bila kupingwa sheikhe. Mmezoea dhuluma mnafikiri kila mahali kuna uwanja wa kufanya dhuluma. Mshindi atakuwepo ila kwa kura chache sana kama 49:51 na sio 99:1 mlizozoea kwa wizi wenu hapa Tanzania.
 
Kamala haris asubiri, agombee tena uchaguzi ujao. Marekani kwa sasa inahitaji rais mbabe, pale mashariki ya kati na kule ukraine/urusi kunanuka mnyukano. Anahitajika rais wa marekani mbabe kwenda kumaliza mnyukano huo
Hapo ongezea na tishio la BRICS kuangusha dola yao
 
Huko hakuna bao la mkono na kupita bila kupingwa sheikhe. Mmezoea dhuluma mnafikiri kila mahali kuna uwanja wa kufanya dhuluma. Mshindi atakuwepo ila kwa kura chache sana kama 49:51 na sio 99:1 mlizozoea kwa wizi wenu hapa Tanzania.
uko sahihi kabisa kwamba hawana mwenyekiti wa kudumu kwenye vyama vyao, hukuna kutoana kafara na kusingizia sijui nini huko kisa tu uenyekiti wa Chadema, wala hakuna haja ya kuwachukua vijana wa chama misukule kuogopa mwenyekiti kukosa nafasi hiyo ya kudumu chamani.

wasimamiaji uchaguzi sio walevi kama wale waliotumwa kusimamia uchaguzi badala yake wakaishia kupiga ulabu tu, aise..

uchaguzi ulopita hapo marekani yalitokea maandamano ya kilevi kama yale haramu ya Chadema dah 🐒
 
Umezoea dhuluma huwezi kamwe kuona kwanini haki itendeke.
 
Sanaa yani maana dunia kwa Sasa vita inataka mbabe hakuna kuremba yani sijui pole nikupulize utapona ni undava undava kama baba ubaya
Dunia haiko hivyo unavyodhani, dunia kwa sasa inatafuta balance of power na uchumi mkubwa na sio mbabe wa vita, hao wababe wana remaini on WWII huko
 
Umezoea dhuluma huwezi kamwe kuona kwanini haki itendeke.
kabisa aise,
mtu anaelezwa wazi kabisa kuharibu kugombea uenyekiti wa chama ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi 🐒
 
Back
Top Bottom