Gentleman,Mpe mkeo utajua anajua nini ? Wenzako anamiliki degree ya kufinya ..muulize daimond alipokutana na p diddy mwenye degree ya ubasha
Ndio maana nimekuambia ww baki na hizi siasa za shuruti, za huko utachekesha tu.unaejua mbona unaeleza makasiriko tu na husemi unachokijua gentleman π
na mbona hucheki gentleman?Ndio maana nimekuambia ww baki na hizi siasa za shuruti, za huko utachekesha tu.
Tru.mp atashinda ingawa madia kubwa zote, waendesha kura za maoni wanampiga vita Trump.Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.
Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided.
Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia tena wa kujifungia white house tu na asie na ushawishi wala uthubutu wa kuchangamana na wababe wengine wa kiuchumi duniani, nje na ndani ya white house.π
Soma pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Mimi nafkiri atashinda Trump kwa sababu wamarekani majority ni wabaguzi na Trump sera zake ni ubaguzi hazitaki tochiKatika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.
Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided.
Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia tena wa kujifungia white house tu na asie na ushawishi wala uthubutu wa kuchangamana na wababe wengine wa kiuchumi duniani, nje na ndani ya white house.π
Soma pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Kwan Kamala Haris kafanya nini na alikua IKULU?πTrump hawezi kurudi ofisini kwa sababu hana anachoenda kufanya k alishindwa kufanya wakati ule akiwa rais hawezi kupata hiyo fursa kwa mara ya pili. Umri wake nawo ni changamoto.
kwa kila hali, kumbuka Muslim ban alipokuwa rais, pia akazuia green card, akajenga na ukuta mpakani na US n.kanabagua watu kwa rangi, dini au utaifa gentleman? π
Kamala si mnyonge, utaona kama akishinda urais, hawa wamarekani wote karibu wana itikadi sawa yanapokuja masuala ya kile wanachita na kuitakidi kwamba huyu ni adui wa US.,ila Trump ni mbabe sana kusema ukweli na Kamala Haris ni myonge kupita kiasi π
sure,Kamala si mnyonge, utaona kama akishinda urais, hawa wamarekani wote karibu wana itikadi sawa yanapokuja masuala ya kile wanachita na kuitakidi kwamba huyu ni adui wa US.,
Bado atakuwa na ubaguzi kwa waislam, ataichukia Iran na kuilinda Israel kwa nguv zote, na pengine hawa watakuwa wabaya zaidi, russia hakuna mbadala wao wanaamini ni adui No.1 labda kutakuwa na mabadiliko kidogo kwenye mambo yao ya ndani lakini nje ni wabaya wote.
Huko hakuna bao la mkono na kupita bila kupingwa sheikhe. Mmezoea dhuluma mnafikiri kila mahali kuna uwanja wa kufanya dhuluma. Mshindi atakuwepo ila kwa kura chache sana kama 49:51 na sio 99:1 mlizozoea kwa wizi wenu hapa Tanzania.Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.
Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided.
Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia tena wa kujifungia white house tu na asie na ushawishi wala uthubutu wa kuchangamana na wababe wengine wa kiuchumi duniani, nje na ndani ya white house.π
Soma pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Hapo ongezea na tishio la BRICS kuangusha dola yaoKamala haris asubiri, agombee tena uchaguzi ujao. Marekani kwa sasa inahitaji rais mbabe, pale mashariki ya kati na kule ukraine/urusi kunanuka mnyukano. Anahitajika rais wa marekani mbabe kwenda kumaliza mnyukano huo
uko sahihi kabisa kwamba hawana mwenyekiti wa kudumu kwenye vyama vyao, hukuna kutoana kafara na kusingizia sijui nini huko kisa tu uenyekiti wa Chadema, wala hakuna haja ya kuwachukua vijana wa chama misukule kuogopa mwenyekiti kukosa nafasi hiyo ya kudumu chamani.Huko hakuna bao la mkono na kupita bila kupingwa sheikhe. Mmezoea dhuluma mnafikiri kila mahali kuna uwanja wa kufanya dhuluma. Mshindi atakuwepo ila kwa kura chache sana kama 49:51 na sio 99:1 mlizozoea kwa wizi wenu hapa Tanzania.
Umezoea dhuluma huwezi kamwe kuona kwanini haki itendeke.uko sahihi kabisa kwamba hawana mwenyekiti wa kudumu kwenye vyama vyao, hukuna kutoana kafara na kusingizia sijui nini huko kisa tu uenyekiti wa Chadema, wala hakuna haja ya kuwachukua vijana wa chama misukule kuogopa mwenyekiti kukosa nafasi hiyo ya kudumu chamani.
wasimamiaji uchaguzi sio walevi kama wale waliotumwa kusimamia uchaguzi badala yake wakaishia kupiga ulabu tu, aise..
uchaguzi ulopita hapo marekani yalitokea maandamano ya kilevi kama yale haramu ya Chadema dah π
Dunia haiko hivyo unavyodhani, dunia kwa sasa inatafuta balance of power na uchumi mkubwa na sio mbabe wa vita, hao wababe wana remaini on WWII hukoSanaa yani maana dunia kwa Sasa vita inataka mbabe hakuna kuremba yani sijui pole nikupulize utapona ni undava undava kama baba ubaya