Donald Trump: Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura

Donald Trump: Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura

🔥 now 🔥
The fire is approaching
From nuclear weapons stores
Increase it, my Lord, increase it 🤲🔥🔥
 
Silaha gani hii, Ee Bwana? Moto mkali katikati ya majira ya baridi kali, unaochochewa na upepo mkali wa kuomboleza ambao Umewaachilia kwa siku nyingi, na ambao umewakumba usiku, hata makao yao yamekuwa kama mashamba yasiyo na matunda.

Ewe Mola wangu Mlezi, sifa njema ni Zako kwa kutuonyesha ishara zako za kutubainishia kuwa Wewe ni Haki, Pepo ni Haki, Jahannamu ni Haki, Muhammad, Rehema na amani ziwe juu yake, ni Haki, na adhabu. ya makafiri duniani na Akhera ni Haki.

View: https://x.com/issams24517/status/1877867403993862291?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
🇺🇲
🔴 Inafurahisha kuwa moto unaharibu nyumba zaidi 😱

🔥 The Palisades Fire imekua ekari 1,000 kwa usiku mmoja na sasa inatishia Brentwood, Los Angeles, ambapo watu wengi, akiwemo mwigizaji Dennis Quaid, wanahama.
Moto "mkubwa" ulisababisha moto kukua kwa kasi, na kufanya kuwa vigumu kwa ndege za kuzima moto kufanya kazi.
 
Mtangazaji wa American Fox News

💢 Wataalamu wa hali ya hewa wanaripoti kuwa ikiwa moto hautazimwa au kupunguzwa katika siku 4 zijazo, dhoruba kuu na vimbunga vitafika maeneo ya moto huko California.

Kwa hiyo, ikiwa dhoruba hii itafikia moto, Marekani yote itaingia katika hali ya hatari.
 
Mm saa nyingine huwa naitathimini Marekani nashindwa kuielewa kabisa.

Marekani ni taifa tajiri na anatawanya pesa nyingi kote dunia kufadhili mambo mbali mbali mengine yenye manufaa mengine ya kipuuzi.
Lakini cha kushangaza ndani ya Marekani kwenyewe huduma za kijamii ni mbovu sana zisio endana na hadhi yake, Marekani ukiumwa kama ww ni masikini aisee hakuna rangi utaona maana gharama za matibabu ziko juu sana.
Wakati wa obama alijaribu kuanzisha mpango wa bima ambao ungewezesha wamarekani masikini kupata matibabu kwa bei nafuu cha kushangaza watu waliupiga vita na Trump akaja aka ufuta.

Ni ngumu sana watu wengine kukuelewa mpaka ukae huko na uweze kueperience social services za huko pamoja na policy zake.

Huo mpango wa Obama ulikuwa unaitwa Obama Care, alipingwa na mabepari saana, wazungu hao wanasema, "After a lot of my hard-working and saving, how could my money be used to fund medical services to lazy and extravagance Black American; the only thing they can do is sex and excessive alcohol drinking (Binge).

What you are saying about expensive cost for health services in USA is true, Nakumbuka Bima yangu ya afya was not covering dental services, sasa si nikaumwa jino, likawa limetoboka, ilibidi nijifanye mhamiaji haramu ili niweze kuaccess free dental services kwenye shirika la dini lililokuwa kama umbali wa kutoka Mwanza kwenda Geita. Sasa issue ikaja kwenye appointment, mbali ya jino kuuma kama emergence, kumbuka limetoboka ,nilipewa appointment ya mwezi mmoja baadae, sitakaa nisahau, nisingeweza kwenda private kwani ghalama zake zingefika 20M kwa operation ya jino, kwani ghalama ya kule kwenye msamaha ilifika 10 M.

Huo ndio ukweli na ndio maana mimi Bongo hunitoi ng'o. Acha diaspora wajisifu ila cha moto wanakipata, ukiondoa wachache ambao wamekwisha jiestablish
 
Silaha gani hii, Ee Bwana? Moto mkali katikati ya majira ya baridi kali, unaochochewa na upepo mkali wa kuomboleza ambao Umewaachilia kwa siku nyingi, na ambao umewakumba usiku, hata makao yao yamekuwa kama mashamba yasiyo na matunda.

Ewe Mola wangu Mlezi, sifa njema ni Zako kwa kutuonyesha ishara zako za kutubainishia kuwa Wewe ni Haki, Pepo ni Haki, Jahannamu ni Haki, Muhammad, Rehema na amani ziwe juu yake, ni Haki, na adhabu. ya makafiri duniani na Akhera ni Haki.

View: https://x.com/issams24517/status/1877867403993862291?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ameen ameen ameen.
 
Adi Leo MOTO unaendelea kukaba uchumi wa marekani pamoja na mataifa yote ya Ulaya kupeleka misaada ya kuzima MOTO lkn awajaweza kuzima MOTO bado unasambaaaa zaid!!!!
 
Back
Top Bottom