Donald Trump: Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura

Mm saa nyingine huwa naitathimini Marekani nashindwa kuielewa kabisa.

Marekani ni taifa tajiri na anatawanya pesa nyingi kote dunia kufadhili mambo mbali mbali mengine yenye manufaa mengine ya kipuuzi.
Lakini cha kushangaza ndani ya Marekani kwenyewe huduma za kijamii ni mbovu sana zisio endana na hadhi yake, Marekani ukiumwa kama ww ni masikini aisee hakuna rangi utaona maana gharama za matibabu ziko juu sana.
Wakati wa obama alijaribu kuanzisha mpango wa bima ambao ungewezesha wamarekani masikini kupata matibabu kwa bei nafuu cha kushangaza watu waliupiga vita na Trump akaja aka ufuta.
 
Mkuu fasiri umeitoa google translate'nini?... 'Funding genocides abroad' ni kufadhili majengo ya nchi?
Huko California, Idara ya Zimamoto haina mali ya kutosha kukabiliana nayo: hakuna ndege za kuzima moto na helikopta kadhaa tu. Hawana hata maji ya kutosha kwa sababu mabwawa ni tupu.
Lakini kila mara kuna pesa za kutosha kulazimisha mabadiliko ya serikali nchini Syria, mabilioni ya kufadhili vita vya Israeli vya Gaza na kutuma mabilioni mengine kwa Ukraine.
#CaliforniaNyotoYa Pori #PalisadesFire #LosAngeles #ElonMusk #HARAKA


View: https://x.com/syed_1109084/status/1877663231218458824?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hayo ni maneno ya Trump kweli? Mbona hiyo ni kama tweet ya huyo Syed….akimwandikia Ttump huo ujumbe…
 
Mungu anawaonyesha kuwa mwanamke hafai kuwa kiongozi mbele ya mwanaume. California ni jimbo ambalo linauthibiti wa Kamala Harris na alikuwa anapigiwa kampeni na wasanii maarufu kutoka California. Baada ya Donald Trump kuapishwa hasira ya Mungu dhidi ya marekani itatulia na marekani itazidi kupaa kiuchumi.

Na nyie mshishupaza shingo mkalazimisha mwanamke kuwa kiongozi uchaguzi huu , baada ya 2025 yatawakuta majanga makubwa zaidi ya janga la California.
 
🚮🚮
Kamala ndio anaongoza California? Mungu wa wapi huyo?
 
Supa pawa hana vyote hivyo? 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…