Donald Trump: Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura

Donald Trump: Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura

Sidhani kama ni kweli.
Hayo maneno yamekaa kisiasa sana kwa sababu hapo mwishoni amesema U.S.A aache kufadhili vita nje ya nchi, that means ana fedha nyingi anazopaswa kuelekeza kwenye mambo ya msingi ndani ya nchi yake
Marekani hata wakinya utasema mavi ya watz maana mmarekani akinya anakunya dhahabu. Mapenzi mengine kichefu chefu
 
Nilidhani haya mambo ni Tanzania tu daaah.
Sasa hapo viongozi wa Tanganyika ndio watavimba mashavu. Yakitokea hapa mtaambiwa hamkuona Taifa kubwa Marekani ilivyokuwa?
Hii ndio itakuwa precedent whenever there is a lacuna in Law😂😂🤣🤣✌🏿✌🏿✌🏿
 
Donald Trump bado hajaingia ikulu rasmi. Miti mikavu ya jangwani isikutishe.
Allah anamjibu kabla hajaingia madarakani, kama bado hajaingia madarakani maneno yake yalionyesha yuko madarakani
 
Mungu anawaonyesha kuwa mwanamke hafai kuwa kiongozi mbele ya mwanaume. California ni jimbo ambalo linauthibiti wa Kamala Harris na alikuwa anapigiwa kampeni na wasanii maarufu kutoka California. Baada ya Donald Trump kuapishwa hasira ya Mungu dhidi ya marekani itatulia na marekani itazidi kupaa kiuchumi.

Na nyie mshishupaza shingo mkalazimisha mwanamke kuwa kiongozi uchaguzi huu , baada ya 2025 yatawakuta majanga makubwa zaidi ya janga la California.
Sawa tumekusikia.

Wewe ndio msemaji mkuu wa Mungu? Diary ya mipango yake unaibeba wewe eti? 🙄
 
Bila shaka huzijui wildfires!
Hapo nimezungumza kama utani ambapo pia human activities zinachangia sana!

Mkuu Research Project yangu ya mwaka wa mwisho wa 3 pale chuo kikuu cha DAR ES SALAAM (CONAS) mwaka 2012 nilifanya juu ya "The Determination of the effects of wildfires on Stem Density and the perceptions of the surrounding communities in SAO HILL FOREST PLANTATIONS" ...nilipiga A

Kwahiyo nayajua mkuu
 
Hapo nimezungumza kama utani ambapo pia human activities zinachangia sana!
Mkuu Research Project yangu ya mwaka wa mwisho wa 3 pale chuo kikuu cha DAR ES SALAAM (CONAS) mwaka 2012 nilifanya juu ya the effects of wildfires and perceptions of the surrounding communities .... Pale SAO HILL FOREST PLANTATIONS ...nilipiga A

Kwahiyo nayajua mkuu
Hivi hizi ni conspiracy theories kuwa wamechoma makusudi ili wajenge mji mpya
Maana ni bora kujenga kwenye ardhi isiyokuwa na nyumba kuliko patupu
Hebu angalia Gazeti la Daily Mail la UK la jana
Halafu pia wamesema eti maji hayatoshi kama sio mbinu na mikakati ni nini?
Tusaidie hapo utakaposoma hiyo article
Screenshot_20250110_171806_Instagram~2.png
 
Wanakumbi.

Donald Trump:

There is no water to extinguish fires, there is no money in emergency agencies.

The US should focus on solving its OWN CRISES instead of funding GENOCIDES abroad!
Donald Trump:
===============
Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura.

Marekani ijikite katika kutatua MGOGORO wake badala ya kufadhili MAJENGO nje ya nchi!

View: https://x.com/syed_1109084/status/1877431426464743569?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Source: CNN Fact check: As wildfires rage, Trump lashes out with false claims about FEMA and California water policy | CNN Politics

Wacha wapate adabu maamae zao kule wanawauwa wapalestina kama wanavyouwa mende hawasikii lolote wala hawana hisia zozote
 
Wanakumbi.

Donald Trump:

There is no water to extinguish fires, there is no money in emergency agencies.

The US should focus on solving its OWN CRISES instead of funding GENOCIDES abroad!
Donald Trump:
===============
Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura.

Marekani ijikite katika kutatua MGOGORO wake badala ya kufadhili MAJENGO nje ya nchi!

View: https://x.com/syed_1109084/status/1877431426464743569?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Source: CNN Fact check: As wildfires rage, Trump lashes out with false claims about FEMA and California water policy | CNN Politics

Genocide leo hii ndiyo tafsiri ya majengo ? Na mauaji ya mimbari jina lake kikoloni ni nini?
 
Sidhani kama ni kweli.
Hayo maneno yamekaa kisiasa sana kwa sababu hapo mwishoni amesema U.S.A aache kufadhili vita nje ya nchi, that means ana fedha nyingi anazopaswa kuelekeza kwenye mambo ya msingi ndani ya nchi yake
Watazipeleka lini sasa hizo pesa maana wale wa mafuriko mpaka leo hakuna chochote kilichofanyika, haya wa moto nao ndio hivyo bado kuna homelessness

Serikali ya Marekani inachojua ni kutumua mabilioni ya dola kufadhili vita na kutengeneza silaha wananchi hapana
 
Wanakumbi.

Donald Trump:

There is no water to extinguish fires, there is no money in emergency agencies.

The US should focus on solving its OWN CRISES instead of funding GENOCIDES abroad!
Donald Trump:
===============
Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura.

Marekani ijikite katika kutatua MGOGORO wake badala ya kufadhili MAJENGO nje ya nchi!

View: https://x.com/syed_1109084/status/1877431426464743569?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Source: CNN Fact check: As wildfires rage, Trump lashes out with false claims about FEMA and California water policy | CNN Politics

Mkuu kufadhili majengo? Umetumia google......😀
 
Hapo nimezungumza kama utani ambapo pia human activities zinachangia sana!

Mkuu Research Project yangu ya mwaka wa mwisho wa 3 pale chuo kikuu cha DAR ES SALAAM (CONAS) mwaka 2012 nilifanya juu ya "The Determination of the effects of wildfires on Stem Density and the perceptions of the surrounding communities in SAO HILL FOREST PLANTATIONS" ...nilipiga A

Kwahiyo nayajua mkuu
Sawa, mkuu, lakini usilinganishe mazingira ya Iringa na mazingira ya California. Mchango wa human activities kwenye wildfires za California ni kidogo sana. Kule natural elements zinapambana mpaka moto unatokea, bila mchango wa binadamu. Baada ya hapo, ongeza wind gusts zinazozidi 100 mph, wakati mwingine, kisha niambie ni fire brigade gani itauzima huo moto!
 
Back
Top Bottom