Usa yupo siria iraq saudi qatari jordan yote hayo sio kwa maslaji ya usa bali ni kumlinda israeli siku wakigundua adui wa usa namba moja ni wazayuni wanatoitumia usa kwa faida yao watakuwa wamechelewa sanaMm saa nyingine huwa naitathimini Marekani nashindwa kuielewa kabisa.
Marekani ni taifa tajiri na anatawanya pesa nyingi kote dunia kufadhili mambo mbali mbali mengine yenye manufaa mengine ya kipuuzi.
Lakini cha kushangaza ndani ya Marekani kwenyewe huduma za kijamii ni mbovu sana zisio endana na hadhi yake, Marekani ukiumwa kama ww ni masikini aisee hakuna rangi utaona maana gharama za matibabu ziko juu sana.
Wakati wa obama alijaribu kuanzisha mpango wa bima ambao ungewezesha wamarekani masikini kupata matibabu kwa bei nafuu cha kushangaza watu waliupiga vita na Trump akaja aka ufuta.