Donald Trump: Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura

Donald Trump: Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura

Mbona wana mbinu nyingi sn za kutatua majanga kwenye movie zao?? SupperMan 🦸‍♂️ yuko wapi jamani😁😁. Kuna ile style moja niliona kwenye movie yao moja wanachota maji na helicopter ikiwa imebena lifuko likubwa linauning'iniza likifika baharini linatumbukiza mfuko baharini ikinyanyuka inanyanyuka na litre zakutosha. Au Los Angeles hakuna bahari??😂😂
Waangalie movie zao bhana wasituchoshe.
Inshort hata siumii yanayoendelea nikifikilia maswala yao ya upinde acha wachomeke tu
 
Mm saa nyingine huwa naitathimini Marekani nashindwa kuielewa kabisa.

Marekani ni taifa tajiri na anatawanya pesa nyingi kote dunia kufadhili mambo mbali mbali mengine yenye manufaa mengine ya kipuuzi.
Lakini cha kushangaza ndani ya Marekani kwenyewe huduma za kijamii ni mbovu sana zisio endana na hadhi yake, Marekani ukiumwa kama ww ni masikini aisee hakuna rangi utaona maana gharama za matibabu ziko juu sana.
Wakati wa obama alijaribu kuanzisha mpango wa bima ambao ungewezesha wamarekani masikini kupata matibabu kwa bei nafuu cha kushangaza watu waliupiga vita na Trump akaja aka ufuta.
Huduma gani za kijamii ambazo ni mbovu zisizoendana na hadhi yake?

Trump hakufuta Obamacare, alikosa kura za kutosha katika bunge la seneti baada ya John McCain wa Republican kukataa kufutwa kwa huo mpango, pia Obamacare sio kwa ajili ya raia wote wa Marekani bali ni mpango wa watu wa kipato cha kati na chini.

Huduma za matibabu kuwa juu sana Marekani ni kwa sababu Republicans ambo wako karibia nusu ya nchi hawataki serikali isaidie kugharamia au kuwapa nafuu za gharama za matibabu watu masikini kupitia bima nzuri zaidi na ruzuku. Republicans wanataka kila mtu agharamikie mwenyewe gharama zake za matibabu, hawataki serikali iingilie hospital au kampuni za madawa kupunguza gharama kwa sababu wanaamini soko huria linaweza kutatatua changamoto zozote zile na kwamba uingiliaji wa serikali kusaidia baadhi ya huduma ni sawa na ujamaa au ukomunisti tu unaoharibu soko na uhuru wa watu.
 
Waislamu eleweni moto huo umesababishwa na upepo mkali wa Santa Ana sio allah. Mtakatifu Ana sio muislamu , hili ni jina la
kikatoliki.
Wewe shoga unaumwa UTI sugu siyo bure Waislam wanaingiaje hapa
 
Janga la moto limethibitisha ukweli kwamba ndani ya hii dunia, inawezekana ikatokea janga ambalo litatumaliza wanadamu wote, hata wale wenye kudhani kwamba sababu ya maendeleo na technology, wameshamaliza yote.

Na hii inatukumbusha ukuu wa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu yupo na ana nguvu.
Kuna watu walikuwa wanaamini kwamba majanga yote duniani yanadhibitika kwa sababu ya teknolojia?

Mbona tumeona Tsunami na matetemeko yakiathiri mataifa yenye teknolojia kubwa sana kama Japan na Uturuki mara kwa mara?!

Mbona mafuriko yamekuwa yakiathiri sana Marekani miaka kwa miaka??
 
Kuna watu walikuwa wanaamini kwamba majanga yote duniani yanadhibitika kwa sababu ya teknolojia?

Mbona tumeona Tsunami na matetemeko yakiathiri mataifa yenye teknolojia kubwa sana kama Japan na Uturuki mara kwa mara?!

Mbona mafuriko yamekuwa yakiathiri sana Marekani miaka kwa miaka??

Hili ni funzo wa Biden na wajinga wenzake ambao wanasema waliomchagua Trump hawana elimu na akili.
Wanamaanisha kuwakubali mashoga na transgender ndio umeeelimika.
Wamejaza hawa vilaza kila waliobadili jinsia kila sehemu.
 
Jewish Billionaires Stewart and Lynda Resnicks farms guzzle more water than ALL of fire-ravaged Los Angeles.

They paid out Californian Governor, Gavin Newsom $366,800 to ensure his re-election in 2021.

Resnicks own 185,000 acres of land and a majority stake in the Kern Water Bank basin that stores up to 1.5 million acre-feet of water… which is sold back to the State when they allow.

This is the main reason the LA fire department had no access to water, exactly like we witnessed in Hawaii.
 
Hili ni funzo wa Biden na wajinga wenzake ambao wanasema waliomchagua Trump hawana elimu na akili.
Wanamaanisha kuwakubali mashoga na transgender ndio umeeelimika.
Wamejaza hawa vilaza kila waliobadili jinsia kila sehemu.
Wakati Trump akiwa Rais moto kama huo haujawahi kuwaka Marekani??
 
The US should focus on solving its OWN CRISES instead of funding GENOCIDES abroad!
Donald Trump:
===============
Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura.

Marekani ijikite katika kutatua MGOGORO wake badala ya kufadhili MAJENGO nje ya nchi!
Hivi Genocides siku hizi kiswahili chake ni Majengo?
 
Iwapo utawahi kujisikia mjinga, kumbuka tu kwamba Marekani hutuma mabilioni ya dola kwa Wanazi nchini Ukraini na Wanazi huko Zionistan wakati Marekani inaonekana hivi.
Ongeza picha zingine tuone kulivyoungua huko kwenye mji wa Sodoma na Gomola
 
20250112_095656.jpg
 
Back
Top Bottom