Donald Trump: Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura

We kule kanisani ndio kwenye mapepo au umesahau, we mmoja wao si unatolewa pepo kanisani 😆 😂 Wambieni waendelee kumsaidia Israel mpaa hata pesa za kuzima moto hawana sasa. Allah tia moto hao mpaa walie kuliko watoto wa Gaza.
Majini 72 mmewatuma Los Angeles
 
Wanakumbi.

Donald Trump:

There is no water to extinguish fires, there is no money in emergency agencies.

The US should focus on solving its OWN CRISES instead of funding GENOCIDES abroad!
Donald Trump:
===============
Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura.

Marekani ijikite katika kutatua MGOGORO wake badala ya kufadhili MAJENGO nje ya nchi!

View: https://x.com/syed_1109084/status/1877431426464743569?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Source: CNN Fact check: As wildfires rage, Trump lashes out with false claims about FEMA and California water policy | CNN Politics

Tafsiri ya neno GENOCIDES kuwa ni MAJENGO badala ya MAJANGA imeondoa maana halisi ya dhamira ya DONALD TRUMP katika sera ya mambo ya nje.
Hata hivyo moto huu ni adhabu toka kwa Mungu kutokana na matendo machafu ya USHOGA na USAGAJI pale LOS ANGELES na kwingineko.
 
Genocides = mauaji ya kimbari.
Shuleni ulienda kula makamasi?
 
Tafsiri ya neno GENOCIDES kuwa ni MAJENGO badala ya MAJANGA imeondoa maana halisi ya dhamira ya DONALD TRUMP katika sera ya mambo ya nje.
Hata hivyo moto huu ni adhabu toka kwa Mungu kutokana na matendo machafu ya USHOGA na USAGAJI pale LOS ANGELES na kwingineko.
Genocide = mauaji ya kimbari.
 
Wameanza kupata akili, sa Shetanyahu na jeshi la Israel wako wapi waje wawasaidie 🤣
Lile zee jinga eti lilisema kama Hamas hawajaachia mateka kabla ya terehe 20 basi Gaza na Mashariki ya kati itakuwa Jahanam Mungu kamuonyesha Jahanam ipo wapi kwa sasa😂 jana limetuma wajumbe kwenda Qatar waongee na Hamas waachie Mateka.
 
Back
Top Bottom