Donald Trump: Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura

Donald Trump: Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura

Screenshot_20250112-101415_X.jpg
 
Wakati Trump akiwa Rais moto kama huo haujawahi kuwaka Marekani??
Mkuu moto usikie tu yaan kuna pori moja nilienda kulima huko machakani basi nikalima pakubwa ikafika muda nimechoka sana na natakiwa kumaliza siku hio hio sasa kumbe kuna kitu nilisahau kule wenyewe hua hawachomi moto mchana kuelekea jioni yaani kuanzia saa 7 kuelekea 11 jioni hukuti mtu anachoma moto kwa sababu ya upepo mkali hada 12 kuelekea saa 1 ndio utakuta watu wanachoma moto

Basi nikaingia pori fanya yangu imefika saa 7 kwenda 8 nimechoka nikasema ngoja nichome hauendi mbali huu, ebanaeee moto unatembea na nyasi na kinyasi kidogo tu kikirukia upande wa pili kinawezaa kuunguza pori zima na ukiwa peke yako hata ufanye nini huwezi kuzima moto unaowaka kila upande

Nikatia kiberiti basi nikaanza kuzuia huku na huku ili moto usihame huwezi amini upepo ulipoongezeka kidogo tu moto ukahama ukahamia pori la pili uzuri kuna Mama yeye mwenyeji wa hilo eneo akaniambia usipokua makini utachoma pori zima hili utaunguza miti yote hii akaanza kunisaidia kuzima kuna sehemu akaniambia niwahi usivuke yaan kumbe kuna sehemu mbele walichimba kanjia akasema ukivuka kale kanjia ndio basi huo moto hauupati, kadadek nikawahi kale kanjia nikakuta ndio umekaribia kuvuka nilipambana ule moto balaa ingawa na mimi uliniunguza ila haukuvuka kale kanjia huku yule mama anasaidia kuzima upande mwingine ningekua peke yangu mngesikia tu kuna pori limeungua huko
 
Wakwapi wakristo walio kuwa wakisema yuko wapi Allah, mji unao ungua Los Angeles ndio unaongoza kuwasaidia Israeli na Mungu kaenda watia adabu.
Kwa hio mmewatumia kifurushi cha majini wawashughulikie?
 
Kwa hio mmewatumia kifurushi cha majini wawashughulikie?
Hizo ndio akili za wafuasi wa mkosa njia. Nyie si mlikuwa mnasema Allah yuko wapi? Sa kaulize state inayo wasaidia Israel kule US kuliko zote kama sio hio Los Angeles 😂 Allah choma moto hao makafiri mpaa wakose wao pesa za kuwasaidia Israel.
 
Hatari sana. Wazayuni wa nashishi na w chaz awaelewi inakuaje yupi mungu wa kweli kwasasa!!!! Wametatizika sasa niwakati wenu kujua mungu ninani marekani inapigwa nanani inaunguzwa nananani kwanini iwe marekani tu kupata moto huuu sote atujawai ona popote Duniani moto wa nfano huuu mwenye akili huu niwazi ni ujumbe kutoka kwa mungu kuja kwetu. Haki usizurumu haki ya mnyonge Palestine ni wanyonge lkn wanae mungu mkuu awajawai kukata tamaaa walikuwa awachoki kuomba mungu wao awakumbuke leo leo hatari mola wao tunaona kwa macho yetu Uwezo wa mungu!!! Mabank yanateketea majumba makubwa yanawaka moto akika watu sasa wataamini wazi wazi Mungu yupo mana watu wameandamana kila seem marekani kawa kiziwi sasa ngoja tuone mwisho wa huu moto. Atatoa mlio tu !!
Utawaka mpaka ikulu au sio? Mmetuma majini wengi sana?
 
Hizo ndio akili za wafuasi wa mkosa njia. Nyie si mlikuwa mnasema Allah yuko wapi? Sa kaulize state inayo wasaidia Israel kule US kuliko zote kama sio hio Los Angeles 😂 Allah choma moto hao makafiri mpaa wakose wao pesa za kuwasaidia Israel.
Kifurushi cha majini 72 mmekituma kwenda LA Californium au sio?
 
Kifurushi cha majini 72 mmekituma kwenda LA Californium au sio?
We kule kanisani ndio kwenye mapepo au umesahau, we mmoja wao si unatolewa pepo kanisani 😆 😂 Wambieni waendelee kumsaidia Israel mpaa hata pesa za kuzima moto hawana sasa. Allah tia moto hao mpaa walie kuliko watoto wa Gaza.
 
Wanakumbi.

Donald Trump:

There is no water to extinguish fires, there is no money in emergency agencies.

The US should focus on solving its OWN CRISES instead of funding GENOCIDES abroad!
Donald Trump:
===============
Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura.

Marekani ijikite katika kutatua MGOGORO wake badala ya kufadhili MAJENGO nje ya nchi!


View: https://x.com/syed_1109084/status/1877431426464743569?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Source: CNN Fact check: As wildfires rage, Trump lashes out with false claims about FEMA and California water policy | CNN Politics

Genocide ni majengo kumbe??

Makubwa.!!
 
Back
Top Bottom