Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu moto usikie tu yaan kuna pori moja nilienda kulima huko machakani basi nikalima pakubwa ikafika muda nimechoka sana na natakiwa kumaliza siku hio hio sasa kumbe kuna kitu nilisahau kule wenyewe hua hawachomi moto mchana kuelekea jioni yaani kuanzia saa 7 kuelekea 11 jioni hukuti mtu anachoma moto kwa sababu ya upepo mkali hada 12 kuelekea saa 1 ndio utakuta watu wanachoma motoWakati Trump akiwa Rais moto kama huo haujawahi kuwaka Marekani??
Wakwapi wakristo walio kuwa wakisema yuko wapi Allah, hio state inayo ungua Los Angeles ndio inaongoza kuwasaidia Israeli, na Mungu kaenda watia adabu.
Hio State ni shenzi type wao ndio wanao ongoza kuwasaidia Israel kuliko state zote za USA. Wacha waipate
Mmewatumia kifurushi cha Majini sio poa kabisaMungu analipa hapa Duniani Trump alisema kama Hamas hawatachia mateka kabla ya tarehe 20 Basi Gaza itakuwa Jahanamu😂
Kwa hio mmewatumia kifurushi cha majini wawashughulikie?Wakwapi wakristo walio kuwa wakisema yuko wapi Allah, mji unao ungua Los Angeles ndio unaongoza kuwasaidia Israeli na Mungu kaenda watia adabu.
Huoni sio moto wa kawaida huo au hujaelewa bado?Shenzi type wao ndio wanao ongoza kuwasaidia Usrael kuliko state zote za USA. Wacha waipate
Hizo ndio akili za wafuasi wa mkosa njia. Nyie si mlikuwa mnasema Allah yuko wapi? Sa kaulize state inayo wasaidia Israel kule US kuliko zote kama sio hio Los Angeles 😂 Allah choma moto hao makafiri mpaa wakose wao pesa za kuwasaidia Israel.Kwa hio mmewatumia kifurushi cha majini wawashughulikie?
Utawaka mpaka ikulu au sio? Mmetuma majini wengi sana?Hatari sana. Wazayuni wa nashishi na w chaz awaelewi inakuaje yupi mungu wa kweli kwasasa!!!! Wametatizika sasa niwakati wenu kujua mungu ninani marekani inapigwa nanani inaunguzwa nananani kwanini iwe marekani tu kupata moto huuu sote atujawai ona popote Duniani moto wa nfano huuu mwenye akili huu niwazi ni ujumbe kutoka kwa mungu kuja kwetu. Haki usizurumu haki ya mnyonge Palestine ni wanyonge lkn wanae mungu mkuu awajawai kukata tamaaa walikuwa awachoki kuomba mungu wao awakumbuke leo leo hatari mola wao tunaona kwa macho yetu Uwezo wa mungu!!! Mabank yanateketea majumba makubwa yanawaka moto akika watu sasa wataamini wazi wazi Mungu yupo mana watu wameandamana kila seem marekani kawa kiziwi sasa ngoja tuone mwisho wa huu moto. Atatoa mlio tu !!
Kifurushi cha majini 72 mmekituma kwenda LA Californium au sio?Hizo ndio akili za wafuasi wa mkosa njia. Nyie si mlikuwa mnasema Allah yuko wapi? Sa kaulize state inayo wasaidia Israel kule US kuliko zote kama sio hio Los Angeles 😂 Allah choma moto hao makafiri mpaa wakose wao pesa za kuwasaidia Israel.
Huo moto Allah kawaletea wasaidizi wa Israel, kawambia haya uzimeni kama nyie ni kweli masuper powerHuoni sio moto wa kawaida huo au hujaelewa bado?
MajiniHuo moto Allah kawaletea wasaidizi wa Israel, kawambia haya uzimeni kama nyie ni kweli masuper power
Wakati Trump akiwa Rais moto kama huo haujawahi kuwaka Marekani??
We kule kanisani ndio kwenye mapepo au umesahau, we mmoja wao si unatolewa pepo kanisani 😆 😂 Wambieni waendelee kumsaidia Israel mpaa hata pesa za kuzima moto hawana sasa. Allah tia moto hao mpaa walie kuliko watoto wa Gaza.Kifurushi cha majini 72 mmekituma kwenda LA Californium au sio?
Tuliwambia makafiri humu Allah akilipa ni balaa, wacha watu wa Los Angeles waseme wamepigwa na Nuclear 🤣
Wanakumbi.
Donald Trump:
There is no water to extinguish fires, there is no money in emergency agencies.
The US should focus on solving its OWN CRISES instead of funding GENOCIDES abroad!
Donald Trump:
===============
Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura.
Marekani ijikite katika kutatua MGOGORO wake badala ya kufadhili MAJENGO nje ya nchi!
View: https://x.com/syed_1109084/status/1877431426464743569?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Source: CNN Fact check: As wildfires rage, Trump lashes out with false claims about FEMA and California water policy | CNN Politics