Donald Trump kuzungumza na rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta

Kabla Trump aongee na rais yeyote wa Africa aliongea na marais wengine wa nchi kuu kuu kama vile Germany, Japan, China, UK ....... Marais kama wa China na Russia hua haongei lugha nyengine ila kichina au kiurusi .... hua kuna protocol flani kama marais wanaongea lugha tofauti.... hapo kwa switch board ndani ya white house kunakua na translator ambae anatranslate juu kwa juu kabla imfikie trump inakua ni kama wanaonge lugha moja... Kwahivyo lugha haijalishi... Kiswahili ni moja wepo wa lugha kuu Africa, Magu akipigiwa si lazima aongee kizungu
 
Unatakiwa kujua kua rais wa Tanzania,namaanisha rais wangu hajui kiswahili fasaha wala kiingereza fasaha,hii inaweza kuleta shida katika kutafsiri na hivyo kukatokea kutokuelewana.
 
Tupeni updates, sisi wengine tuko vijijini kwahiyo hakuna TV wala source nyingine ya taarifa zaidi ya JF.
 
Unatakiwa kujua kua rais wa Tanzania,namaanisha rais wangu hajui kiswahili fasaha wala kiingereza fasaha,hii inaweza kuleta shida katika kutafsiri na hivyo kukatokea kutokuelewana.
Jamaa anaeza ongea trump akathania ametangaza vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…