Kabla Trump aongee na rais yeyote wa Africa aliongea na marais wengine wa nchi kuu kuu kama vile Germany, Japan, China, UK ....... Marais kama wa China na Russia hua haongei lugha nyengine ila kichina au kiurusi .... hua kuna protocol flani kama marais wanaongea lugha tofauti.... hapo kwa switch board ndani ya white house kunakua na translator ambae anatranslate juu kwa juu kabla imfikie trump inakua ni kama wanaonge lugha moja... Kwahivyo lugha haijalishi... Kiswahili ni moja wepo wa lugha kuu Africa, Magu akipigiwa si lazima aongee kizungu