Donald Trump kuzungumza na rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta

Donald Trump kuzungumza na rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta

Can't argue with beggars!..im out!...greet your fellow omba omba in Kibera.
Byee kalb hayawan!
 
Hehe ungejua ungenyamaza tu...
sijui ata kama umesoma wewe. ...mwizi tu

Sasa omba omba ana kipi cha kuibiwa?...halafu tanganyika kuna masomo ipi?.....hahhhahhh!..husinifanye nicheke!

Kituko weye!
 
Hehe ungejua ungenyamaza tu...
sijui ata kama umesoma wewe. ...mwizi tu
sawa umeshinda...wacha sie tungoje tuskie watakachozungumzia hawa viongozi wawili...mtaumwa!!! am out too
 
Siku akiongea na Sizonje ndio atajionea maajabu..
 
Wana Dar is slum, al maharufu walatope yafaa wafyate ndimi humu ndani,sisi ndio wasemaji nyie wanusaji hehe......
 
Sasa cha ajabu ni nini hapo!
Hivi mbona waafrika tuna shida sana.....

Badala ya kufurahia mzee Mugabe kampigia Uhuru eti unachekelea mkoloni mamboleo kupigia simu raisi wenu
 
Mi nahisi Trump pamoja na mambo mengine yawezekana ameshindwa kuongea na huyu wakwetu kwasababu ya lugha kua ngumu kwake,huyu rais wangu anaongea kiingereza kibaya sana,na siyo kiingereza tu hadi Kiswahili anaongea kibaya sana,haongei kiswahili wala kiingereza sanifu.Poor Tanzania.
 
hahahahahahaha
 
Hivi kwa mfano akiamua kuongea na mtukufu wetu wataongea lugha gani? Au atawekwa mkalimani kama adis ababa? Tushukuru tumekwepa aibu hiyo
 
Agusie na swala la vyeti feki humu manaa kuna watu wanafoji vyetii
 
Yani Trump ndiye anayezungumza na Uhuru, that makes Uhuru so passive.
 
Back
Top Bottom