Vita gani ambayo hajaimaliza.Huyu Babu (Trump) huwa anajigamba kumaliza vita zaidi ya 6 toka awe Rais, Cha ajabu anataka kuanzisha vita nyingine na Iran.
Huyu Mzee ni tapeli wa kisiasa.
Ukraine na Urusi.Vita gani ambayo hajaimaliza.
Duh hizo zilianzishwa na Trump?Ukraine na Urusi.
Israel na Hamas (bado inaning'inia)
Drc na Rwanda/M23 (Bado ipo haieleweki mwisho wake).
Amejigamba kamaliza hizo vita mpaka anasema anastahili tuzo ya NobelDuh hizo zilianzishwa na Trump?
Apigwe mtuAmejigamba kamaliza hizo vita mpaka anasema anastahili tuzo ya Nobel
hapo hakuna vita iliyoanzishwa na Marekani.1. Drc
2. Gaza
3. Ukraine
Nasubiria kuona akipigwaAmejigamba kamaliza hizo vita mpaka anasema anastahili tuzo ya Nobel
Kujigamba sio kuanzisha vita, vita anayokwenda kuianzisha mwenyewe ni hii na Iran atapimwa kwa vita hii.Amejigamba kamaliza hizo vita mpaka anasema anastahili tuzo ya Nobel
Trump atamtoa mtu menoKujigamba sio kuanzisha vita, vita anayokwenda kuianzisha mwenyewe ni hii na Iran atapimwa kwa vita hii.
Wewe zero brain umeishia darasa la ngapi?hapo hakuna vita iliyoanzishwa na Marekani.
DRC kaikuta,
Gaza kaikuta,
Ukraine ni ya NATO.
Unataka tujadili au tuanze kurushiana matusi chaguo ni lako.Wewe zero brain umeishia darasa la ngapi?
Sijadili na kilaza ambae source yake ya info ni magrupu yake ya wasapUnataka tujadili au tuanze kurushiana matusi chaguo ni lako.
Hayo utajua wewe hayatuhusu tunachojua kasema countdown seven days from today, eagerly waiting to see happening.Trump is senile and is suffering from schizophrenia
Chapa lapa.Sijadili na kilaza ambae source yake ya info ni magrupu yake ya wasap
You are up to date 👍Trump is senile and is suffering from schizophrenia