Donald Trump: Ndani ya Siku 7 Ulimwengu unakwenda kushuhudia tukio ambalo halitasahaulika

Hivi ni kweli Marekani amedhamiria kushambulia Iran au ni kitisho tu?
Nia ipo ila kwa sasa ni mchezo wa paka na panya.

Marekani kuipelekea hiyo meli yao kubwa baada ya kazi ya Venezuela, waonyesha ulimwengu dhamira yao, yaani kuwabana China na Russia katika maeneo wanoamini ni yao.

Nyuma yake kuna suala la mafuta na Marekani wataka kuumiliki mazima mfereji wa Harmuz unokutanisha ghuba ya Uajemi, kisiwa cha Musandam pamoja na Oman, hapo asilimia 20 ya mafuta yanokwenda Duniani yapita hapo. Ikitokea Iran ikabinywa vilivyo basi yaweza kuufunga mfereji huo na kusababisha matatizo makubwa ya kiuchumi Duniani kwani bei ya mafuta itafurumuka na pia kusababisha mfumuko wa bei kwa bidhaa zinginezo.

Hivyo kazi ya kuhakikisha Iran hatakuja kutenda hayo kwenye "worst case scenario" alipewa Israeli na tiyari hadi sasa kavunja uwezo wa Hamas, Hezbollah na kundi la Wahuthi wa Yemen kushambulia meli na miundombinu ingine ya Marekani na nchi za magharibi.

Sasa Marekani ana "options" zipi mezani juu ya kuishambulia Iran?

Moja, njia ya amani yaani matumizi ya diplomasia kwa kuongeza shinikizo kwa Iran kwa vikwazo zaidi.

Pili, kubandika tozo kwa bidhaa ambazo Iran waziuza nje khasa mafuta machafu na vifaa zingine nyeti.

Tatu ni kufanya mashambulizi kwenye mitandao na mifumo ya Iran khasa katika jeshi lake la kimapinduzi la IRGC.

Mashambulizi ya kijeshi.

Mashambulizi hayo yamejigawa katika sehemu tatu.

1. Wanaweza kushambulia mitambo ya nyuklia na ili kuua uwezo wa Iran kufanya counter attack.

2. Wanaweza kushambulia mifumo na vituo vya kijeshi vya IRGC kazi ambayo ni ngumu kwani watu wengi watauawa kutokana na kwamba IRGC wamejenga vituo vyao katika maeneo tofauti na yalo katika makazi ya watu.

3. Pia wanaweza kushambulia visima vya gesi na mafuta kwa kutumia ndege za kivita ambazo zitafanya kazi iitwayo "shop sharp" na "surgical strikes" ambazo zinalenga sehemu hizo tu bila kuleta madhara makubwa.

Kwa kuwa majasusi wa CIA na Mossad wapo ndani ya Iran kwa sasa, wao ndo wataoelekeza wataotoa au wametoa ramani za mashambulizi.

Ni hayo tu mkuu.
 
Nia ipo ila kwa sasa ni mchezo wa paka na panya.

Marekani kuipelekea hiyo meli yao kubwa baada ya kazi ya Venezuela, waonyesha ulimwengu dhamira yao, yaani kuwabana China na Russia katika maeneo wanoamini ni yao.

Nyuma yake kuna suala la mafuta na Marekani wataka kuumiliki mazima mfereji wa Harmuz unokutanisha ghuba ya Uajemi, kisiwa cha Musandam pamoja na Oman, hapo asilimia 20 ya mafuta yanokwenda Duniani yapita hapo. Ikitokea Iran ikabinywa vilivyo basi yaweza kuufunga mfereji huo na kusababisha matatizo makubwa ya kiuchumi Duniani kwani bei ya mafuta itafurumuka na pia kusababisha mfumuko wa bei kwa bidhaa zinginezo.

Hivyo kazi ya kuhakikisha Iran hatakuja kutenda hayo kwenye "worst case scenario" alipewa Israeli na tiyari hadi sasa kavunja uwezo wa Hamas, Hezbollah na kundi la Wahuthi wa Yemen kushambulia meli na miundombinu ingine ya Marekani na nchi za magharibi.

Sasa Marekani ana "options" zipi mezani juu ya kuishambulia Iran?

Moja, njia ya amani yaani matumizi ya diplomasia kwa kuongeza shinikizo kwa Iran kwa vikwazo zaidi.

Pili, kubandika tozo ka bidhaa ambazo Iran waziuza nje khasa mafuta machafu na vifaa zingine nyeti.

Tatu ni kufanya mashambulizi kwenye mitandao na mifumo ya Iran khasa katika jeshi lake la kimapinduzi la IRGC.

Mashambulizi ya kijeshi.

Mashambulizi hayo yamejigawa katika sehemu tatu.

1. Wanaweza kushambulia mitambo ya nyuklia na ili kuua uwezo wa Iran kufanya counter attack.

2. Wanaweza kushambulia mifumo na vituo vya kijeshi vya IRGC kazi ambayo ni ngumu kwani watu wengi watauawa kutokana na kwamba IRGC wamejenga vituo vyao katika maeneo tofauti na yalo katika makazi ya watu.

3. Pia wanaweza kushambulia visima vya gesi na mafuta kwa kutumia ndege za kivita ambazo zitafanya kazi iitwayo "shop sharp" na "surgical strikes" ambazo zinalenga seheu hizo tu bila kuleta madhara makubwa.

Asante mkuu, ngoja tuone nini kinafuata maana Trump hatabiriki kabisa
 
Kujigamba sio kuanzisha vita, vita anayokwenda kuianzisha mwenyewe ni hii na Iran atapimwa kwa vita hii.
Una tatizo la uelewa kijana.
Trump alijigamba kuwa ni mleta amani duniani na amesitisha vita nyingi ambazo amezikuta.
Sasa iweje wewe unajiita mleta amani utake kuanzisha vita na Iran!??
Sijui unaelewa?
 
COUNTDOWN: 7 Days until the World will witness an unforgettable, behind-the-scenes, look at one of the most important events of our time. -US President, Donald Trump.

Daily Iran News.
BREAKING NEWS

The US Carrier USS Abraham Lincoln has entered strike range of Iran amid escalating tensions. Is the world’s largest carrier escorted by its most powerful destroyers.

BREAKING: United Airways, British Airways, KLM, Air France, Lufthansa & Air Canada have all CANCELLED their flights to ISRAEL and/or the Middle East tonight.
Hiyo aircraft carrier yenyewe kila inapopita inapigwa picha na Iran.
Haitasalimika hiyo.
China amepeleka ndege 30 za mizigo ya silaha Iran.
Urusi naye vivyo hivyo.
Alichobugi USA ni kukubali kuondoka Ain Al Asad pale Iraq.
Iraq nayo imempa uwanja Iran kutumia kijeshi. Safari hii wanachokitafuta watakipata.
 
Ayattolah hataweza kukimbia itakuwa kama Sadam Hussein.

Kiongozi pekee alieweza kukimbia au kuokolewa hadi sasa ni Assad wa Syria alieokolewa na Russia.

Na hiyo ni kwasababu hata hivyo alikuwa na "strong connection" na Moscow na London, amewekeza sana kule na mkewe pia alikuwa na "connection" na UK.
Iran sio Syria au Venezuela.
Rejelea 1980 vita na Iraq,USA walitaka kuitumia Iraq kumkamata Khomeni na kuuangusha utawala wa kishia. Walishateka miji mitatu ya Iran.
Ila meza ilikuja kugeuka miji ikarudishwa mbungi ikapigwa kwa miaka nane.
Iran ni nchi ngumu sana,na hii vita Trump akijiroga inageuka kuwa ya kidini.
Houthi wameshaseti mitambo wamepanga kufunga tena ghuba ya baab al mandib.
Iraq makundi ya kishia ya washika silaha nao wamejiandaa kivyao.
China na Urusi wamepeleka shehena kubwa sana ya silaha,na inasemekana Urusi kampa Iran makombora ya Iskander na Oreshnik.
Aisee panaenda kuchimbika yani mashariki ya kati yote inaenda kuungua.
 
Nia ipo ila kwa sasa ni mchezo wa paka na panya.

Marekani kuipelekea hiyo meli yao kubwa baada ya kazi ya Venezuela, waonyesha ulimwengu dhamira yao, yaani kuwabana China na Russia katika maeneo wanoamini ni yao.

Nyuma yake kuna suala la mafuta na Marekani wataka kuumiliki mazima mfereji wa Harmuz unokutanisha ghuba ya Uajemi, kisiwa cha Musandam pamoja na Oman, hapo asilimia 20 ya mafuta yanokwenda Duniani yapita hapo. Ikitokea Iran ikabinywa vilivyo basi yaweza kuufunga mfereji huo na kusababisha matatizo makubwa ya kiuchumi Duniani kwani bei ya mafuta itafurumuka na pia kusababisha mfumuko wa bei kwa bidhaa zinginezo.

Hivyo kazi ya kuhakikisha Iran hatakuja kutenda hayo kwenye "worst case scenario" alipewa Israeli na tiyari hadi sasa kavunja uwezo wa Hamas, Hezbollah na kundi la Wahuthi wa Yemen kushambulia meli na miundombinu ingine ya Marekani na nchi za magharibi.

Sasa Marekani ana "options" zipi mezani juu ya kuishambulia Iran?

Moja, njia ya amani yaani matumizi ya diplomasia kwa kuongeza shinikizo kwa Iran kwa vikwazo zaidi.

Pili, kubandika tozo ka bidhaa ambazo Iran waziuza nje khasa mafuta machafu na vifaa zingine nyeti.

Tatu ni kufanya mashambulizi kwenye mitandao na mifumo ya Iran khasa katika jeshi lake la kimapinduzi la IRGC.

Mashambulizi ya kijeshi.

Mashambulizi hayo yamejigawa katika sehemu tatu.

1. Wanaweza kushambulia mitambo ya nyuklia na ili kuua uwezo wa Iran kufanya counter attack.

2. Wanaweza kushambulia mifumo na vituo vya kijeshi vya IRGC kazi ambayo ni ngumu kwani watu wengi watauawa kutokana na kwamba IRGC wamejenga vituo vyao katika maeneo tofauti na yalo katika makazi ya watu.

3. Pia wanaweza kushambulia visima vya gesi na mafuta kwa kutumia ndege za kivita ambazo zitafanya kazi iitwayo "shop sharp" na "surgical strikes" ambazo zinalenga seheu hizo tu bila kuleta madhara makubwa.

Kwa kuwa majasusi wa CIA na Mossad wapo ndani ya Iran kwa sasa, wao ndo wataoelekeza wataotoa au wametoa ramani za mashambulizi.

Ni hayo tu mkuu.
Mkuu tusahihishane.
-Houthi haijamalizwa uwezo na wala haijavunjwa. Houthi iliamua yeneywe kufungua njia ya Baab al mandib baada ya Israel kutangaza ceasefire. Ila houthi bado ina nguvu na juzi wamepeleka shehena ya makombora maeneo tofauti ya Yemeni kujiandaa kuifunga tena baab al mandib,angalia taarifa ya habari kaka umepitwa na mengi.
-Hizbollah haijavunjwa nguvu bado ina nguvu,ndio maana Israel hadi sasa inaishinikiza Lebanon wawapokonye Hizbollah silaha. Hizbollah ilisitisha mapigano baada ya serikali yao kuwashinikiza kuwapokonya viti na haki ya kisiasa Lebanon.
Kama hizbollah ingekua imevunjwa Netanyahu asingekua anapiga kelele kila siku kuwataka Beirut wawapokonye silaha Hizbollah.

Usisahau kuna makundi matatu ya askari zaidi ya laki moja kila kundi pale IRAQ. Na Marekani ameshaondoa kambi zake za kijeshi nchini Iraq,hivyo hayo makundi yako free ku operate under Iranian influence.
Kiufupi vita kama itatokea itakua ngumu na ya muda mrefu sana.
Maana CHINA hakuwahi kupeleka msaada wa silaha nchi yeyote kwa namna anvyopeleka Iran.
Na tayari Iran amepokea na ndege vita pia kutoka China za J-34.
 
Iran inakuzwa sana ila ni ya kawaida tu. Nchi gani anga lake linatekwa lote na kuacha ndege za adui zaidi ya 200 zikiruka angani kwa zaidi ya masaa 24?

Ikiwa US ataamua kulivaa hili mwenyewe, hii vita sio ngumu sana, retaliate ya Iran itakuwa ni raia wa Israel tu na si kingine.
 
Hii yote kumzuia Mchina asinunue mafuta ya Iran, maana wamefanikiwa kule Venezuela, Sasa wanataka pia Iran wasiuze mafuta kwa mchina
Ni kumiliki mafuta na energy sources zingine za Iran, maana walimuondoa shah baada ya kuweka kauzibe
Pili ni uhakika wa usalama wa kambi yao kubwa zaidi ya kijeshi, Israel, maana Iran ndiyo kitisho
 
COUNTDOWN: 7 Days until the World will witness an unforgettable, behind-the-scenes, look at one of the most important events of our time. -US President, Donald Trump.

Daily Iran News.
BREAKING NEWS

The US Carrier USS Abraham Lincoln has entered strike range of Iran amid escalating tensions. Is the world’s largest carrier escorted by its most powerful destroyers.

BREAKING: United Airways, British Airways, KLM, Air France, Lufthansa & Air Canada have all CANCELLED their flights to ISRAEL and/or the Middle East tonight.
Hakuna kitu hapo. Vita haitangazwi kama unatangaza mpira au harusi
 
Iran inakuzwa sana ila ni ya kawaida tu. Nchi gani anga lake linatekwa lote na kuacha ndege za adui zaidi ya 200 zikiruka angani kwa zaidi ya masaa 24?

Ikiwa US ataamua kulivaa hili mwenyewe, hii vita sio ngumu sana, retaliate ya Iran itakuwa ni raia wa Israel tu na si kingine.
Namna air defenses za Iran zilivyopigwa Ile vita hakuna namna ya kuzuwia,zilipigwa kwa drone tokea ndani na wahindi na wa Afghanistan walionunuliwa kwa bei chee,dola 200
Kuzipiga air defenses zao kwa ndege vita ilishindikana,hii walianza Ukraine kuzipiga ndege za urusi ndani ya urusi kwa drone baada ya kuziingiza drone kimagendo
 
Iran sio Syria au Venezuela.
Rejelea 1980 vita na Iraq,USA walitaka kuitumia Iraq kumkamata Khomeni na kuuangusha utawala wa kishia. Walishateka miji mitatu ya Iran.
Ila meza ilikuja kugeuka miji ikarudishwa mbungi ikapigwa kwa miaka nane.
Iran ni nchi ngumu sana,na hii vita Trump akijiroga inageuka kuwa ya kidini.
Houthi wameshaseti mitambo wamepanga kufunga tena ghuba ya baab al mandib.
Iraq makundi ya kishia ya washika silaha nao wamejiandaa kivyao.
China na Urusi wamepeleka shehena kubwa sana ya silaha,na inasemekana Urusi kampa Iran makombora ya Iskander na Oreshnik.
Aisee panaenda kuchimbika yani mashariki ya kati yote inaenda kuungua.
Yes, ni kweli Iran sio Venezuela na kinofanyika kwa sasa ni Iran asubiria kuwe na "trigger act" kutoka kwa Marekani.

Taarifa za kijasusi zaonyesha kuwa Iran imeingiza mafuta ya kutosha kutoka China ili kutumia kwa makombora yake (ballistic missiles) yapatayo 500 na makombora hayo yamo ndai ya uwezo wake kufikia hiyo meli. na meli ziko tatu hiyo ya Abraham Lincoln na zingine mbili.

Kiukweli Marekani walikuwa wafanye mashambulizi wiki ilopita ila wakasitisha hilo kwa kuhofia kambi zake kugeuzwa vumbi na kwamba Israeli bado haina mifumo imara ya ulinzi, kwani Iran wamesema shambulio lolote kwao litajibiwa na Iran kushambulia maslahi ya Marekani popote pale na mojawapo ni Israeli.

Donald Trump kwa sasa akumbwa na sintofahamu kwani akiiacha Iran bila kuishambulia Marekani itaonekana ni dhaifu na akiingia kichwakichwa kufanya mashambulizi huku akiwa hana ulinzi wa kutosha kwenye kambi zake pamoja na Israeli na Iran ikajibu vilivyo hiyo itakuwa ni aibu kubwa kwake.

Hivyo ndo nikasema sasa hivi ni mchezo wa kiviziana wa paka na panya.
 
Mkuu tusahihishane.
-Houthi haijamalizwa uwezo na wala haijavunjwa. Houthi iliamua yeneywe kufungua njia ya Baab al mandib baada ya Israel kutangaza ceasefire. Ila houthi bado ina nguvu na juzi wamepeleka shehena ya makombora maeneo tofauti ya Yemeni kujiandaa kuifunga tena baab al mandib,angalia taarifa ya habari kaka umepitwa na mengi.
-Hizbollah haijavunjwa nguvu bado ina nguvu,ndio maana Israel hadi sasa inaishinikiza Lebanon wawapokonye Hizbollah silaha. Hizbollah ilisitisha mapigano baada ya serikali yao kuwashinikiza kuwapokonya viti na haki ya kisiasa Lebanon.
Kama hizbollah ingekua imevunjwa Netanyahu asingekua anapiga kelele kila siku kuwataka Beirut wawapokonye silaha Hizbollah.

Usisahau kuna makundi matatu ya askari zaidi ya laki moja kila kundi pale IRAQ. Na Marekani ameshaondoa kambi zake za kijeshi nchini Iraq,hivyo hayo makundi yako free ku operate under Iranian influence.
Kiufupi vita kama itatokea itakua ngumu na ya muda mrefu sana.
Maana CHINA hakuwahi kupeleka msaada wa silaha nchi yeyote kwa namna anvyopeleka Iran.
Na tayari Iran amepokea na ndege vita pia kutoka China za J-34.
Uko sawa mkuu, ninachomaanisha ni kwamba si nguvu zote zimeondolewa ila makundi yote hayo hayana uwezo mkubwa kama wa mwanzo walokuwa nao wa kuhifadhi silaha nyingi.

Nafikiri umeona kwa sasa uwezo wa makundi hayo umebinywa kwa kiasi fulani na Israeli kwa kusogea pale Somaliland itakuwa wamejisogeza karibu zaidi na Yemen.
 
Angalia MBS alivyoenda DC na kupledge kuwekeza 1Bil huko USA. Ile siyo kuwekeza ni kuweweseka na kuabudu
Abu Lahab (PBUH)
China kawekeza ngapi huko USA?..sasa anapunguza uwekezaji na kununua zaidi dhahabu,nchi za ulaya zimewekeza kiasi gani huko USA?..kuwekeza ni kuabudu?
 
Back
Top Bottom