Donald Trump: Ndani ya Siku 7 Ulimwengu unakwenda kushuhudia tukio ambalo halitasahaulika

Donald Trump: Ndani ya Siku 7 Ulimwengu unakwenda kushuhudia tukio ambalo halitasahaulika

Wewe unaishi Ulimwengu gani? Hujui mateso makubwa wanayopitia Wairan? Iran, chini ya Ayatollah, kuua watu nikama unavyochinja kuku. Fikiria mtu anauawa kisa hajavaa tu kilemba kichwani, wengine wakihoji, nao wanauawa. Fikiria mauji yaliyofanywa na yale makundi yake ya kigaidi. Fuatilia mauaji ya Hezbollah huko Labenon, mauaji ya Houthis huko Yemen. Yemen walimwua mpaka Rais wa nchi eti kwa kosa la kukutana na Waziri mkuu wa Ufaransa. Wananchi wanaishi kwenye mateso na umaskini mkubwa huku watawala wakiishi kwenye utajiri ukubwa.

Leo hii, Iran inaongoza kwa idadi ya wakimbizi Duniani, na hao ni wale wenye uwezo, wamekimbilia mataifa ya nje, huko Marekani na Ulaya. Marekani pekee ina Wairan zaidi ya milioni, Ulaya zaidi ya milioni.

Leo hii, katika kila wairan 15, mmoja kakimbikia nje:

An estimated 4 million or more people of Iranian were living outside of Iran as of 2025–2026, with some reports suggesting that roughly 1 in every 15 Iranians now lives abroad due to decades of political problems.

Sasa kwa nini mtu mmoja awatese watu kiasi hicho.

Trum akiweza kuwaondoa hawa watawala katili, Dunia itamkumbuka kwa mchango wake Duniani wa kuwaonea huruma na kuwakomboa watu wanaoonewa na watawala dhalimu. Maombi ya wanaoonewa yakimfikia Mungu usitarajie Mungu ndiye atakuja kupigana nao, bali huwatumia wanadamu wake kuwaokoa wanadamu wengine.
Kama Kuna maisha magumu mbona wamejaa wanachi wa mataifa mengine tena mpaka Wana Kambi za wakimbizi wanahudumia wakimbizi Toka mataifa mengine
 
COUNTDOWN: 7 Days until the World will witness an unforgettable, behind-the-scenes, look at one of the most important events of our time. -US President, Donald Trump.

Daily Iran News.
BREAKING NEWS

The US Carrier USS Abraham Lincoln has entered strike range of Iran amid escalating tensions. Is the world’s largest carrier escorted by its most powerful destroyers.

BREAKING: United Airways, British Airways, KLM, Air France, Lufthansa & Air Canada have all CANCELLED their flights to ISRAEL and/or the Middle East tonight.

UPDATES

BREAKING
Jan 28, 2026.
U.S. President Trump has issued orders to the U.S. Navy and other branches of the U.S. military to prepare for imposing a "naval blockade" on Iran by Friday.
Ulisema siku 7 ama siku 70?
 
Be it thru Trump or otherwise, the Islamic Cult Regime of the Mullahs in Iran and their Satan allah must go to pave way for free society which will be free from the clutches of allah.
 
Subrine ni Nyambizi [ rejea neno kupiga mbizi]. Manowari ni meli-vita [war ship] kama ilivyo Abraham Lincoln.

Vv
 
Be it thru Trump or otherwise, the Islamic Cult Regime of the Mullahs in Iran and their Satan allah must go to pave way for free society which will be free from the clutches of allah.
Mbona Saudi Arabia is 1000 times worse ila marekani hataki kumtoa huyo Prince Mohammed Bin Salman na ufalme wao!!
 
Please mind that, if they were not in a bad economic situation they wouldn't have been protesting that way risking their lives at the hands of the repressive and ruthless regime.

Iran's situation today is just the same as the one in any average African nations like Tanzania.
In development there is social development and economic development.
-In social development Iran is far better miles than Tanzania. Better schools ,better hospitals,better means of transportation in railway they do travel approximately free of charge and they do have better electric trains than us.
-In economic development Iran is far better,Iran do not take international loans like Tanzania. Iran do not pay heavy taxes like Tanzania.
Iran developed in production aspects.

The problem of the Iranians to demonstrate is about trade system. There is hindrence in trade internationally. That is why they demonstrated.
Those things happens even in Europe and I can give you many examples,this year farmers striked in France for their personal interests.

There is no such a thing called ruthless regime. Don't fall on western propaganda.
If Iran wants to replace the regime they can do so.
1978 ALL IRANIANS MARCHED AGAINTS SHAH'S REGIME.
Can Islamic republic resist 90 million people marching in streets!?
 
Back
Top Bottom