Donald Trump: Ndani ya Siku 7 Ulimwengu unakwenda kushuhudia tukio ambalo halitasahaulika

Donald Trump: Ndani ya Siku 7 Ulimwengu unakwenda kushuhudia tukio ambalo halitasahaulika

BREAKING

U.S. President Trump has issued orders to the U.S. Navy and other branches of the U.S. military to prepare for imposing a "naval blockade" on Iran by Friday.
What's the source.
 
People protesting it doesn't mean that Iran is in that bad situation.
But people need more commercial changes. By human development index Iran has better social services more than African nations.
But they do have problem in commercial wise.
Please mind that, if they were not in a bad economic situation they wouldn't have been protesting that way risking their lives at the hands of the repressive and ruthless regime.

Iran's situation today is just the same as the one in any average African nations like Tanzania.
 
Pesa ya Tz ina thamani kubwa sana ukilinganisha na pesa ya iran. Iran kiuchumi imetupiga gap kubwa sana

Uchumi wa nchi kukua ni watu kuwa na akili na kujitambua. Yanayotokea iran ni mizengwe tut ya hao wanaojifanya kumiliki mifumo ya kibenki na kushusha thamani ya fedha za nchi ambazo hazitaki kupelekeshwa

Na wakishindwa kukushusha kimfumo ndiyo hivyo wanaanzisha vita kwa kutoa sababu za kijinga
Wewe huna hoja shida yako unasumbuliwa na kuabudu utamaduni wa mwarabu jambo linalokufanya usione hata ukweli ulipo.

Iran uchumi umeporomoka na pesa haina kabisa thamani hadi watu wanaandamana kwa sababu za ugumu wa maisha ila wewe uliye hapo Zombo kwa Tupa, Kilosa eti unapinga.

It's nothing but inept thoughts.
 
Please mind that, if they were not in a bad economic situation they wouldn't have been protesting that way risking their lives at the hands of the repressive and ruthless regime.

Iran's situation today is just the same as the one in any average African nations like Tanzania.
Upo sawa situation ya Iran kiuchumi na kijeshi ni kama tu Burundi,Zambia na D.R.C,nchi zenye wakristo 90% ya population yake,.......una akili sana👊👊🙏
 
Wewe huna hoja shida yako unasumbuliwa na kuabudu utamaduni wa mwarabu jambo linalokufanya usione hata ukweli ulipo.

Iran uchumi umeporomoka na pesa haina kabisa thamani hadi watu wanaandamana kwa sababu za ugumu wa maisha ila wewe uliye hapo Zombo kwa Tupa, Kilosa eti unapinga.

It's nothing but inept thoughts.
Ni sahihi kabisa kwa kua Burundi,Chad,D.R.C,Zambia raia hawaandamani maana yake hamna ugumu wa maisha,.....ni kweli daah jamaa una akili sana,si unaona hata pesa ya Burundi Ina thamani mara 300 ya pesa ya Iran
Kiuhalisia uchumi wa Iran ni mbovu sana aiseee
 

Attachments

  • Screenshot_20260129-075625.png
    Screenshot_20260129-075625.png
    119 KB · Views: 21
COUNTDOWN: 7 Days until the World will witness an unforgettable, behind-the-scenes, look at one of the most important events of our time. -US President, Donald Trump.

Daily Iran News.
BREAKING NEWS

The US Carrier USS Abraham Lincoln has entered strike range of Iran amid escalating tensions. Is the world’s largest carrier escorted by its most powerful destroyers.

BREAKING: United Airways, British Airways, KLM, Air France, Lufthansa & Air Canada have all CANCELLED their flights to ISRAEL and/or the Middle East tonight.

UPDATES

BREAKING
Jan 28, 2026.
U.S. President Trump has issued orders to the U.S. Navy and other branches of the U.S. military to prepare for imposing a "naval blockade" on Iran by Friday.
Huyu TAPELI anadanganya wajinga kuwa anasaidia kumbe analenga kupora Raslimali
Walichokifanya LIBYA kudanganya wajinga kuwa, Ina neuclear na hivyo wakapiga na kumuua Gadafi wakapora mafuta na kuiacha LIBYA hadi leo haitawaliki....shame on US!
 
Mwaka 1978 kabla ya vita vya Kagera dola moja ilikuwa sawa na shilingi 8 za Tanzania lkn baada ya vita 1979 ilishuka shuka hadi leo hii ni shilingi 2,500 kwa dola moja.

Sasa kwa uchumi uliyosomea wewe huko madrasa sijui kama utatuambia kwamba kwa kipindi chote hicho cha karibu miaka 50 uchumi wa Tanzania umekua ukiimarika mwaka hadi mwaka. Sijui.

Mwaka huo wa 1978 dola moja ya Marekani ilikuwa sawa na shilingi 8.50 ya Kenya na leo hii ni sawa na shilingi 130 za Kenya. Sijui unaelewa nini hapo.
Nguvu ya sarafu siyo lazima iakisi uchumi, thamani ya sarafu ya tz hiyo 1970s haikuamuliwa kwa nguvu ya soko bali maamuzi ya nchi, centralized economy,baada ya soko huria(SAP 1&2) nguvu ya sarafu ya tz inaamuliwa kwa nguvu ya soko,ukiuza sana nje sarafu itapanda thamani,ukiagiza zaidi toka nje sarafu itaporomoka
Uchumi wa tz leo GDP ni $95b,uchumi wa tz 1990s sidhani kama ulifika $20b na shilingi 570 zilikua sawa na dola moja ilhali leo ni shilling 2500
 
Countdown leo ni tarehe 31 January 2026, baada la dokezo la rais Donald Trump
 
Back
Top Bottom