Donald Trump: Ndani ya Siku 7 Ulimwengu unakwenda kushuhudia tukio ambalo halitasahaulika

Punguza maneno kimeshawaka huko
lete ushahidi wa kuwaka
Moja ya dalili ya kuporomoka kwa uchumi ni kwa sarafu kupoteza thamani na hata sisi hapa hii tuliiona baada ya vita na Uganda mwaka 1979.

Iran kwa hali mbaya ya uchumi iliyonayo kwa sasa haiwezi kabisa kumudu kupigana vita na taifa kama Marekani.

Marekani sio wajinga wanaifahamu Iran ndani na nje na ndio maana wako tayari kumng'oa dikteta Ayatollah.
Iran sarafu yao kuporomoka haijaanza leo.
Ila inajitegemea kwa uzalishaji wa ndani na wana akiba kubwa ya fedha ya kigeni iliyowafanya wawe middle upper income country.
Wewe jidanganye kuwa uchumi unategemea sarafu ilhali wenzako wameanzisha biashara kwa malipo ya cryptocurrency.
Korea Kusini hela yao ina thamani sawa na ya Tanzania ila Korea kusini ni nchi ya ulimwengu wa kwanza kiuchumi.
Unafaa urudi kwa wanauchumi wakwambie nguvu ya uchumi inatoka wapi.
 
hapo hakuna vita iliyoanzishwa na Marekani.

DRC kaikuta,
Gaza kaikuta,
Ukraine ni ya NATO.

Kwenye kampeni za kugombea urais alijigamba kwa akichaguliwa atamaliza vita ya Ukraine kwa masaa tu
 
Hiyo Meli kubwa Abraham Lincon sijui, haiwezi kudunguliwA na yale makombora mazito ya Irani hukohuko baharini? Maana wakati wa vita ya siku 12 alikuwa anayarusha mpaka Israel kuharibu majengo na miundominu yake.
Hiyo mimeli inayo makombora (anti-air defense missile) kibao, kama ile "Golden Dome" ya Israel. Makombora hayo yanakuwa 'effective" zaidi kwa kuwa ni eneo dogo la ulinzi; tofauti na kulinda mji mzima dhidi ya makombola yanayoelekezwa kwenye miji. Zaidi ya hivyo, kulenga limeli linalotembea, ambalo haliko mahali pamoja, inakuwa vigumu kidogo.

Hata hivyo; kuna juhudi kubwa zinafanya miaka hii ya kuyalenga moja kwa moja mameli hayo. Mchina kishafanya hatua muhimu katika eneo hili la kudungua hayo mameli. Teknologia hii itakapoenea, mameli hayo yatakuwa hayana umuhimu sana katika kutishia nchi hizi ndogo ndogo kwa kuwapelekea mameli hayo.
 
Shukran mkuu maana nilikuwa nawaza kama jamaa akiamua kushusha madude yake yale ambayo wanasema anaweza kushusha hata buku kwa mara moja na yakalenga target kabisa
 
lete ushahidi wa kuwaka

Iran sarafu yao kuporomoka haijaanza leo.
Ila inajitegemea kwa uzalishaji wa ndani na wana akiba kubwa ya fedha ya kigeni iliyowafanya wawe middle upper income country.
Wewe jidanganye kuwa uchumi unategemea sarafu ilhali wenzako wameanzisha biashara kwa malipo ya cryptocurrency.
Korea Kusini hela yao ina thamani sawa na ya Tanzania ila Korea kusini ni nchi ya ulimwengu wa kwanza kiuchumi.
Unafaa urudi kwa wanauchumi wakwambie nguvu ya uchumi inatoka wapi.
Mwaka 1978 kabla ya vita vya Kagera dola moja ilikuwa sawa na shilingi 8 za Tanzania lkn baada ya vita 1979 ilishuka shuka hadi leo hii ni shilingi 2,500 kwa dola moja.

Sasa kwa uchumi uliyosomea wewe huko madrasa sijui kama utatuambia kwamba kwa kipindi chote hicho cha karibu miaka 50 uchumi wa Tanzania umekua ukiimarika mwaka hadi mwaka. Sijui.

Mwaka huo wa 1978 dola moja ya Marekani ilikuwa sawa na shilingi 8.50 ya Kenya na leo hii ni sawa na shilingi 130 za Kenya. Sijui unaelewa nini hapo.
 
Wewe MJINGA sarafu na uchumi haviendani.
shilingi 1 ya Tanzania sawa na rial laki 9 ya Iran.
Ila Iran ni middle upper income country na Tanzania ni low income country.
Nimekutolea mfano wa pili,hela ya Korea kusini ni sawa na hela ya Tanzania,ila je Tanzania tunaifikia Korea Kusini kiuchumi??
Hela ya Rwanda ni KUBWA KULIKO HELA YA JAPAN,JE RWANDA INAIFIKIA JAPAN KIUCHUMI!??
We umesoma shule gani wewe!???
Sarafu haiendani na nguvu ya kiuchumi.
 
Huyu Babu (Trump) huwa anajigamba kumaliza vita zaidi ya 6 toka awe Rais, Cha ajabu anataka kuanzisha vita nyingine na Iran.

Huyu Mzee ni tapeli wa kisiasa.
Vita nane 8, sio sita.
 
Kwanza sio kweli kwamba hela ya South Korea ni sawa na shilingi ya kitanzania.
US$ 1 = Won 1,437.11
US$ 1 = TZS 2,551.96
Halafu soma hapa 👇
************************************
The minimum wage in, South Korea, for 2026 is set at 10,320 KRW per hour, up 2.9% from 2025, which totals a monthly wage of 2,156,880 KRW based on a 40-hour workweek and 209 working hours. This national rate applies uniformly across the country, including Seoul, and covers all industries.
***************************************
 
Yaani mie najiuliza tu swali la kawaida : Kinachomfanya Marekani ajiandae hivi kumvamia Iran ni kipi?
Iran amemkosea nini?
Ayatollah amemkosea nini?

Au ndio huo ubabe tuu
zamani walitawala kitumwa kwa sasa wanatumia silaha na kupora wazi wazi
 
Huyu Babu (Trump) huwa anajigamba kumaliza vita zaidi ya 6 toka awe Rais, Cha ajabu anataka kuanzisha vita nyingine na Iran.

Huyu Mzee ni tapeli wa kisiasa.
Yuko sahihi kwa kila analofanya..... Kuwa Superpower wa dunia inahitaji heavy price.... Hata tza tungekuwa superpower lazima tungefanya anayofanya mu U.s.a kwa dunia ya sasa....
 
lete ushahidi wa kuwaka

Iran sarafu yao kuporomoka haijaanza leo.
Ila inajitegemea kwa uzalishaji wa ndani na wana akiba kubwa ya fedha ya kigeni iliyowafanya wawe middle upper income country.
Wewe jidanganye kuwa uchumi unategemea sarafu ilhali wenzako wameanzisha biashara kwa malipo ya cryptocurrency.
Korea Kusini hela yao ina thamani sawa na ya Tanzania ila Korea kusini ni nchi ya ulimwengu wa kwanza kiuchumi.
Unafaa urudi kwa wanauchumi wakwambie nguvu ya uchumi inatoka wapi.
***** pumbavu umelifundisha shule kubwa sana ,na unakuta hili jinga lina degree ya chuo,eti linaamini uchumi unatokana ma sarafu😃🤣🤣🤣
Pesa ya Kenya ina thamani kubwa kuliko pesa ya Japan😅😁😁
 
Mwaka 1978 kabla ya vita vya Kagera dola moja ilikuwa sawa na shilingi 8 za Tanzania lkn baada ya vita 1979 ilishuka shuka hadi leo hii ni shilingi 2,500 kwa dola moja.

Sasa kwa uchumi uliyosomea wewe huko madrasa sijui kama utatuambia kwamba kwa kipindi chote hicho cha karibu miaka 50 uchumi wa Tanzania umekua ukiimarika mwaka hadi mwaka. Sijui.

Mwaka huo wa 1978 dola moja ya Marekani ilikuwa sawa na shilingi 8.50 ya Kenya na leo hii ni sawa na shilingi 130 za Kenya. Sijui unaelewa nini hapo.
Either wewe ni MPUMBAVU ama MJINGA,tutaona baada ya kureply hii comment
1.Kwa hio Dollar thamani yake haishuki?,toka mwaka 1978?😆😀
2.kwa hio kabla ya dollar kutengenezwa watu walikua hawaishi hapa duniani?,na hakukua na matajiri?😃😆😆😁
3.kwa hio Dollar ni S.I ya uchumi hapa duniani?,kua nchi isipotumia Dollar kama Iran,mafuta yake na gesi zake zinakua hazina thamani?😃😁😆
4.Kabla ya tarehe 28 December 2025,1$ ilikua sawa na Rial 42000,hapa tunavoongea 1$ ni sawa na 1,600,000 Rial za Iran
--------Hii ni sawa na labda leo 1$ ni 2500 Tsh,Kisha mwezi ujao iwe 1$ iwe 500,000/=
Katika mfano huo Tanzania itateseka,sababu sisi ni wapumbavu,tunaoamini propaganda za mmarekani kuhusu uchumi,
Ila Iran wala hawana muda na hizo propaganda na exchanges fakes za west😫🤣🤣🤣,waajemi wana njia zao za uchumi,wale wana sayansi yao,ni wasomi hasa,.......ndio nchi ya kwanza kuipiga Nchi nyingine bila hata mwanajeshi wake mmoja kutembea sentimeta hata moja🙃😀😁😁,Netanyau anaelewa vizuri ile sayansi,sio usomi huu wa kukalili kingereza mtoto anasema yes no,junior papa,🙃😃😁😁PUMBAVU WEWE!
 
Back
Top Bottom