Donald Trump: Ndani ya Siku 7 Ulimwengu unakwenda kushuhudia tukio ambalo halitasahaulika

Donald Trump: Ndani ya Siku 7 Ulimwengu unakwenda kushuhudia tukio ambalo halitasahaulika

Sawa, Trump kasema ndani ya siku 7 ndio keshasema utamsaidiaje Iran asipigwe.
Trump hajaanza kuongea leo. 2020 alipeleka jeshi kama mwaka huu na likaishia njiani,2025 alisema anaishambulia Iran kwaajili ya kuiangamiza cha ajabu yeye ndiye aliyeomba suluhu,wakati wa maandamano alisema lazima amtoe Khamenei madarakani wakati wa maandamano na hajafanya.
 
Nimeuliza ni vita gani Trump kaanzisha tofati na hii?
Mashambulizi ya ukanda wa bahari wa Latini nani amefanya?
Uvamizi wa Venezuela na kuua wanajeshi 34 wa Colombia na kumkamata Maduro nani kafanya?
Nani anataka kuipora GREENLAND kinguvu!?
 
submarine ni nyambizi wewe
Hili neno nalisikia mara ya kwanza toka kwako; litakuwa ni neno jipya.
'Aircraft carrier' nazo ni meli za kivita za miaka hii ya karibuni, hazikutofautishwa na meli nyingine zote za kivita kama 'destroyers', frigates', na nyinginezo ambazo sidhani kuwa kila moja inalo jina maalum la kiswahili.
Kwa kumbukumbu zangu ni kuwa manowari iliwasilisha submarine.
 
Iran ni nchi pekee iliyowahi kushikilia mateka 52 wa kimarekani ndani ya ubalozi wao Tehran kwa siku 444 na kuua wanajeshi 8 wa Marekani waliotumwa kwenda kuwaokoa mwaka 1980 kwa Operation Eagle Claw
Ikawalazimu US wazungumze na Iran ili waachiliwe
Kilchofuata baada ya kushindwa kwa aibu Secretary of State Cyrus Vance akajiuzulu, Rais Jimmy Carter akashindwa uchaguzi kwa mara ya pili hakuchaguliwa tena akaingia Ronald Reagan
Iran sio Venezuela ndio maana wanapeleka lundo la vifaa na wanajeshi kwa ajili ya show of force na wao Iran wamesema wako tayari
 
COUNTDOWN: 7 Days until the World will witness an unforgettable, behind-the-scenes, look at one of the most important events of our time. -US President, Donald Trump.

Daily Iran News.
BREAKING NEWS

The US Carrier USS Abraham Lincoln has entered strike range of Iran amid escalating tensions. Is the world’s largest carrier escorted by its most powerful destroyers.

BREAKING: United Airways, British Airways, KLM, Air France, Lufthansa & Air Canada have all CANCELLED their flights to ISRAEL and/or the Middle East tonight.
Hivyo ni vita vya kizamani Iran ameshatoka huko

Irani vita vyake Sasa hivi yeye anacheza na mause tu ofisini tena alivyo na dharau hiyo kazi inafanywa na wadada ameulize mwenziwe Netanyau kilichomkuta

Alafu Ayatollah ameshamuambia Trump Mimi sio kama hao wengine wanaoishia kupiga base zako Mimi nitapiga Hadi Pentagon
 
Huyu Babu (Trump) huwa anajigamba kumaliza vita zaidi ya 6 toka awe Rais, Cha ajabu anataka kuanzisha vita nyingine na Iran.

Huyu Mzee ni tapeli wa kisiasa.
mkuu kumbuka trump sio zao la democratic na hana vita aliyoshinda
 
Hivyo ni vita vya kizamani Iran ameshatoka huko

Irani vita vyake Sasa hivi yeye anacheza na mause tu ofisini tena alivyo na dharau hiyo kazi inafanywa na wadada ameulize mwenziwe Netanyau kilichomkuta

Alafu Ayatollah ameshamuambia Trump Mimi sio kama hao wengine wanaoishia kupiga base zako Mimi nitapiga Hadi Pentagon
Wala magimbi wa Msamvu wamekuwa wasemaji wa Iran nchi ambayo hata uchumi wenyewe ulishakufa kabisa eti ndio wapigane na Marekani ambao siku zote wako ndani ya Iran.
 
Wala magimbi wa Msamvu wamekuwa wasemaji wa Iran nchi ambayo hata uchumi wenyewe ulishakufa kabisa eti ndio wapigane na Marekani ambao siku zote wako ndani ya Iran.
Hivi unajua kiuchumi Iran ni middle upper income country sawa na Urusi?
Wewe Tanzania huifikii Iran hata kwa 1%.
Iran inaumia kuporomoka kwa sarafu tu na kuzuiwa kwa biashara za kimataifa.
Ila Afrika nzima hakuna nchi inaipata Iran kiuchumi.
 
Hapana. Siyo manowari.

manowari ni submarine.

Hii ni meli ya kivita.
Hiyo Meli kubwa Abraham Lincon sijui, haiwezi kudunguliwA na yale makombora mazito ya Irani hukohuko baharini? Maana wakati wa vita ya siku 12 alikuwa anayarusha mpaka Israel kuharibu majengo na miundominu yake.
 
Trump ilibidi afe siku ile risasi imemkuna aisee..

Ni Jini hili
 
Hivi unajua kiuchumi Iran ni middle upper income country sawa na Urusi?
Wewe Tanzania huifikii Iran hata kwa 1%.
Iran inaumia kuporomoka kwa sarafu tu na kuzuiwa kwa biashara za kimataifa.
Ila Afrika nzima hakuna nchi inaipata Iran kiuchumi.
Moja ya dalili ya kuporomoka kwa uchumi ni kwa sarafu kupoteza thamani na hata sisi hapa hii tuliiona baada ya vita na Uganda mwaka 1979.

Iran kwa hali mbaya ya uchumi iliyonayo kwa sasa haiwezi kabisa kumudu kupigana vita na taifa kama Marekani.

Marekani sio wajinga wanaifahamu Iran ndani na nje na ndio maana wako tayari kumng'oa dikteta Ayatollah.
 
Hivi unajua kiuchumi Iran ni middle upper income country sawa na Urusi?
Wewe Tanzania huifikii Iran hata kwa 1%.
Iran inaumia kuporomoka kwa sarafu tu na kuzuiwa kwa biashara za kimataifa.
Ila Afrika nzima hakuna nchi inaipata Iran kiuchumi.
Punguza maneno kimeshawaka huko
 
Back
Top Bottom