Sasa hivi ni ngumu kutofautisha uzalendo na ujinga. Ni sawa na mzazi amlawiti mtoto wake, kisha ifanywe siri maana hiyo ni kuwa mzalendo wa familia.Mjifunze kuwa wazalendo kwa Taifa letu na kuacha kuwa waropokaji hovyo hovyo.Embu niambie kwanini Trump hajakwenda kuishtaki Marekani na kutaka iwekewe vikwazo vya kiuchumi?
Si ndiyo nakuona wewe mbwiga niende mahakamani kabla DPP hajafungua kesi wewe zinakutosha kweli?Ni lini ulikwenda huko mahakamani na huo ushahidi wako.acha kubwatuka Bwatuka tu
Tangu lini chawa ukawa na akili za kujadili hoja, wewe akili yako kisoda inatosha kusifia ujinga ujinga tu kwa matumaini ya kuteuliwa au kutupiwa makombo, huna akili.Unatakiwa uwe unakaa pembeni uache wenye akili Timamu wajadili hoja
Kwa hiyo unasubiri Dpp afungue kesi ndio upeleke ushahidi wako? Vipi asipofungua kesi? Utaendelea kukaa na ushahidi wako chumbani kwako?Si ndiyo nakuona wewe mbwiga niende mahakamani kabla DPP hajafungua kesi wewe zinakutosha kweli?
Wewe ni mpumbavu usiwe unaongea mambo yaliyo juu ya uwezo wako wa utambuzi, unajidhalilisha sana. Kwani kazi ya kupeleleza na kufungua mashitaka anafanya nani, au unafikiri ushahidi unapelekwa mahamani kama barua ya posa iliyoletwa kwa wazazi wako wakati unaposwa? Punguza shobo ndiyo maana huteuliwi kwa ubwege wako huu. Umeleta hoja hii ambayo maudhui yakehailingani kabisa ya suala la shambulio la Lissu na shambulio la Trump na kila kakupinga na kukelimisha lakini wewe umekazania , huna akili, kama huna kazi ya kufanya kale maparachichi uchukue ngozi yako ya mbuzi utandike ulale.Kwa hiyo unasubiri Dpp afungue kesi ndio upeleke ushahidi wako? Vipi asipofungua kesi? Utaendelea kukaa na ushahidi wako chumbani kwako?
Nakuunga mkono bibi Faiza.Lissu ana haki ya kupiga kelele, vipi mpaka leo hakuna uchunguzi? Hakuna aliyeshikwa? Hata kama hawashikiki lakini hata wananchi hatupaswi kuelewa kilichotokea?
Hongera Sanaaaa kwa mchango wako.Saa nyingine wewe kada unakuwaga mpumbavu sana. Kama tukio la Lissu unaliona ni la kawaida unatakiwa upimwe hiyo akili yako. Rais mwenyewe unayemsifu hapa kila siku alienda hospitalini kumwona Lissu na hata alipoingia madarakani alimlipa stahiki zake alizokuwa hajalipwa. Pia Rais alimtumbua Spika aliyesema Lissu ni mtoro. Halafu wewe nyang'au unakuja kuandika utumbo hapa. Ninachoona ni wahamiaji kutoka upinzani wakizidi kuteuliwa na Mama Samia halafu makada wapumbavu kama wewe mkibaki kusifia kama mafisi.
Lakini,si kwa hapa Domdom...wale walinzi wa serikali ya USA wanaoitwa secret service wangekuwa wameondolewa halafu Trump akapigwa risasi kungekuwa na tuhuma mbaya sana.
..au Kamera zilizokuwa eneo la tukio zingechomolewa na vyombo vya serikali, na kufanikisha mlenga shabaha asijulikane, Trump angetoa tuhuma na lawama nzito sana kwamba serikali imejaribu kumuua.
Lakini,si kwa hapa Domdom.
-hajawa wa kwanza kupigwa risasi.
-kifo ni kifo.
-drama za kujiteka nk wa kadhaa zinazokirihisha.
Mkuu JokaKuu kwanza hongera kwa maelezo yaliyonyooka...kuna tofauti kubwa ktk mwenendo wa vyombo vya dola ktk tukio la Trump ukilinganisha na la Tundu Lissu.
..Bunge la Marekani limemuita na kumhoji Mkuu wa taasisi inayohusika na kulinda viongozi wakuu, Trump akiwa mmoja wapo.
..baada ya mahojiano hayo Mkuu wa secret service alilazimika kujiuzulu kwasababu wa uzembe wa waliokuwa chini yake ilipelekea Trump akashambuliwa.
..kwenye tukio la Tundu Lissu ni nani amechukuliwa hatua? Kwanini aliyeondoa walinzi hajakamatwa leo ni mwaka wa 7 tangu tukio litokee?
Unadhani ni nani atawajibika/kuwajibika kwa udhalimu wanaofanyiwa wakinzani wa kisiasa Tanzania ikiwa bado nje ya CCM wengine wanaonekana/kuoneshwa kama wahaini,wapotofu,si wazalendo(eti upande wa pili.Neno la kipumbavu kwa kila anayelitumia)kwa wananchi wasio na uelewa mpana wa siasa za ushindani?..kuna tofauti kubwa ktk mwenendo wa vyombo vya dola ktk tukio la Trump ukilinganisha na la Tundu Lissu.
..Bunge la Marekani limemuita na kumhoji Mkuu wa taasisi inayohusika na kulinda viongozi wakuu, Trump akiwa mmoja wapo.
..baada ya mahojiano hayo Mkuu wa secret service alilazimika kujiuzulu kwasababu wa uzembe wa waliokuwa chini yake ilipelekea Trump akashambuliwa.
..kwenye tukio la Tundu Lissu ni nani amechukuliwa hatua? Kwanini aliyeondoa walinzi hajakamatwa leo ni mwaka wa 7 tangu tukio litokee?
Mwambie ukweli huyu pimbi hajielewi kabisa!Akili ndogo muda wote hujadili watu tu, tangu juzi mna kazi ya kuanzisha nyuzi kumlaani Lissu kwa kupigwa risasi na kundi la Makonda na wauaji wenzake, mlitaka anyamaze tu. Tumechoka na huu upuuzi wenu , huwezi kulinganisha shambulia la Trump na jaribio la dola kutaka kumuua Lissu.
Tanzania inaongozwa na wapuuzi wakubwa sana!Mkuu JokaKuu kwanza hongera kwa maelezo yaliyonyooka.
Leo nilikaa nikajiuliza kwa majirani hapo deputy IGP , Gilbert Masengeli aliyekataa wito wa mahakama mara 7 hatimaye mahakama ikamuonyesha nguvu yake hatimaye akapanda kizimbani na kuomba radhi .
Je najiuliza mahakama za Tanzania zina nguvu gani kama zimeshindwa kumpandisha kizimbani askari wa cheo cha chini kama Fatma Kigondo kwa tuhuma za kukodi genge la wabakaji, kesi katupiwa DPP hatimaye kaitupilia mbali huku vyombo vya habari vikiogopa kumuadress mtuhumiwa kwa majina yake wakiishia kusema " kesi ya afande yafutwa".
Labda Wewe ndiye mpuuzi .Tanzania inaongozwa na wapuuzi wakubwa sana!
Luca acha mifananisho isiyokuwa na uhai ndani yake,ungeanza na machimbuko ya sababu za matukio hayo mawili,halafu ungekuja na majumuisho wa hayo mambo mawili.Ndugu zangu Watanzania,
Tuna mengi sana ya kujifunza katika tukio la kupigwa Risasi na Kujeruhiwa kwa Mheshimiwa Donald Trump,Rais Mstaafu wa Marekani na mgombea Urais kupitia chama cha Republican mwishoni mwa Mwaka huu.
Imeonyesha namna wenzetu walivyo wazalendo kwa nchi zao,kukomaa kiakili,Imani kwa vyombo vyao vya ulinzi na usalama,kutanguliza mbele maslahi ya Taifa lao,kujizuia kuzungumza hovyo hovyo bila breki. Tumeona Trump akiwa mtulivu,mwenye subira na kuviachia vyombo vya ulinzi na usalama kufanya kazi yake na hatimaye kutoa ripoti.
Pamoja na kuwa ananyukana vikali sana na Joe Biden Rais wa sasa wa Marekani katika kuelekea katika kinyang'anyiro cha Urais, lakini hakuna mahali popote pale ambapo Trump ametoa Maneno ya kumshutumu Joe Biden na serikali yake.hakuna alipotoa maneno ya kusema joe Bideni anahusika na jaribio la kutaka kumuua ili kujitengenezea ushindi wa Urais .Hakuna mahali popote pale alipotumia tukio hilo kupata huruma ya wa Marekani au kutaka kuonyesha anataka kura za huruma.
Zaidi tumeona akiwa Bize kupanga mipango yake na mikakati yake kisera na ki ajenda pamoja na kuteua mgombea Mwenza wake anayeamini ni mtu sahihi katika Maono aliyonayo kisera juu ya Marekani mpya na yenye kuleta matumaini kwa wamarekani.
Lakini alipopigwa Risasi Lissu na watu wasiojulikana na baadaye kupata unafuu alianza kuzunguka Dunia nzima kama Jua kuichafua Nchi yetu,kuipaka matope,kutaka kila mtu Duniani aitenge Tanzania na asiipatie Msaada wa aina yoyote ile.Tuliona akihangaika usiku na mchana kutafuta vyombo vya habari kuanzia Ulaya hadi Amerika kumwaga sumu ya kuliangamiza Taifa letu na kutaka iwekewe vikwazo vya kiuchumi ili tufe wote..
Alisahau kwamba watakaoathirika ni ndugu zake na watanzania kwa mamilioni yao.alisahau kuwa Nchi na Taifa letu ni kubwa kuliko mtu yeyote yule na Maslahi yake,alisahau kuwa watu hupita na sote tunapita lakini Taifa letu litaendelea kubakia vizazi kwa vizazi.Alisahau kuwa ni Rahisi kulibomoa Taifa kuliko kulijenga,alisahau kuwa heshima ya Tanzania ilijengwa kwa miaka mingi na kwa akili kubwa na jasho lakini yeye akataka aharibu sifa hiyo ya Taifa letu ndani ya muda mfupi kwa Mdomo wake..
Kwa hakika Lissu na wapinzani alinifanya nimchukie mpaka Kesho na kutokumpenda kabisa .kwa sababu niliona ni mtu asiye mzalendo,mtu wa visasi ,chuki,roho mbaya ,tamaa ya madaraka hata kwa njia ya Damu. Niliona Lissu hana upendo wala hisia za upendo kwa Taifa letu na watanzania kwa ujumla wake.
Tabia hii ya kukosa uzalendo kwa Taifa letu imekuwa ikifanywa sana na viongozi wa CHADEMA mara kwa mara kuichafua nchi yetu kimataifa,kwa kuandika vibarua vyenye kujaa maneno ya uzushi , uongo, uchonganishi na umbeya tu.kuna kipindi upinzani hao hao waliandika vibarua vya kutaka kuzuia pesa ambazo zilipaswa kuja kuwekezwa katika miradi ya Elimu.Kwa hakika ulikuwa ni ujuha na ujinga wa kiwango cha juu sana.
Kwa sababu waliokuwa wanakwenda kuteseka na kuathirika ni watoto wa maskini na wa kipato cha chini.hawa ndio waliokuwa wanakwenda kuwa wahanga wakubwa.
Tujifunze kuwa wazalendo kwa Taifa letu.Tuache tabia ya kulichafua Taifa letu kimataifa.tujifunze kutatua migogoro yetu katika meza ya mazungumzo,tuache kupeleka mambo yetu nje ya nyumba yetu tukifikiri ndio jibu. Sasa Mbona Trump hajakwenda kuishtaki Marekani na kutaka iwekewe vikwazo vya kiuchumi? Kwanini hajafanya hivyo?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma tena uelewe andiko langu.Lissu ni mropokaji, mkurupukaji,mbwatukaji na mtu mwenye mihemuko na utoto mwingi sana.Luca acha mifananisho isiyokuwa na uhai ndani yake,ungeanza na machimbuko ya sababu za matukio hayo mawili,halafu ungekuja na majumuisho wa hayo mambo mawili.
Kwa ulinganisho huu wewe jamaa upeo wako ni mdogo sanaNdugu zangu Watanzania,

Kumbuka Biden alisemaje baada ya shambulio na tuambie mwendazake alisemaje baada ya shambulio halafu linganisha, usiwe mvivuMjifunze kuwa wazalendo kwa Taifa letu na kuacha kuwa waropokaji hovyo hovyo.Embu niambie kwanini Trump hajakwenda kuishtaki Marekani na kutaka iwekewe vikwazo vya kiuchumi?