Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

Ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hoja
Mpumbavu wewe ungekuwa hata na 1% ya akili yangu usingeleta huu uharo wako,watu wote kwenye uzi huu wamekupinga na kukuelewesha lakini huelewi kwa sababu ubongo wako umechanganyika na haja kubwa. Namsikitikia mama yako mzazi kwa hasara kubwa aliyopata,miezi tisa yote mama wa watu kumbe amebeba takataka wewe,laiti angejua angechuma dhambi tu kwa kuichomoa mimba yako. Wewe ni useless kabisa.
 
Kwani waliomshambulia si wamekamatwa, nyie waliomshambulia Lisu mmewakamata mpaka leo ni miaka 7 sasa, hao waliomshambulia Trump haikuchukua hata wiki washadakwa, unafananishaje hapo Lucas bwana.

Mnyiha gani unashindwa kufikiri vizuri unatuaibisha wa kumbozi, yaani mtu amepigwa risasi, waliompiga hamjawakamata, na matibabu yenyewe mligoma, na posho za ubunge mkasitisha mnataka akae kimya awasifie wewe ungeweza?? Luca bwana hebu muda mwingine usifikirie kwa kutumia tumbo, mzee Mwashambwa aliuza kahawa uende shule usimvunje moyo mzee wa wa watu
 
Mmmh
 
Huyu jamaa ni takataka kabisa yaani ni fedheha kwa ukoo wa Mwashambwa bora hata wangemtoa ndagu wapate fedha kuliko fedheha wanayopata sasa.
 
Sayansi ya Siasa ni relative.
 
Trump alishambuliwa,na mshambuliaji aliuawa.ila lisu alishambuliwa na mshambuliaji mpaka sasa hajulikani.
Lisu n mzalendo sana .anaipigia kelele serikali ili iongoze vyema kwa ustawi wa taifa zimaaa.
Trump pia ana kosoa sana serkali ya bwana Biden lakn hajaitwa msaliti.

mfano vita ya urus .msimamo wa trump uko waz ana pingana na biden na kufanya hivyo siyo kukosa uzalendo.
Kwa lisu anatumia haki ya kutoa maoni na kukosoa. Bahati mbaya kwa taifa analotoka lisu .kuwa chama cha upinzani ni kikosa uzalendo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…