Dondosha series nzuri zinazohusu uchawi

Unaonekana unazijua series nyingi nzuri. Nikipata muda nitaendelea kuzifuatilia
 
Yote ni fiction tuu bora kuangalia movies based on true stories..
 
Twilight saga
 
Wednesday (kali sana hii)
His Dark Materials,
First Kill,
Mayfair Witches,
Vampire Academy,
Warrior Nun,
Stranger Things,
Shadow and Bone,
Locke and Key,
Day shift,
The Invitation,

Van Helsing (kuna movie ya zamani na series, zote kali ila naipenda zaidi movie)

Resident Evil(kuna movies za zamani na kuna series mpya, zote kali)
 
Naomba unialike 😁
 
Aisee umenipa mtihani wa kuangalia series mbili kwa mkupuo zote kali nashindwa niache ipi niangalie ipi(resident alien na yellow jackets) bigup[emoji1666]
Unaangalia Resident Evil au Resident Alien?
Zote nzuri, ila hiyo Resident Alien ina comedy sana, siku ya kwanza naingalia nilimaliza season 1 yote yan nilikesha hadi asubuhi, Harry ni chizi halafu chizi tena [emoji119]
 
Naangalia resident alien
Unaangalia Resident Evil au Resident Alien?
Zote nzuri, ila hiyo Resident Alien ina comedy sana, siku ya kwanza naingalia nilimaliza season 1 yote yan nilikesha hadi asubuhi, Harry ni chizi halafu chizi tena [emoji119]
 
[emoji81][emoji81]sandman nli penda wanavyo pigana lucifer na dream ..nli zani nii mkono kumbe watu wana pigana kwa akili
 
hii The Invitation ni ya kichawi au sci fiction?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…