Donor Fatigue: Wazungu wametuchoka, sisi tunanunua ma VX!

Aisifiye mvua

Ukiona MTU anazungumzia Uchoko ujue ndio shughuli yake hiyo ndio sababu anajisikia Fahari kuzungumza popote
Wewe unaependa bure ? Hakuna bure, hakuna mtu dunian atakuja kukutoa kitu bure, yan eti kuna wengine, wengine kina nani i? Kwanini asiwe wewe unaesaidia ? Yan we wa kiume umeona kabisa Trump kuifunga misaada mbadala wake ni kuna wengine ? Yan kama mwanamke kaachwa na bwana huyu anamtafuta bwana mwingine au anasema wengine watakuja sababu yeye anataka apewe in return yeye atoembwanje...Wakiume anasemaga hivyo kweli ? Yan kuna wengine wakupe wakutikise au ? Akisema anataka akutikise akusaidie sababu ulipokuwa unategemea Hapaeleweki, si utaliwa wewe ? Nyie makenge mnaudh sana ...
 
Wakitoka madarakani wanakuwaga na akili sana lakini wakati wakiwa ofisini haya yoote yanapotea na kusahaulika hata ukiwakumbusha wanakuona mchochezi na adui wa taifa.
Alafu jitu kama babtist linasema watakuja wengine
 
Wamechelewa sana kutukataa,,, walipaswa kutunawa mapema tangu enzi za Rais Bush au Reagen, Mpaka leo tungeshika adabu na huenda tungekuwa mbali.
 
Uliona wapi mwizi wa mali za nchi anaitwa majina mazuri, mjanja, boss, mkuu, comredi nk. China ni kifo, ulaya ni kifungo, ila Africa hasa Tanzania huyo ni mwekezaji,.mfadhili wa chama/vyama nk. Balaa.
 
Mwamba sana Trump. Kivumbi na jasho uchaguzi 2025 😲
 
Wacha mie nawaza tu mengi sina mjda wa kudig ndani kuhusu hii takataka iliyopo madarakani Toughlendon baba
Mama la mama acha tu, unajua utegemezi unaanzia mbali hizi nchi zetu viingozi hawana discipline na matumizi ya pesa...na hawana heshima kabisaaa ila wanawatu wakuwatetea...Trump hana kosa anajaribu tu kuhoji kwanini mwanaume mwenzako amtegemee mwanaume mwenzake ukipewa hela uende kutombea kesho uombe tena ye hataki, pewa hela tengeneza mipango kesho usiombe tena mama
 
Unyama sana
 
Hivi kuna sex siku hizi mie sijajua hili
 
Kwelinkabisa, kuna watanzania wana tabia za kike na tegemezi.
 
Watu wakipata kodi zetu akiliniko kujinunulia V8.
 
Haya ndio maneno yanayotakiwa yaonekane kwenye mabango yaliyosambaa nchi nzima badala ya haya yanayosifia ujinga. Pengine vijana walamba viatu aka machawa wakiyasoma mara kwa mara akili inaweza kuwarudia wakajua wajibu wao kwa nchi yao
 
..

Pewa hela ,tengeneza mipango yako,...ukalombee'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…