ZINJANTHROPAZ
JF-Expert Member
- Aug 6, 2023
- 287
- 470
Mpaka sasa kuna fisadi yoyote katoka kuzungumzia hili? NOW IS TIME FOR LIBERATION.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaependa bure ? Hakuna bure, hakuna mtu dunian atakuja kukutoa kitu bure, yan eti kuna wengine, wengine kina nani i? Kwanini asiwe wewe unaesaidia ? Yan we wa kiume umeona kabisa Trump kuifunga misaada mbadala wake ni kuna wengine ? Yan kama mwanamke kaachwa na bwana huyu anamtafuta bwana mwingine au anasema wengine watakuja sababu yeye anataka apewe in return yeye atoembwanje...Wakiume anasemaga hivyo kweli ? Yan kuna wengine wakupe wakutikise au ? Akisema anataka akutikise akusaidie sababu ulipokuwa unategemea Hapaeleweki, si utaliwa wewe ? Nyie makenge mnaudh sana ...Aisifiye mvua
Ukiona MTU anazungumzia Uchoko ujue ndio shughuli yake hiyo ndio sababu anajisikia Fahari kuzungumza popote
Alafu jitu kama babtist linasema watakuja wengineWakitoka madarakani wanakuwaga na akili sana lakini wakati wakiwa ofisini haya yoote yanapotea na kusahaulika hata ukiwakumbusha wanakuona mchochezi na adui wa taifa.
Kama wakiume tusimame wenyeweMpaka sasa kuna fisadi yoyote katoka kuzungumzia hili? NOW IS TIME FOR LIBERATION.
Slot of African countriesKwa sasa hivi nani anategemea marekani
Android na iOS makao makuu yake ni silicon valley LA...Use your brain mama..Kwa sasa hivi nani anategemea marekani
Wamechelewa sana kutukataa,,, walipaswa kutunawa mapema tangu enzi za Rais Bush au Reagen, Mpaka leo tungeshika adabu na huenda tungekuwa mbali.Matusi ya Donald Trump Rais wa Marekani kwa wananchi na viongozi wa Dunia ya Tatu, hasa Afrika, yamekaa mahali pake.
Wenye akili tunaambiwa kwa sauti kubwa: OMBA OMBA YENU TUMEICHOKA!
Hapo ndio tutamkumbuka Mwalimu Nyerere na siasa yake ya kiuchumi ya KUJITEGEMEA. Watanzania na waafrika, tutatukanwa hadi lini?
Simlaumu TRUMP!
Uliona wapi mwizi wa mali za nchi anaitwa majina mazuri, mjanja, boss, mkuu, comredi nk. China ni kifo, ulaya ni kifungo, ila Africa hasa Tanzania huyo ni mwekezaji,.mfadhili wa chama/vyama nk. Balaa.Matusi ya Donald Trump Rais wa Marekani kwa wananchi na viongozi wa Dunia ya Tatu, hasa Afrika, yamekaa mahali pake.
Wenye akili tunaambiwa kwa sauti kubwa: OMBA OMBA YENU TUMEICHOKA!
Hapo ndio tutamkumbuka Mwalimu Nyerere na siasa yake ya kiuchumi ya KUJITEGEMEA. Watanzania na waafrika, tutatukanwa hadi lini?
Simlaumu TRUMP!
Mama la mama acha tu, unajua utegemezi unaanzia mbali hizi nchi zetu viingozi hawana discipline na matumizi ya pesa...na hawana heshima kabisaaa ila wanawatu wakuwatetea...Trump hana kosa anajaribu tu kuhoji kwanini mwanaume mwenzako amtegemee mwanaume mwenzake ukipewa hela uende kutombea kesho uombe tena ye hataki, pewa hela tengeneza mipango kesho usiombe tena mamaWacha mie nawaza tu mengi sina mjda wa kudig ndani kuhusu hii takataka iliyopo madarakani Toughlendon baba
Unyama sanaView attachment 3218052
Wito wa Donald Trump kwa watu wa Afrika.
Mungu amebariki nchi zenu kwa rasilimali nyingi, akili, na uwezo mkubwa. Ni wkt wa kuacha kusubiri mabadiliko kutoka nje na kuanza kuwajibisha viongozi wenu wala rushwa. Acheni kukimbilia mataifa ya kigeni na kuzurura mitaani huko mkitafuta fursa ambazo zinapaswa kuwepo nyumbani kwenu.
Kama Wamarekani wangelikubali ukandamizaji na kubaki kimya, hakungekuwepo na Marekani kama unavyoiona leo. Kama Wafaransa wangekaa kimya mwaka 1775, hakungekuwa na Ufaransa ya leo. Mapinduzi yanahitaji hatua, si unyonge.
Kwa nini mnaendelea kucheza siasa za kikabila huku viongozi wenu wakiiba utajiri wa mataifa yenu bila haya?
Kwa nini mnategemea Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa dawa za msaada wkt mna wataalamu wa madawa na tiba katika nchi zenu?
Nchi zenu zimebarikiwa kwa vipaji na maarifa ya kutengeneza suluhisho za ndani.
Dai mifumo bora ya afya. Acheni viongozi wenu wakimbilie nchi za nje kutibiwa huku hospitali zenu nyumbani zikitelekezwa bila hata huduma thabiti ilihali mshajitawala tangu miaka ya 1960's.
Kwa nini viongozi wenu wanapora rasilimali zenu ili kuishi maisha ya anasa huku barabara zenu zikiwa mbovu, shule hazina fedha za kutosha, na umeme haupo wa uhakika?
Je, mnasubiri malaika waje kutatua matatizo haya?
M/Mungu amewapa uwezo wa kuchukua hatua, basi chukueni hatua!
Mataifa yaliyoendelea yamepata mafanikio kupitia uwajibikaji, kazi ngumu, na kujitolea, siyo kwa kusubiri miujiza.
Marekani ni ya Wamarekani. Ufaransa ni ya Wafaransa. Ni wkt wa ninyi kuwajibika kwa nchi zenu. Acheni kukimbilia nchi za kigeni ili kujifungua na kutafuta uraia wa moja kwa moja kwa watoto wenu. Sera hizo zimeondolewa. Rudi nyumbani na mjenge Taifa ambalo mtaweza kujivunia kuzaliwa huko kwenu.
Mapinduzi huanza na watu, kama mmechoka na uongozi mbovu, inukeni. Dai takwimu sahihi za idadi ya watu, uchaguzi wa haki, na mwisho wa wizi na ufisadi. Acheni kuruhusu wanasiasa wala rushwa na viongozi wa kidini kuwapumbaza kwa kusema ukandamizaji ni “mapenzi ya Mungu.”
Kama Wafaransa waliweza kuungana dhidi ya majeshi na watawala wakandamizaji, nanyi mnaweza. Mabadiliko hayatakuja ikiwa mtakaa kimya na kinyonge. Kama mnataka umeme wa uhakika, barabara nzuri, na maisha bora, chukueni hatua. Acheni kukimbilia Marekani, Canada, au Ulaya kwa kile ambacho mnaweza kujijengea nyumbani.
Ujumbe ni rahisi, inukeni, ungana, na mchukue hatima ya maisha yenu mikononi mwenu. Hatima ya Afrika ipo mikononi mwenu. Iwafikie mioyoni na akilini mwenu, ni ninyi pekee mnaoweza kuunda Afrika mnayoitamani!
Hivi kuna sex siku hizi mie sijajua hiliMama la mama acha tu, unajua utegemezi unaanzia mbali hizi nchi zetu viingozi hawana discipline na matumizi ya pesa...na hawana heshima kabisaaa ila wanawatu wakuwatetea...Trump hana kosa anajaribu tu kuhoji kwanini mwanaume mwenzako amtegemee mwanaume mwenzake ukipewa hela uende kutombea kesho uombe tena ye hataki, pewa hela tengeneza mipango kesho usiombe tena mama
Kwelinkabisa, kuna watanzania wana tabia za kike na tegemezi.Wewe unaependa bure ? Hakuna bure, hakuna mtu dunian atakuja kukutoa kitu bure, yan eti kuna wengine, wengine kina nani i? Kwanini asiwe wewe unaesaidia ? Yan we wa kiume umeona kabisa Trump kuifunga misaada mbadala wake ni kuna wengine ? Yan kama mwanamke kaachwa na bwana huyu anamtafuta bwana mwingine au anasema wengine watakuja sababu yeye anataka apewe in return yeye atoembwanje...Wakiume anasemaga hivyo kweli ? Yan kuna wengine wakupe wakutikise au ? Akisema anataka akutikise akusaidie sababu ulipokuwa unategemea Hapaeleweki, si utaliwa wewe ? Nyie makenge mnaudh sana ...
Watu wakipata kodi zetu akiliniko kujinunulia V8.Mama la mama acha tu, unajua utegemezi unaanzia mbali hizi nchi zetu viingozi hawana discipline na matumizi ya pesa...na hawana heshima kabisaaa ila wanawatu wakuwatetea...Trump hana kosa anajaribu tu kuhoji kwanini mwanaume mwenzako amtegemee mwanaume mwenzake ukipewa hela uende kutombea kesho uombe tena ye hataki, pewa hela tengeneza mipango kesho usiombe tena mama
Haya ndio maneno yanayotakiwa yaonekane kwenye mabango yaliyosambaa nchi nzima badala ya haya yanayosifia ujinga. Pengine vijana walamba viatu aka machawa wakiyasoma mara kwa mara akili inaweza kuwarudia wakajua wajibu wao kwa nchi yaoView attachment 3218052
Wito wa Donald Trump kwa watu wa Afrika.
Mungu amebariki nchi zenu kwa rasilimali nyingi, akili, na uwezo mkubwa. Ni wkt wa kuacha kusubiri mabadiliko kutoka nje na kuanza kuwajibisha viongozi wenu wala rushwa. Acheni kukimbilia mataifa ya kigeni na kuzurura mitaani huko mkitafuta fursa ambazo zinapaswa kuwepo nyumbani kwenu.
Kama Wamarekani wangelikubali ukandamizaji na kubaki kimya, hakungekuwepo na Marekani kama unavyoiona leo. Kama Wafaransa wangekaa kimya mwaka 1775, hakungekuwa na Ufaransa ya leo. Mapinduzi yanahitaji hatua, si unyonge.
Kwa nini mnaendelea kucheza siasa za kikabila huku viongozi wenu wakiiba utajiri wa mataifa yenu bila haya?
Kwa nini mnategemea Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa dawa za msaada wkt mna wataalamu wa madawa na tiba katika nchi zenu?
Nchi zenu zimebarikiwa kwa vipaji na maarifa ya kutengeneza suluhisho za ndani.
Dai mifumo bora ya afya. Acheni viongozi wenu wakimbilie nchi za nje kutibiwa huku hospitali zenu nyumbani zikitelekezwa bila hata huduma thabiti ilihali mshajitawala tangu miaka ya 1960's.
Kwa nini viongozi wenu wanapora rasilimali zenu ili kuishi maisha ya anasa huku barabara zenu zikiwa mbovu, shule hazina fedha za kutosha, na umeme haupo wa uhakika?
Je, mnasubiri malaika waje kutatua matatizo haya?
M/Mungu amewapa uwezo wa kuchukua hatua, basi chukueni hatua!
Mataifa yaliyoendelea yamepata mafanikio kupitia uwajibikaji, kazi ngumu, na kujitolea, siyo kwa kusubiri miujiza.
Marekani ni ya Wamarekani. Ufaransa ni ya Wafaransa. Ni wkt wa ninyi kuwajibika kwa nchi zenu. Acheni kukimbilia nchi za kigeni ili kujifungua na kutafuta uraia wa moja kwa moja kwa watoto wenu. Sera hizo zimeondolewa. Rudi nyumbani na mjenge Taifa ambalo mtaweza kujivunia kuzaliwa huko kwenu.
Mapinduzi huanza na watu, kama mmechoka na uongozi mbovu, inukeni. Dai takwimu sahihi za idadi ya watu, uchaguzi wa haki, na mwisho wa wizi na ufisadi. Acheni kuruhusu wanasiasa wala rushwa na viongozi wa kidini kuwapumbaza kwa kusema ukandamizaji ni “mapenzi ya Mungu.”
Kama Wafaransa waliweza kuungana dhidi ya majeshi na watawala wakandamizaji, nanyi mnaweza. Mabadiliko hayatakuja ikiwa mtakaa kimya na kinyonge. Kama mnataka umeme wa uhakika, barabara nzuri, na maisha bora, chukueni hatua. Acheni kukimbilia Marekani, Canada, au Ulaya kwa kile ambacho mnaweza kujijengea nyumbani.
Ujumbe ni rahisi, inukeni, ungana, na mchukue hatima ya maisha yenu mikononi mwenu. Hatima ya Afrika ipo mikononi mwenu. Iwafikie mioyoni na akilini mwenu, ni ninyi pekee mnaoweza kuunda Afrika mnayoitamani!
..Mama la mama acha tu, unajua utegemezi unaanzia mbali hizi nchi zetu viingozi hawana discipline na matumizi ya pesa...na hawana heshima kabisaaa ila wanawatu wakuwatetea...Trump hana kosa anajaribu tu kuhoji kwanini mwanaume mwenzako amtegemee mwanaume mwenzake ukipewa hela uende kutombea kesho uombe tena ye hataki, pewa hela tengeneza mipango kesho usiombe tena mama