Don't be a nice guy

Usimuoe mwanamke kwa kumuonea huruma. Usifikiri akiwa kwa stress atakupenda
 
Sawa endelea kuwa humble kwa wanawake, you will learn the hard way
 
Malezi tokea utotoni ndio humshape kijana awe vipi.

Kitabu cha NO MORE MR NICE GUY amegusia haya mambo.

Ni vyema sana tukaanza kuwalea watoto wetu kiume.
Mkuu huna nakala laini ya huo mgodi, tuchimbepo madini humo?
 
Kuna watu ni mahandsome ila wanacharacter ya nice guys na wanakichezea balaa. Na kuna watu wana muonekano wa kawaida kabisa ila mademu wanaliwa kama kawa.

Nadhani ni swala la haiba,tabia na mwenendo na si muonekano wa sura au umbile. Wanawake wanaendeshwa na hisia so character yako ndio inazungumza na hisia zao.
 
Kanuni iwe hii. MUNGU then MWANAUME (yaani wewe kidume) then Biashara/kampuni yako, then watoto, marafiki zako wa ukweli, then mwanamke. Hapa utakuwa na amani maisha yako. Kosea muweke mwanamke sehemu ya MUNGU ndipo utajua kuwa haujui.
 
Muda pekee ambao nice guy anakua chaguo la mwanamke ni pale ambapo mwanamke uyo ashakua demaged na bad boys, but when she is fresh, beautful, innocent she will reject the good guy.
Sema Bad boys wanakuwaga na Hela, vyeo na au umaarufu
 
Hawaishi maajabu hawa.
 
Wanaume kila uchao wanashusha standards za msingi na za maana tena ambazo wanaweza kuzitetea, huku wanawake wanapandisha standards za hovyo kabisa.

Mwanaume anaoverlook red flags za kutosha kwa mwanamke wa sasa na zinamwambia kabisa kuwa huyu sio sahihi ila anazipuuza na kumpa benefit of a doubt. Mwanamke hana bikra, ameshatombwa na wanaume zaidi ya 10, anapost picha za kuita wanaume Mitandaoni, ana tattoo mwilini, hana utii, hajui kutafuta pesa na kutengeza mali, hana sifa za mama bora, hajui kusociolize na jamii ya watu wastaarabu, haendi nyumba za ibada, marafiki zake ni wa hovyo, mvivu anayeijua pesa kwa kuitumia tu sio kutafuta, anapenda attention ya wanaume, hana adabu, hana hofu ya MUNGU, ila bado mwanaume atapiga goti na kuvisha pete.

Mwanamke atakudharau mwanaume kwasababu hauna salio la milioni 100 kwenye account, hauna gari, unaendesha bodaboda, unaishi chumba kimoja, hauna mademu nje yake so maana yake kwake ni hauna mvuto so hawezi kuwa na wewe, sio mrefu, sio mweupe, hauna ndevu, hauna watoto katika umri wa miaka 30 so pengine unashida atakukataa hata bila kuchunguza sababu kwann haujatia mimba mwanamke yoyote, unatokea familia masikini. Kwa kifupi sababu za mwanamke kumkataa mwanaume huwa ni za kipumbavu sana na imagination inashika maamuzi yake. Ila sababu za mwanaume kumkataa mwanamke ni visible na zinaonekana kwa macho na ushahidi wazi wazi.
 
Kweli utajikuta anakupa masharti
Hata ukiwa na ivyo vyote ukishampa mwanamke kipaumbele pamoja na kufanya na kutimiza kila anachtaka mwanamke atajenga picha kwamba anakufanyia favor kudate na wewe hapo ndipo balaa litakapoanzia
 
Siku wanaume watapoanza kufyatuka sijui huo moto utazimwa na kitu gani.
 
Nyie mnaosambaza lugha ya chuki dhidi ya wanawake sijui mna matatizo gani, embu deal with your frustrations first..una miaka mingapi, girlfriend/mke wako ana miaka mingapi...was she used and dumped first ndio ukawa nae?
Tulia wewe. Chuki inatoka wapi? Yaani ukiambiwa ukweli ndio inakuwa ni chuki, are you even serious na uwezo wako wa kufikiria? [emoji848]
 
Dah kumbe ndio yupo hivyo yule demu kubabake zake. [emoji848] Yule demu anasifiwa kuwa alitoka na mwamba tokea chini wakiwa wadogo huko jamaa hana jina. Ila kwa hilo analofanya anafanya ushenzi sana. Wale ni ndugu zake anatakiwa kuwasaidia kama wanafamalia. Kobe Bryant huko alipo wadhani anajiskiaje aisee.
 
Majitu ya hivyo yanakuwaga majinga sana.
 
Sawa endelea kuwa humble kwa wanawake, you will learn the hard way
Ishi maisha yako kama ulivyo, kama wewe kila siku unaishi maisha ya kuridhisha wengine wewe ni mtumwa wa maisha yako; Don't let circumstances define who you are na mbili kama unadhani unaweza kumiliki binadamu mwenzako nadhani unajidangaya...
 
Nakubaliana na wewe 99.999%
Nimeshuhudia Nice guys kibao wakipigwa Upper cut na hawa slay queens.

Its either you agree or learn the hard way.
Hawa wanaoitwa Nice guys sijui ni nice guy kwenye nini. Mimi ninachojua ni wale wanaojali sana ngono na Pussy na kuvifanya kuwa vipaumbele vyao kwenye maisha.

Ukishakuwa kwenye category hii Mwanamke anatambua vizuri na huanza kuitumia fursa vizuri. Hakuna Nice guy hapa kuna Pussy addicted Guy
 
Ishi maisha yako kama ulivyo, kama wewe kila siku unaishi maisha ya kuridhisha wengine wewe ni mtumwa wa maisha yako; Don't let circumstances define who you are na mbili kama unadhani unaweza kumiliki binadamu mwenzako nadhani unajidangaya...
Hauishi peke yako mzee baba unaishi na walimwengu., lazima uji-adjust vile ulimwengu unavyoenda.

Endelea kuwa humble kwa mwanamke, you will learn the hard way.
 
Tulia wewe. Chuki inatoka wapi? Yaani ukiambiwa ukweli ndio inakuwa ni chuki, are you even serious na uwezo wako wa kufikiria? [emoji848]
I'm not here for your approval, uwezo wangu wa kufikiri haukuhusu,mimi sio hicho kinyago ulichokiweka ndani unachokibully kila siku pumbafu
 
Tulia ukweli ukuingie.... feminist mna roho mbaya za kibinafsi.....mifano ni mingi. Sio wanawake wote lakini ila majority.
Kama wewe ulivyo na roho mbaya frustrations zako wanawake wamekukataa ni reject mnakuja kutoa mtandaoni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…