Kuna kundi kubwa sana la wanaume ambalo limedanganywa kuhusu wanawake na kuwaona kwamba wao ni viumbe wapole,wastahimilivu na siku zote ni watu wa kuonewa tu and on top of all they are incapable of cruelity.
Ni rahisi kuskia limtu linasema "wanawake ni mama zetu,dada zetu,shangazi,wake zetu,wadogo zet...blah blah.." hasa pale linapotaka kujustify kosa au upuuzi wa mwanamke, ila ni nadra kuskia wanawake hao hao wakisema "wanaume ni baba zetu,kaka zetu,waume zetu,babu zetu..." mahala popote pale yaani sisi tukifanya upuuzi hawana muda kujustify ni mwendo wa harsh judgement na tena huwa wanatujudge jumla jumla... mfano, kuna ile kauli yao huwa wanasema "all men are potential rapists"