We sio sajuki sasa wastara Wa nini?Wanafanya kazi na Wastara?
TrueHakuna marefu yasiyokua na ncha, hata RTD ilikua na nguvu, USSR ilikuwepo, Rumi ilikuwepo na hata Idd amin alikuwepo.
alafu eti anasema nimerudi kwa wazazi wangu,dozen,mammy hahaha too lowIla what goes around comes around... Ruby kaomba msamaha adi nikamwonea huruma...Dozen kamu attack balaaa....
Umenifanya nicheke sanaaaKiboko yao Lady JayD
Nimeuliza mara kadhaa sijapata jibu. Ruby ni nani?
Ruby ni msanii
Msanii wa Maigizo? Samahan kwa kuuliza maswali mengi
Acha kutuigizia bwana
Tangu lini clouds wana promote wasanii Wa maigizo???
Maniner[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanafanya kazi na Wastara?
Lakini karudi tena.Hakuna marefu yasiyokua na ncha, hata RTD ilikua na nguvu, USSR ilikuwepo, Rumi ilikuwepo na hata Idd amin alikuwepo.
Not to that extent dude. Hawa jamaa wanawazidi watu akili ndio maana wanaendesha music industry bongo.I see! ila bongo hakuna mafia kabisa. nashangaa how those folks (ruge and coy) still alive today!? wamefanya dhuluma nyingi kwa vijana wetu. hawastahili kuishi na kuneemeka kwa madhambi yao. AK-47, once opted... is a solution.@RRONDO
Wasanii wengi wanajazwa ujinga na wanaowazunguka wakiwemo washabiki wao ila wakifulia wanabaki peke yao.Watu tulikuwa tunaangalia tu alivyokuwa anajazwa ujinga huku wengine waliokuwa wanamjaza hawajui hili wala lile kwenye hii tasnia.
Mbaya zaidi, wengine waliokuwa wanamjaza ujinga bado kula kulala huku wengine ni watiifu kweli kweli kwa mabosi wao na mshahara unaowafanya wawe na adabu kiasi hicho hata 500K wengine haufiki!
Lady jd yuko wapi sasa hivi na Clouds iko wapi? Jibu lako ndio utajua nani kiboko ya mwenzie
Hivi Jide bado anaimba? Wimbo wake wa mwisho unaitwaje? Huwa nasikiliza redio na kuangalia tv sijamuona wala kumsikia muda mrefu.mkuu samahani unajuwa unachokisema lakini.Ebu fikiri tangu jide amerudi hafanyi vizuri.Jide kaanza muziki kitambo anajuwa kia aina ya fitna