Njaa mbaya mkuu alishapauka.Amekubali rasmi kuwa mtumwa!
Alijiedit tu kwa kutumia app, nadhani alikua na ile show so akawa ametumia kama kiki flani hivi.Mbona niliona picha kaota kachura?
Kwani ni lazima clouds kucheza ngoma za ruby?,si kuna vituo vingi vya redio!!Ila hii ishu ni kama kublackmail wasanii. Huyu bifu lilianza kwa wao kutoa malipo kidogo fiesta wao wakalileta kwenye kumnyima airtime. Watu wa haki za wasanii au wizara iingilie kati huu uhuni wa clouds na hicho kipindi cha kuomba msamaha ni ushahidi tosha wa uhuni wa clouds.
Presenters wengi wakali wa entertainment wametokea arusha,sijui kwa nini?Management inacheza na loopholes za station zingine tu.
Creativity kwa Presenters[Credit kwa vijana wa Arusha wanaswags saana]
Arusha tu wajanja wajanja saana..chunguza hata mashuleni utaonaPresenters wengi wakali wa entertainment wametokea arusha,sijui kwa nini?
Redio imekaa kiswahili swahili,utawezaje kuwazidi clouds?..kwanza playlist zao za miziki sijui wanazitoaga wapi?Niliona humu watu wakikuwa WANAOTA eti EFM itaiua Clouds!
Sure mkuu east africa walikuwa wanauwezo wa kucompite now but hawakuweza.kipindi hicho sam misago yupo kwenye power jams na anna peter na dj mafuvu,pia the cruise waliyokuwa wanaifanya george bantu na kenedytheremedy was the one of thebest weekdays night radio showaah wapi, East Afrika ndiyo walikuwa na huo uwezo wa kupambana na Clouds ila nao ndiyo hivyo.
Clouds kiboko yao ni Diamond plutnumz tu... hata fiesta ya mwaka jana aliwatosa hawakufika dau... watu wakazuga ana mkataba na voda... mkataba na voda umeisha zamani sana...
tigo fiesta ya rwanda diamond alienda peke yake akafanya show na wasanii wa rwanda tu na akalipwa hela ndefu sana... kusaga na ruge wanakwambia diamond Mungu anampenda sana...
Ruge alimtosa diamond THT mwaka 2006 kwamba hana kipaji, diamond amemuwekea kinyongo mpaka leo japo hapendi kusema...
Siku zingine kama huna uhakika na kitu au hujui kitu ni nyema tu ukanyamaza usije ukawa unachekesha na ukadharaulika. Kwa taarifa yako tu ni kwamba Diamond hafurukuti kwa Ruge hata Chembe na Ruge ndiyo kila kitu kwa Diamond na mafaniko ya Diamond 85% kuna mkono wa Ruge. Uliza kwa wanaojua ' mziki ' mzima watakuambia.
Huu ni ujanja wako kwangu...Naona ujanja wako